Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.

mkuu sometime ukweli unauma issue hapa sio kuwatukana tunachohofia sisi hapa ni kuja kuwa na kizazi chenye wanawake makafiri wasio watii waume zao. ni lazima tukemee hili na kwa nguvu zetu zote...mwanamke akibadilika jamii nzima imebadilika tatizo hujui hiloo

Mnakemea nini kwa nguvu zenu zote??
Wanawake waache kusoma kwa kadiri ya
uwezo wao??

Badala ya kuomba wanawake wasomi waongeze
Mnakemea ....
Na hii yote ni sababu baadhi yenu hamtaki
Wanawake wasomi eti wanaringa
khaaaaa muache kabisa kutukandamiza..

Nataka kuongelea na visa vya wanaume
Wasomi kushinda baa na kuacha wamama
Nyumbani kutunza familia ...
Staki kutoka nje ya topic..

mi naona kama wadau wa hili jamvi wanachangia kwa ku2mia hisia zao, nadhani mwenye utafiti na data kuhusu hili a2saidie ss ambao ndo walengwa

Hahahahahaha..
Umenikumbusha "old days "
Na ile kitu " Natafuta infi" lolz..

Sasa nimemaliza vijidudu vyangu
Kabla yenu mnaanza sema naringa..
Mtakula ngumu ya jeshi..
Hakuna alienisomesha na ninaringia
Kitu nlichopata kwa akili zangu
Khaaa niacheni nringe.
Teh teh teh teh lolz.

Hawa majamaa wameadimika
Klorokwin karudishwa darasa na
mwalimu fisi.. Hashycool alimpiga mwalimu
Na yai viza .. Uporoto na ye alitoroka .......
Hahaha Infiii, mimi ndio namaliza darasa la 7 sasa hivi nasubiri kwenda O level

Hahaha Infiii, mimi ndio namaliza darasa la 7 sasa hivi nasubiri kwenda O level

Jana na juzi "infi ilirudishwa"
Kazi ya babu ODM..lolz..

Haya ntakusaidia homework ...lolz
Na we unifundishe kutungua mazambarau..
Lol... :)

Si wote mazee.binafsi mwanamke aliyesoma ndo bomba.Wangu kasoma charii yangu na bdo anaendelea kusoma.ananipenda sna nami nampenda sana ni mwaminifu na anaheshima.akiwa home huyafahamu vema majukumu yake.pia hunifurahisha sn anapo lalamika kwa kizungu wakat wa game,hatutarajii kuachana hata akipata phd.nampenda sana swt lv wangu mwenye degree ya pili.someni sana kinadada tufaidi wachache wengine wawaogope.

Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.

Utajibeba.....! Endelea kuwapotosha wavivu wenzako, na sie kubukua hatuachi ng'oooooo....!

Wanawake wasomi huwaita wanaume FUNGA CHIPS,akiwa na hamu humtafuta mwanaume yoyote kwa kutumia fweza zake na hamu ikimwisha hutimua hata usiku wa manane,si hata chipsi ukiila na kushiba hutupa makaratasi yaliyotumika kufungia,huko Nairobi demu anaweza akakukuta bar akakuchukua hadi kwenye jumba la kifahari analoishi ,pindi unapotaka kuanza kuvuta shuka ili uji enjoy saa nane usiku unaambiwa ee bana eh chukua time ondoka sasa hivi,utafikiri masikhara unabaki kutumbua mimacho ah sweetie saa hizi saa nane usiku nitaendaje ,utaambiwa kaka nitakuitia askari na kukuita mwizi ondoka sasa hivi

Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.

Kaka umeng'atwa?

Walianza na visingizio vya makabila na sasa wamehamia kwenye elimu, sijui kesho watakuja na kigezo kipi!! Dah...! Kwa kweli wanaume wasiojiamini ni matatizo matupuuu!!!

Pole, inaonekana yashakukuta. Lakini nafikiri hii mentality wanaume tunatakiwa tuiondoe. Kinachosumbua hapa ni tu kwamba msichana liyesoma anazijua haki zake za msingi, kwa hiyo hatakubali kutumiwa kama duludoza. Na hapo ndo tatizo linapoanzia, maana wanaume wengi tunapenda tuonekane kama miungu watu. Lakini ukichukulia poa, ukawa unafanya naye mambo yote kwa kuzingatia usawa; (I mean unafua, unapika, unadeki unafagia uwanja pale unapoona inawezekana) hakuna utakachoona kigumu. Kwa kawaida mwanamke msomi ana kazi sawasawa na wewe. Kwa hiyo kama ambavyo wewe usivyo na nafasi, yeye pia hana. Kwa hiyo hawezi kuwa na muda mkubwa sana wa kukutumikia wewe tu. Kwa kiasi kikubwa mnahitaji mfanye kazi kwa usawa. Ndo maana wazungu wanawekeana zamu kwa kila kitu.
we kama ujaoa basi nahisi ukioa mkeo atakutawala...

Mi napenda wendelee kusoma kwa wingi manake huku oficini wanatusaidia sana kwani wengi wao wapo aged halafu unakuta wapo single tuu.

Ni bora nioe mwanamke msomi kwa sababu ni economic productive,hana muda wa kupiga umbea na pia ni status kwa mimi kuwa na mke msomi.

Cha kuzingatia ni kuchagua mwanamke mwenye heshima na mwenye maadili ya kiafrika na kujua ametoka familia ya aina gani.

LIKE THAT

Mi napenda wendelee kusoma kwa wingi manake huku oficini wanatusaidia sana kwani wengi wao wapo aged halafu unakuta wapo single tuu.

Heheheheee yeah hao wapo wengi sana na wapo desperate kishenzi. Si unajua tena biological clock is ticking....na wao wanataka kusema wana waume zao.

Back
Top Bottom