Wasichana wa Afrika Kusini ni hatari

Mnachezea pesa mkirudigi mnarudigi na viatu na manguo meengi tu.
 
Kuna Mnigeria anafanya kazi kwenye nursing home through agency. Amejenga apartments 12 za vyumba viwili kila moja, ni jengo la ghorofa tatu.

Ananiambia kuwanja alinunua kwa £15,000. Baada ya hapo alitafuta ramani, anaanza kuweka pesa. Akipata £10,000 anakwenda nyumbani. Anashinda site na mafundi mpaka pesa inakata.

Ilimchukua miaka 8, katika miaka hii hakwenda disco wala party kila siku alipiga mzigo.

Sasa hivi anapangisha nyumba moja £120 kwa nwezi.
Simulizi yako inatufundisha Nini! Wewe umejenga apartment ngapi? Acha kutamani maisha ya watu. Acha mtoa Uzi ale maisha. Life is too short.
 
Kuzidi watutsi?
Au eritreans women?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaongelea vitu unavyoviona kwenye tv au magazeti na kuhadithiwa, South Africa kutokana na lishe bora na maisha mazuri mademu wengi ni wakali sana yani wana mvuto kuliko unavyoamini wewe.

Kwanza ujuwe unapoongelea South Africa kuna matabaka manne, wazungu, wahindi, coloured na wanyama, sasa pata picha hapo, hao coloured tu watutsi wanasubiri hapo, ni kama unavyoona watoto wakali wa kiarabu.
 
Mkuu naona umedandia tren kwa mbele sasa...ungeuliza nipo South Africa sehemu gani....huwenda sehemu ambayo nipo kuna baadhi yao humu wapo pia na hizo sehemu nikizitaja kama ni watu wa viwanja wanazijua kabisa maana ni maarufu ile mbaya...

Unateseka ukiwa tandale au mbulahati?
Mi nmeongea ukweli hii story ni ya Muddy na siku ile anasimulia tulikuwa wote nawe ulikuwa unanyolewa. Leo unakuja iweka huku kama vile ni yako...siyo sahihi.... Muddy mwenyewe ni vile hayumo JF na hukujua kuwa si wengine tupo. Na umejuaje kuwa huwa kijiwe chetu kipo Tandale au Mburahati? Unajichanganya mwenyewe na nikiwaambia wana kuwa una mambo ya Kiwaki watakupiga marufuku kuja pale kunyoa nywele na kupiga stories.
 
Mi nmeongea ukweli hii story ni ya Muddy na siku ile anasimulia tulikuwa wote nawe ulikuwa unanyolewa. Leo unakuja iweka huku kama vile ni yako...siyo sahihi.... Muddy mwenyewe ni vile hayumo JF na hukujua kuwa si wengine tupo. Na umejuaje kuwa huwa kijiwe chetu kipo Tandale au ? Unajichanganya mwenyewe na nikiwaambia wana kuwa una mambo ya Kiwaki watakupiga marufuku kuja pale kunyoa nywele na kupiga stories.
Daah hujui ulisemalo mkuu acha kukurupuka Baba Jazey onge na huyu mkuu
 
Kuna Mnigeria anafanya kazi kwenye nursing home through agency. Amejenga apartments 12 za vyumba viwili kila moja, ni jengo la ghorofa tatu.

Ananiambia kuwanja alinunua kwa £15,000. Baada ya hapo alitafuta ramani, anaanza kuweka pesa. Akipata £10,000 anakwenda nyumbani. Anashinda site na mafundi mpaka pesa inakata.

Ilimchukua miaka 8, katika miaka hii hakwenda disco wala party kila siku alipiga mzigo.

Sasa hivi anapangisha nyumba moja £120 kwa nwezi.
ila bibi jaman.
 
Habari wakuu.

Hii imenikuta juzi tu hapa.

Mara kwa mara siku za weekend napenda kwenda club huku South Africa sasa bana kuna kidemu fulani hivi nishakipitiaga miezi iliyopita mara moja tu. Sasa nikiwa nakutana nae club hataki ananikazie ile mbaya na kuniita Malaya kila demu nataka kula mimi nikaona ananizingua nikamzimia data.

Kuna siku nikaenda club nyingine hivi nikatongoza muhudumu daah mtoto mkali sana mweupe halafu kidogo dogo 😂..siku ya kwanza akanipatia namba nikasema fresh.

Ilikuwa katikati ya wiki siku ya J5 nikampigia muhudumu siku hiyo hakuwa anafanya kazi tukaenda kupata dinner na kunywa pombe kidogo baada ya hapo tukaenda club ambayo wanakesha hadi asubuhi 5:30am..

Siku hiyo nilikunywa mbaya sasa bana nikamuona yule demu asee pombe hizi nilimuona bonge la demu akaniambia (babe Today I need u) nikamjibu okay I'm here we gonna go together to my hood.

Sasa bana muda umefika wa kuondoka yule muhudumu namwambia tuondoke akaniambia ngoja kuna kitu naongea na rafki yangu nikamwambia utanikuta kwenye gari nje...Imepita dakika 5 tu yule demu wakunikazia huyo katokea maana gari anaijua. Akaniambia babe letz go.

Asee bana kumbe yule demu muhudumu aliona mchezo wote mule ndani ya club. Sasa tukapitia sheli kuweka mafuta na kununua vitu vya kula kimtindo...kumbe yule demu kachukuwa tax kawahi nyumbani akawa ameekaa reception na mlinzi wa usiku...

Mimi nikangia sehemu ya parking nikapak gari tukashuka na yule demu sasa bana naenda kuchukuwa funguo kwa mlinzi maana niliacha kwajili ya usalama nisije kupoteza. Nikamkuta yule demu muhudumu nikajifanya kama simuoni asee akaanza kuniita halafu na yule demu wa kunikazia yupo nae. Sasa huwezi kungia ndani bila password kwahiyo mlinzi aliniuliza nimfungulie? Siunajua pombe noma nikamwambia fungua ndemu akazama ndani.

Tukapanda lift pamoja hadi geto sasa balaa likanza mizozo mimi nikapanda kitandani nikaacha wenyewe wazozane nishavurugwa..sasa bana yule wa kunikazia akaniuliza are u gonna sleep with me or this chick? Asee majibu ya pombe noma don't ask me fu....k question like that.

Yule demu muhudumu akachukuwa vitu vyake akaondoka....

Tukabaki na yule demu ambaye alinikazia nikala mzigo fresh tu...

Sasa bana kesho yake mida ya mchana nikampigia mhudumu kumuomba msamaha ili nile mzigo tu...kweli siku za mbeleni nimekula fresh tu na jana nimetoka kumpa R600 😂😂😂

Yule wakunikazia aliniomba nimuongezee kodi na mimi nikamkazia 😂💪

Hii ni true story wakuu.

Ni ndefu sana ila nimefupisha tu.
Muulize konda msafi ..anajua wewe Cha mtoto.

Kifumbi wale watu wamejaliwa kuwa na bums na hawajui kunyima.
 
Back
Top Bottom