Wasichana: Jisafisheni miili yenu mnatia aibu

Unajua nini wewe ikiwa ulitahiriwa na miaka mi 4 hata jando hukwenda!! Alafu mimi katika maisha yangu yoote huwa sibishani na watu design yenu maana hakuna mnachojua zaidi ya kishughulisha viungo vyenu,hamna siri Hanna vifua vya kubeba mambo yaani mko sawa sawa na wanawake wasiofundwa

Huu Uzi nimecheka kwakweli
 
afadhali umeongelea wasichana ... wanawake tupo tofauti
Na pia boys mambo ya geto, sisi wanaume pia tuko tofauti na boys ujue, huwa hatukutani na hayo mauza uza, hayo ni kwa boys tuu na girls not for ladies and gentlemen,
 
Mtoa Mada katukana, wachangia mada Mnatukana basi mimi nawaangalia tu mkitukanana, ila mfahamu "Hatukutakiwa kutukanana, sijui ma boxer machafu n.k tulitakiwa tumuelelimishe huyu kijana kwamba Govi ni uchafu ndio maana alitolewa badala ya kutangazwa"
Kama aliyenae ni mchafu hakutakiwa kumtangaza hapa, ila kuomba ushauri wa namna bora ya mwanamke kusafisha tupu zake, bila kashfa bila matusi

Kusema uchafu wa ndani/mwili wa wasichana si kutukana hata kama wewe ukisema boy friend wako anavaa boxer chafu si tusi. Kwani hujuwi tofauti ya matusi na usafi wa mwili?
 
Nikimkuta mwanamke mremboooo halafu akuja ndefu,akhhhh namuona kama nzi wa choon kbsa.huwa sipendi kabisa mwanamke mwenye kujielewa awe na kucha ndefu.huu ni uchafu uliopitiliza tena unaomzidi nzi wa choon

Mara nyingi mwanamke mwenye kucha ndefu ni mchafu wa sehemu za asili, kwani wanakuwa hawajioshi kisawasawa. Wengi wa hao wanawake wananuka ile sehemu usisikie.
 
Kusema uchafu wa ndani/mwili wa wasichana si kutukana hata kama wewe ukisema boy friend wako anavaa boxer chafu si tusi. Kwani hujuwi tofauti ya matusi na usafi wa mwili?
Kabla sijakujibu naomba kujua kama una kikoromeo hapo ulipo au una shingo tu pekee kama Dada yako
 
Mara nyingi mwanamke mwenye kucha ndefu ni mchafu wa sehemu za asili, kwani wanakuwa hawajioshi kisawasawa. Wengi wa hao wanawake wananuka ile sehemu usisikie.

Jiulize mtu anaweka kucha za bandia then anajisafishaje sehemu ya haja kubwa???ukipata jibu hata chakula chake huwezi kula ingawa watajitetea sana.mimi pia ni mwanamke lkn nikikuta mwanamke mwenye makucha anaandaa chakula sili.

Anza kuvuta picha sasa...mtu anajisafisha sehem ya haja kubwa..ptuuuuu naomba niishie hapa
 
We una nini.....mimi nina dushe na sivai boxer chafu, walitaka mdomo mwako hilo dushe?
nacheeka kwa dharau sana! Wewe usifikiri kila mwanamke ni wa type yako!! Kiufupi tu we humfikii mume wangu hata kidogo, yaani hata manukato yake hufanani nae
Kiufupi tu nimekuuliza kwa sababu for so Long tumeamimishwa mwanaume mwenye kikoromeo ni mwanaume aliyebarikiwa mwenye uvumilivu na uwezo wa kustahilimili mambo
"ndio maana wanaume wa zamani karibu wote walipewa kikoromeo". Sasa nyie wavulana wa Leo mliopewa shingo mororo ndio mnataka kushida humu msindane na Dada zenu,off course mimi ni Dada yako lakini huna sababu ya kuniheshimu sababu hujapewa kikoromeo
Uume hata mtoto aliyezaliwa leo na hata yule wa darasa la 7 anao kwaiyo tuliza akili hiko sio kipo cha uanaume wako
*Mwanaume wa kweli ni mlinzi kwa mkewe (girlfriend wake)
*Mwanaume wa kweli ni mwelevu na sio mbea kama mfanyavyo nyie, kama kuna tatizo kwenye mahusiano yake humuita mwenzi wake na kukaa nae chini kisha kumueleza hivi na hivi sio
*Mwanaume wa kweli ni mwalimu ma kiongozi wa familia yake (kitu ambacho wewe huna na umejaaliwa matusi) hope sifa za Mwl na kiongozi unazijua basi Huyo ndio mwanaume wa kweli
*Kinywa cha mwanaume rijali hutamka maneno yenye kujenga ndani yake na sio Yale yenye kuchefua moyo
NB.yote hayo walifundishwa wakiwa jando, muulize baba yako atakwambia
 
ligi ndogo ndio 0713 au?
Hapo huwa pachafu automatically...
Generally, ukimkuta mchafu kimwili its ok kumwambia arekebishe ili mwende sawa
Ukikaa kimya utakuwa unafiki...
Mkuu unaanzaje kumwambia? Kama yeye hawezi kujiweka safi ni shauri yake binafsi.
 
