ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,573
Kwa kwelitunajiharibia sana aiseee
Kwa kwelitunajiharibia sana aiseee
Sana tu Sema naonaga aibuunanitaka?
jikaze mtoto wa kiumeSana tu Sema naonaga aibu
Ama nene, ngoja nijaribu yaweza kuwa Bahati yangu.. Ohoojikaze mtoto wa kiume
hahahaAma nene, ngoja nijaribu yaweza kuwa Bahati yangu.. Ohoo
Lisiwe tu lile la Manchester UnitedIshu ya mavazi bwanaaa! Iko complicated sana. Exposure ya mtu pia inachangia. Na inategemea unaishi katika mazingira gani.
Mda mwingine unajisikia tu kuvaa kikaptura na kukata mitaa...
Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"
We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.
Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).
Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.
Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
Tunapenda wanawake wenye kuvaa hivyo lkn si wake wenye kuvaa hivyomnajishaua tu hapa...
DuuTunapenda wanawake wenye kuvaa hivyo lkn si wake wenye kuvaa hivyo


Ukweli huo
Nguo za kina scorpio hizo
wanafki tu nyie...
Scorpio havaagi, ye anavaaga kisabatoNguo za kina scorpio hizo
wanafki tu nyie...