Wasichana wa Afrika Kusini ni hatari

Habari wakuu.

Hii imenikuta juzi tu hapa.

Mara kwa mara siku za weekend napenda kwenda club huku South Africa sasa bana kuna kidemu fulani hivi nishakipitiaga miezi iliyopita mara moja tu. Sasa nikiwa nakutana nae club hataki ananikazie ile mbaya na kuniita Malaya kila demu nataka kula mimi nikaona ananizingua nikamzimia data.

Kuna siku nikaenda club nyingine hivi nikatongoza muhudumu daah mtoto mkali sana mweupe halafu kidogo dogo 😂..siku ya kwanza akanipatia namba nikasema fresh.

Ilikuwa katikati ya wiki siku ya J5 nikampigia muhudumu siku hiyo hakuwa anafanya kazi tukaenda kupata dinner na kunywa pombe kidogo baada ya hapo tukaenda club ambayo wanakesha hadi asubuhi 5:30am..

Siku hiyo nilikunywa mbaya sasa bana nikamuona yule demu asee pombe hizi nilimuona bonge la demu akaniambia (babe Today I need u) nikamjibu okay I'm here we gonna go together to my hood.

Sasa bana muda umefika wa kuondoka yule muhudumu namwambia tuondoke akaniambia ngoja kuna kitu naongea na rafki yangu nikamwambia utanikuta kwenye gari nje...Imepita dakika 5 tu yule demu wakunikazia huyo katokea maana gari anaijua. Akaniambia babe letz go.

Asee bana kumbe yule demu muhudumu aliona mchezo wote mule ndani ya club. Sasa tukapitia sheli kuweka mafuta na kununua vitu vya kula kimtindo...kumbe yule demu kachukuwa tax kawahi nyumbani akawa ameekaa reception na mlinzi wa usiku...

Mimi nikangia sehemu ya parking nikapak gari tukashuka na yule demu sasa bana naenda kuchukuwa funguo kwa mlinzi maana niliacha kwajili ya usalama nisije kupoteza. Nikamkuta yule demu muhudumu nikajifanya kama simuoni asee akaanza kuniita halafu na yule demu wa kunikazia yupo nae. Sasa huwezi kungia ndani bila password kwahiyo mlinzi aliniuliza nimfungulie? Siunajua pombe noma nikamwambia fungua ndemu akazama ndani.

Tukapanda lift pamoja hadi geto sasa balaa likanza mizozo mimi nikapanda kitandani nikaacha wenyewe wazozane nishavurugwa..sasa bana yule wa kunikazia akaniuliza are u gonna sleep with me or this chick? Asee majibu ya pombe noma don't ask me fu....k question like that.

Yule demu muhudumu akachukuwa vitu vyake akaondoka....

Tukabaki na yule demu ambaye alinikazia nikala mzigo fresh tu...

Sasa bana kesho yake mida ya mchana nikampigia mhudumu kumuomba msamaha ili nile mzigo tu...kweli siku za mbeleni nimekula fresh tu na jana nimetoka kumpa R600 😂😂😂

Yule wakunikazia aliniomba nimuongezee kodi na mimi nikamkazia 😂💪

Hii ni true story wakuu.

Ni ndefu sana ila nimefupisha tu.
Ngoja uje upigwe bisu la kifuani.
 
Wacha uongo hakuna sehemu iliyohalaloshwa ya kuuza nyapu....juzi tu hamefukuzwa unaongea nini mkuu mimi naishi huku...labda sheria hiyo ipo maadhi ya Province na wahudumu wapo kama kawaida kwenye clubs
Kama unasema wauza ngono hawajahalalishwa basi wewe haupo SA.
 
Kuna Mnigeria anafanya kazi kwenye nursing home through agency. Amejenga apartments 12 za vyumba viwili kila moja, ni jengo la ghorofa tatu.

Ananiambia kuwanja alinunua kwa £15,000. Baada ya hapo alitafuta ramani, anaanza kuweka pesa. Akipata £10,000 anakwenda nyumbani. Anashinda site na mafundi mpaka pesa inakata.

Ilimchukua miaka 8, katika miaka hii hakwenda disco wala party kila siku alipiga mzigo.

Sasa hivi anapangisha nyumba moja £120 kwa nwezi.
Kiwanja pound 15,000 ilikua mwaka gani huo? Dunia ya kwanza hakuna kununua kiwanja na kujenga nyumba huko wananunua majengo na ku renovate...au unamaanisha alifanya hivyo nchini kwao nigeria?
 
Nikuonye tu,ushamba wa mapenzi ndo sababu zinazopelekea wabongo wengi kurudishwa wakiwa kwenye macofin..
Usicheze na hisia za madem wa kisauz
 
Na wakikupa Ukimwi uje upost ulivyopata ngoma maana amna mademu malaya kama watoto wa kizulu
Jamani sii wote tutakufa wacha tuenjoy mbususu.
Wee unasema wazulu hujaonja wa xhosa...hao ndio balaaa wanapenda kugegedana hatari. Alafu uzuri wao wale hawa story za sijui kugegedwa na mbooo moja.....so next time unaenda gegedana nae u akuta anakupea style mpya
 
Kama unasema wauza ngono hawajahalalishwa basi wewe haupo SA.
Basi ingekuwa cops hawawapi taarifa wanaofanya hizo biashara siku yao ya kazi kazi kwajili ya biashara ya ngono....acha izo mkuu tatizo ujuaji mwingi
 
Jamani sii wote tutakufa wacha tuenjoy mbususu.
Wee unasema wazulu hujaonja wa xhosa...hao ndio balaaa wanapenda kugegedana hatari. Alafu uzuri wao wale hawa story za sijui kugegedwa na mbooo moja.....so next time unaenda gegedana nae u akuta anakupea style mpya
Mkuu upo huku nini?
 
Hii ni sababu moja wapo inayowafanya Watanzania wengi hususani vijana wa siku hizi wanashindwa kutoka kimaisha.

Hebu fikiria mtu ameenda kuzisaka kwa watu alafu anaingia kwenye ulimbukeni na maisha ya starehe kiasi hicho? Starehe ambayo inamgharimu muda (mtu anakesha club mpaka saa kumi na moja alfajiri), hela (unaanza kulipia stahere, machangudoa na kuwalipia kodi yao ya nyumba), uwezekano mkubwa wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa (mwisho ni umauti tu) na kibaya zaidi ni uwezekano wa kuingia kwenye mikono ya wahuni wakakumalizia mbali kwa kujifanya mjanja.

Mwisho wa siku jeneza linaporudi Tanzania, utasikia mtoto wetu amerogwa, hakuna mchawi hapo. Ni mfumo wa maisha aliyochagua mtu.

Utapoteza fursa na muda ujanani vibaya mno usipojiangalia, utakuja kulia chooni.
What a wise article!
 
Jamani sii wote tutakufa wacha tuenjoy mbususu.
Wee unasema wazulu hujaonja wa xhosa...hao ndio balaaa wanapenda kugegedana hatari. Alafu uzuri wao wale hawa story za sijui kugegedwa na mbooo moja.....so next time unaenda gegedana nae u akuta anakupea style mpya
Hahahahah waxhosa ndio balaa kumbe😂
 
Hii ni sababu moja wapo inayowafanya Watanzania wengi hususani vijana wa siku hizi wanashindwa kutoka kimaisha.

Hebu fikiria mtu ameenda kuzisaka kwa watu alafu anaingia kwenye ulimbukeni na maisha ya starehe kiasi hicho? Starehe ambayo inamgharimu muda (mtu anakesha club mpaka saa kumi na moja alfajiri), hela (unaanza kulipia stahere, machangudoa na kuwalipia kodi yao ya nyumba), uwezekano mkubwa wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa (mwisho ni umauti tu) na kibaya zaidi ni uwezekano wa kuingia kwenye mikono ya wahuni wakakumalizia mbali kwa kujifanya mjanja.

Mwisho wa siku jeneza linaporudi Tanzania, utasikia mtoto wetu amerogwa, hakuna mchawi hapo. Ni mfumo wa maisha aliyochagua mtu.

Utapoteza fursa na muda ujanani vibaya mno usipojiangalia, utakuja kulia chooni.
Mawaidha mazuri sana!
 
Na hawezi kukwambia kama ni muuza unga.

Hakuna mtu anatoka kwa kazi za kuajiriwa usidanganyike.
Nurse, Mwalimu, Pharmacist, Dr, Engineer wanakamata hela nzuri Ulaya. Kuna mpopo ni Dr Bingwa, kwao amejenga studio flats karibu na university, zina units 200.
 
Back
Top Bottom