Wasichana wa kiafrika na wasicha wa kizungu, wepi wana vutia kimaumbile???

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
45
Jamani, leo nakuja kwa debate ya namna hii, nani mwenye figure ya ukweli kati ya wa mzungu na mwafrika....hakikisha picha utayoweka hapo ni mzuri na ya hekshimaa!
Njoo na pic yako kwa jamvi tui-discuss..karibuni
 
dada zetu ni noma wakuu... Bantu figer ndo kila kitu,wazungu wabaridi sana..saying on experience.
 
jamani mbona bila hata picha hili swala linajadilika? kwanza kabisa uzuri uko machoni pa mwonaji mwenyewe. Pili waafrika na wazungu wanaweza kuwa na na uzuri sawa ama wakatofautiana.

but miye kwangu mwanamke wa kiafrika anasifa hizi kwa mwonekano wa nje anangozi nzuri, umbo mwanana,ana vutia sana hata kwa kumtizama tu. pasi kuvua nguo.yaani wamekaa kubembeleza bembeleza hivi ukilinganisha na mzungu. tizama wanawake wa kitusi ama ethiopia ama eritrea anma swazland kisha njoo hapa tanzania, nenda kondoa, uchagani, tanga, arusha lolest jamani tu wazuri sisi.

Mzungu kwangu mimi ana ngozi mbaya havutii hata kama atakaa uchi wengi wao pia kama siyo make up basi wangetisha. maumbo yao yanechorwa kwa rula sana utafikiri sanamu ya juma na rosa.

bora wanawake wa kihindi wengine waweza kuwakuta wana sura nzuri sana na ingawa hawa maumbo yamewaumbua. Waarabu jamani they are also cute na hata maumbo yao ni mazuri sana
 
Mi kama mtoa mada phne yngu inazungu, na pic ya wazungu kali kinoma, yan nyie wadada wa kibantu mnaotea zero asee, kama kuna aliyena pic lete khapa
 
Ngoz nyeupe, yoyote ile! Ila wabongo hawaotei chochote mkuu! Lete pic 2one
 
jamani mbona bila hata picha hili swala linajadilika? kwanza kabisa uzuri uko machoni pa mwonaji mwenyewe. Pili waafrika na wazungu wanaweza kuwa na na uzuri sawa ama wakatofautiana.

but miye kwangu mwanamke wa kiafrika anasifa hizi kwa mwonekano wa nje anangozi nzuri, umbo mwanana,ana vutia sana hata kwa kumtizama tu. pasi kuvua nguo.yaani wamekaa kubembeleza bembeleza hivi ukilinganisha na mzungu. tizama wanawake wa kitusi ama ethiopia ama eritrea anma swazland kisha njoo hapa tanzania, nenda kondoa, uchagani, tanga, arusha lolest jamani tu wazuri sisi.

Mzungu kwangu mimi ana ngozi mbaya havutii hata kama atakaa uchi wengi wao pia kama siyo make up basi wangetisha. maumbo yao yanechorwa kwa rula sana utafikiri sanamu ya juma na rosa.

bora wanawake wa kihindi wengine waweza kuwakuta wana sura nzuri sana na ingawa hawa maumbo yamewaumbua. Waarabu jamani they are also cute na hata maumbo yao ni mazuri sana
gfsonwin my sis girls wa kiafrica wana kila sifa,si maumbile tu kwa kila kitu,ila kuna latino mhh,nao wapo juu.
 
Last edited by a moderator:

ni kweli ma lito bro, but wewe usiwe unasoma sana post za dada yako eeh! hata Eiyer nimemkataza si unajua ma dearest, sitaki kuwakuza miye.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom