Wasichana wa kiafrika na wasicha wa kizungu, wepi wana vutia kimaumbile???

Sio Mzungu huyu ni Mlatino, waha viumbe are super cue na wabrazil pia kuliko wazungu.
DOOKY
huyu ni mzungu.

jennifer-lopez-body-2012-32b96.jpg
 
halle-berry11185.jpg

hakunaga kama uzuri wa wanawake wa kiafrika katika kila nyanja ya uanamke.

NB: Mtoa mada ungesema wanawake na si wasichana.
 
Mhalisi, mbona kama huyo mchuchu anataka kuvua gamba hadharani? Kwa misuli ya tumbo ilivyo inabidi kujiandaa la sivyo atakutoa nishai. teheteheteheteh...
 
Mademu wa Kiafrika wanatisha Mkuu. Embu jionee mwenyewe wanavyovutia hata kama hutaki itakuhusu tu;
 

Attachments

  • african beauty.jpg
    african beauty.jpg
    34 KB · Views: 512
  • flaviana_matata-fullsize.jpg
    flaviana_matata-fullsize.jpg
    51.5 KB · Views: 386
  • RITA PAULSEN.jpg
    RITA PAULSEN.jpg
    26.7 KB · Views: 311
  • CELINE NJUNJU & FRIEND-AIRTEL OFFICERS.jpg
    CELINE NJUNJU & FRIEND-AIRTEL OFFICERS.jpg
    40.2 KB · Views: 351
waafrika wapo juu sana, hawana mpinzani.
Africa ni bara pekee lenye watu wenye rangi tofauti na mabara yote duniani, + shape, we are unique, we are bantu's.
 
Kwa muonekano watu weusi ni wazuri lakini mapenzi na kujituma wazungu wako safi sana
 
Back
Top Bottom