Wasichana wa Afrika Kusini ni hatari

Hii ni sababu moja wapo inayowafanya Watanzania wengi hususani vijana wa siku hizi wanashindwa kutoka kimaisha.

Hebu fikiria mtu ameenda kuzisaka kwa watu alafu anaingia kwenye ulimbukeni na maisha ya starehe kiasi hicho? Starehe ambayo inamgharimu muda (mtu anakesha club mpaka saa kumi na moja alfajiri), hela (unaanza kulipia stahere, machangudoa na kuwalipia kodi yao ya nyumba), uwezekano mkubwa wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa (mwisho ni umauti tu) na kibaya zaidi ni uwezekano wa kuingia kwenye mikono ya wahuni wakakumalizia mbali kwa kujifanya mjanja.


Mwisho wa siku jeneza linaporudi Tanzania, utasikia mtoto wetu amerogwa, hakuna mchawi hapo. Ni mfumo wa maisha aliyochagua mtu.

Utapoteza fursa na muda ujanani vibaya mno usipojiangalia, utakuja kulia chooni.
So kutokula Gambe+Nyapuz Ndio Kutoka kimaisha? Hiyo ni sehemu ya kurefresh
 
Hii umesimuliwa na Muddy Masangaza nawe umeileta huku? Na umekosea hata hujui kusimulia dogo uwe una acknowledge kazi za watu. Na hapo ndo upo form three.
Mkuu naona umedandia tren kwa mbele sasa...ungeuliza nipo South Africa sehemu gani....huwenda sehemu ambayo nipo kuna baadhi yao humu wapo pia na hizo sehemu nikizitaja kama ni watu wa viwanja wanazijua kabisa maana ni maarufu ile mbaya...

Unateseka ukiwa tandale au mbulahati?
 
Hiyo pamoja na hotel au nauli tu 😂😂😂 mkuu unamuuzia kituo mkuu
Hiyo sii unapanda mwewe mzeya mpaka sauz na kirudi au wee hunampango wakurudi bongo ule mbususu za mswati 🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo sii unapanda mwewe mzeya mpaka sauz na kirudi au wee hunampango wakurudi bongo ule mbususu za mswati 🤣🤣🤣🤣
Daah mkuu nauli ya kuja huku ni $500 afu ni go and return siku ukuja The City of Gold niambie
 
shida madem wa south wana mizigo kishenzi tatizo linakuja WANA VITAMBI KAMA KINGWENDU
Mkuu labda huko ulipo asee huku nilipo daah wadigo wanasema (kwani kwachumwani)😂😂😂
 
Nilishawahi kutembelea sehemu inaitwa Midrand, Johanesburgy... mademu wazuri wanamishepu nux ila tatizo vitambi. Mademu wa pale ni kama focus yao hua ni kujaza makalio mana kila demu ana kalio haswa.
South Africa nyama ni very cheap na black South African wanapenda Pap and meat, kwahiyo usishangae figure hizo.

Nenda Cape town ukutane na rangi za masiah (colourds) hakika hakina hakuna wanawake wameumbika kama hao na figure za kulipa.
 
Back
Top Bottom