nacheeka kwa dharau sana! Wewe usifikiri kila mwanamke ni wa type yako!! Kiufupi tu we humfikii mume wangu hata kidogo, yaani hata manukato yake hufanani nae
Kiufupi tu nimekuuliza kwa sababu for so Long tumeamimishwa mwanaume mwenye kikoromeo ni mwanaume aliyebarikiwa mwenye uvumilivu na uwezo wa kustahilimili mambo
"ndio maana wanaume wa zamani karibu wote walipewa kikoromeo". Sasa nyie wavulana wa Leo mliopewa shingo mororo ndio mnataka kushida humu msindane na Dada zenu,off course mimi ni Dada yako lakini huna sababu ya kuniheshimu sababu hujapewa kikoromeo
Uume hata mtoto aliyezaliwa leo na hata yule wa darasa la 7 anao kwaiyo tuliza akili hiko sio kipo cha uanaume wako
*Mwanaume wa kweli ni mlinzi kwa mkewe (girlfriend wake)
*Mwanaume wa kweli ni mwelevu na sio mbea kama mfanyavyo nyie, kama kuna tatizo kwenye mahusiano yake humuita mwenzi wake na kukaa nae chini kisha kumueleza hivi na hivi sio
*Mwanaume wa kweli ni mwalimu ma kiongozi wa familia yake (kitu ambacho wewe huna na umejaaliwa matusi) hope sifa za Mwl na kiongozi unazijua basi Huyo ndio mwanaume wa kweli
*Kinywa cha mwanaume rijali hutamka maneno yenye kujenga ndani yake na sio Yale yenye kuchefua moyo
NB.yote hayo walifundishwa wakiwa jando, muulize baba yako atakwambia

High Five to You
 
Mkuu unaanzaje kumwambia? Kama yeye hawezi kujiweka safi ni shauri yake binafsi.
Katika vitu vinavyochangia kuvunjika kwa mahusiano basi ni hali ya wenza kuogopa kuambiana mapungufu yao
Uwazi ni njia bora ya kuishi na mwenzio kwa amani na ukamfurahia,tumia iyo principle ya "Openness" itakusaidia sana katika mambo mengi hasa mahusiano katika ndoa
 
nacheeka kwa dharau sana! Wewe usifikiri kila mwanamke ni wa type yako!! Kiufupi tu we humfikii mume wangu hata kidogo, yaani hata manukato yake hufanani nae
Kiufupi tu nimekuuliza kwa sababu for so Long tumeamimishwa mwanaume mwenye kikoromeo ni mwanaume aliyebarikiwa mwenye uvumilivu na uwezo wa kustahilimili mambo
"ndio maana wanaume wa zamani karibu wote walipewa kikoromeo". Sasa nyie wavulana wa Leo mliopewa shingo mororo ndio mnataka kushida humu msindane na Dada zenu,off course mimi ni Dada yako lakini huna sababu ya kuniheshimu sababu hujapewa kikoromeo
Uume hata mtoto aliyezaliwa leo na hata yule wa darasa la 7 anao kwaiyo tuliza akili hiko sio kipo cha uanaume wako
*Mwanaume wa kweli ni mlinzi kwa mkewe (girlfriend wake)
*Mwanaume wa kweli ni mwelevu na sio mbea kama mfanyavyo nyie, kama kuna tatizo kwenye mahusiano yake humuita mwenzi wake na kukaa nae chini kisha kumueleza hivi na hivi sio
*Mwanaume wa kweli ni mwalimu ma kiongozi wa familia yake (kitu ambacho wewe huna na umejaaliwa matusi) hope sifa za Mwl na kiongozi unazijua basi Huyo ndio mwanaume wa kweli
*Kinywa cha mwanaume rijali hutamka maneno yenye kujenga ndani yake na sio Yale yenye kuchefua moyo
NB.yote hayo walifundishwa wakiwa jando, muulize baba yako atakwambia

Huu ndio uzuri wa JF....mtu kama humjuwi utaandika mengi tu mazuri ama ya kashfa dhidi yake. Nashukuru kwa yote ila ukweli ni kwamba hunijuwi kama usemavyo na nina uhakika kama ungeniona live ungejiuliza mara mbili na pengine hata mumeo ungemuona kikoromeo. Jipe moyo kuwa anakujali ila najuwa hauko pekee kwenye ndoa yako. Bongo hii, wajanja ni wengi mno na usikute anayekula na mumeo ama boy friend wako ni jrani ama rafikiyo. Ipo siku utakuja kunikumbuka. Natanguliza pole kwako.
 
Umeanza uchokonoaji wa ndoa za watu, watu kama nyie hamna tofauti na waganga wa kienyeji mnataka kujulikana na kila mtu "eti unijuwi..." Sasa una nini la maana ikiwa kichwani tu yaonyesha u Mweupeee kama unga wa ngano unamung'uka kulingana na matakwa ya mkandaji
 
Wanawake wa kibongo haswa wa Dar, ni kero mno na wanatia kinyaa. Utaona janajike limevaa nywele za marehemu (wigi) ya kilo 7 halafu zinanukaaa na kucha za paka yaani hata ku-dial simu anashindwa, mtu kama huyu atawezaje kusafisha papuchi au hata kujichamba vizuri? Kwa kweli wanaboa sana hawa wanawake.
 
Back
Top Bottom