Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.

Kwa kujazia tu utafiti umeonyesha kuwa watoto waliolelewa na mke (golikipa) huishi kwa maadili mema wakiwa watu wazima kuliko waliolelewa na mahausigeli

labda sijakuelewa unaposema Elimu ya chini unamaanisha ni elimu ipi? Nursery school?
Basi utakuwa hukusoma vizuri posti ya kwanza ya thread, kwa sababu definition ya kipimo cha elimu imetolewa: "wasichana wenye madigree."

Hivyo, sasa utanielewa ninaposema wavulana wenye elimu ya chini ni matatizo.

Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences that may arise,but that is factual and will help you young boys.

Pole sana. Wanawake wanapenda wanaume wenye akili na confidence, so they can look up to him. Therefore, vijana msiogope wanawake waliosoma, akikisha tu umesoma zaidi yake.
Na nyongeza, kama mwanamke amesoma na ana hela zake, usitegemee kumwendesha! She only needs that emotional support from you. Which is hard to get from some men around here.
Kwa hiyo kama wewe ni wa kupenda ku-hang out late in bars then unarudi nyumbani utegemee ukute chakula cha moto, maji ya kuoga ya moto na a quickie before you doze off, then forget it!

hiyo itakuwa product ya ustawi kama sikosei, anyway pole kwa yaliyokusibu.

Lukolo natumia mobile, sina kitufe cha LIKE, ila nimeipenda mchango wako sana especially coming from u a man! Ana heri Mrs Lukulo! To me it is a post of the year!

Thank u sana!

Ni bora nioe mwanamke msomi kwa sababu ni economic productive,hana muda wa kupiga umbea na pia ni status kwa mimi kuwa na mke msomi.

Cha kuzingatia ni kuchagua mwanamke mwenye heshima na mwenye maadili ya kiafrika na kujua ametoka familia ya aina gani.

Nadhani umechanganya mambo kidogo hapa kusoma ni vizuri ila asilimia kubwa ya wabongo kutokana na kutokuwepo elimu ya juu ya kutosha kwa miaka hiyo leo wakisoma kidogo inakuwa taabu kwelikweli na wana matarajio mengi makubwa na kama mfukoni uko hoi litakuwa tatizo maana anataka aishi maisha fulani lakini ukweli unabaki kuwa kuna wasomi wanyenyekevu na wastaarabu kabisa kuliko hao semegi niangusage ni sambi sako mwenyewe ambao utadhani wana nidhamu kummbe ni za woga tu.

hahaha,kwa kusoma tu comments zenu napata picha nyie ni wanaume wa aina gani. wanaume waoga, wanaoogopa challenges za maisha! actually nadhani ninyi ni tatizo! wanaume wenzenu wanapenda wanawake vichwa, ambao wanaweza kuwachallenge na kuwapa changamoto za maisha! ukisema tujenge nyumba mke anasema mie lazma niishi kwenye ghorofa (ni mfano tu). na hasemi kwa mdomo, anakuja na plan kabisa na anaongezea kipato kwa ukubwa. ila sasa kama nyie waoga namna hii, aisee nawashauri muachane na wanawake wenye madegree manake watawatapisha nyongo! huwezi leta mada zako zisizo na kichwa wala miguu na zikapita tu. japokuwa heshima ni kaliba ya mtu, utaheshimiwa lakini utapewa changamoto za kukusaidia kuonekana baba! ila kama unataka gari bovu la kusukuma kila mahali, jitaftie hgeli tu,ruka nae babaake!

Wivu tu....we kama umekutana na wasumbufu ni juu yako....mwone vile sura kama yangu

ad,mbona hujamalizia?
na wewe lazma usome.
na watoto nao watasoma tu!
vijana wanaogopa, ndo maana hawapati wachuumba. sie tunataka mwanaume kiongozi wa nyumba. a masculine figure,who can stand up for us! atangulie mie nifuate. sasa kama ndo wanaogopa wachumba namna hii,sijui kama tutafika!

utakoma...

kusoma hatuachi...

tumesoma na tutazidi kusoma

kama Elimu ya mtu inakutisha nakupa pole....

Hawezi kutujaza ujinga kwa uvivu wa kuchaguwa, mimi nataka msomi hata wa phd, tunatoa semina humu kila siku jinsi ya kukikuna kipere G hawaelewi, sasa wakipigwa chini na mademu wanadhani ni ule usomi ndio tatizo,.......... kumbe hajui kama tatizo ni mlima kilimanjaro ufike kule kileleni!!

ushauri mzuri ni huu kwetu vijana tunaoelekea huko.. Oa binti ambaye umemzidi elimu au at least muwe level 1.. alafu hakikisha linakua ni jukumu lako ww kumuendeleza.. Ila unapomuendeleza nawe usibweteke akaja kuku overlap... Hakikisha MWANAMKE hawi juu yako kielimu..kwani ikiwa kinyume siku utaambiwa kachume mchicha! Take care guyz.

Back
Top Bottom