Wasichana wa kiafrika na wasicha wa kizungu, wepi wana vutia kimaumbile???

Coming to The Muzungus...hawa viumbe hawajawahi kunivutia jamani aah ngozi yao kama ......we vile. Wanawake wakiafrika ndo wa ukweli zaidi..maumbo yao jaman dah mpk raha..ama kweli Mungu hakunyimi vyote..
 
Jamani! Mbona mnaniangusha?...inamaana hakuna mwenye pic
 
Mleta hoja amepitiwa, alipaswa kuleta hoja ikisaidiwa na vielelezo ili tumalize biashara.
 
Mleta hoja amepitiwa, alipaswa kuleta hoja ikisaidiwa na vielelezo ili tumalize biashara.

kweli mkuu, kama mleta hoja nimeshindwa kuatach pic coz natumia phone" ila cyo mbaya kama mdau yeyote atanisaidia
 
jennifer-lopez-body-2012-32b96.jpg
 
wanawake wa kiafrika ndo mwisho wa maneno, ni wazuri kila sekta, japo uwa navutiwa na watoto wa kibrazil na kimexico pia
 
Hivi wale wanaoishi Latin America nao tunawaita wazungu au? Ila ni wazuri sana kwakweli..
ndio maana nikamuuliza muhusika, maana kuna wazungu wa aina tofauti kulingana na maeneo wanayotoka...hivyo kulikua na haja ya kubainisha.
Latin America kuna aina nyingi za asili za watu, nyingi ni muunganiko wa races tofauti...
Anyway bado kura yangu naitupa kwa curved, gourgeus, smexiful, jayly .... love to them African gals
 
Back
Top Bottom