UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,240
- 9,655
Nitaona faida ya haya majadiliano.Wewe ukishajua nilichojifunza utafanya nini?
Nitaona faida ya haya majadiliano.Wewe ukishajua nilichojifunza utafanya nini?
Kwahiyo nawe unaamini kwamba utaenda minguni?Huyo mimi simfahamu, ila nnachofahamu njia ya kwenda mbinguni ni moja. na NJIA HIYO NI YESU PEKEE.
"...Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia? Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya Mimi." YOHANA 14:5-6.
Sio kuamini tu, bali pia ninajua kuwa mimi ni wa mbinguni. Ikiwa wewe bado hujajua hilo, unajichelewesha mkuu, njoo kabidhi maisha kwa Bwana Yesu uwe na uhakika wa maisha haya na yale yajayo (after physical death)Kwahiyo nawe unaamini kwamba utaenda minguni?
Kasome kwanza Luka 12:32, Ufunuo 14:1-3, Zaburi 37:29 na Yohana 5:28-29 kisha urudi hapa. Maana inaonekana hata hujui kuwa idadi ya watakatifu watakaoingia mbinguni ni wangapiSio kuamini tu, bali pia ninajua kuwa mimi ni wa mbinguni. Ikiwa wewe bado hujajua hilo, unajichelewesha mkuu, njoo kabidhi maisha kwa Bwana Yesu uwe na uhakika wa maisha haya na yale yajayo (after physical death)
Nimepasoma pote mkuu, lakini sijajua umesimamia nini ktk hayo. Where is your point?Kasome kwanza Luka 12:32, Ufunuo 14:1, Zaburi 37:29 na Yohana 5:28, 29 kisha urudi hapa. Maana inaonekana hata hujui kuwa idadi ya watakatifu watakaoingia mbinguni ni wangapi
Waishi bila kutegemea sadaka..bwahahahaaaa..sio wote. Wakatoliki wengi ni vichwa wewe. wacheck Watakatifu wachache tu: Agustino, Thomas Akwino, Yohane Paulo II na wengine kibao. Mapapa, Makardinali, Maaskofu, Mapadri, Mashemasi, Watawa kibao tu.
Idadi ya watakaoingia mbinguniNimepasoma pote mkuu, lakini sijajua umesimamia nini ktk hayo. Where is your point?
Sio lazima,ila maelezo uliyoyatoa kwenye post yako yanahitaji mifano.
Mimi nimejifunza kwamba dini ni mradi uchwara.Nitaona faida ya haya majadiliano.
Sijui alikula maharagwe ya wapi yuleeeee, tulikua tunamuheshimu sanaaa, mpuuuzii yuleee. ..........ni naniii aliyekulogasio wote. Wakatoliki wengi ni vichwa wewe. wacheck Watakatifu wachache tu: Agustino, Thomas Akwino, Yohane Paulo II na wengine kibao. Mapapa, Makardinali, Maaskofu, Mapadri, Mashemasi, Watawa kibao tu.
Neno la Mungu liko wazi khs idadi ya wataongia mbinguni. Ni wengi mno hata hapana awezae kuwahesabu, watu wa kila taifa, na kabila, na jamaa, na lugha,...... Soma vizuri UFUNUO WA YOHANA 7:9-Idadi ya watakaoingia mbinguni
Mapadre wa Shirika la Jesuits....These are the most intelligent people....sio wote. Wakatoliki wengi ni vichwa wewe. wacheck Watakatifu wachache tu: Agustino, Thomas Akwino, Yohane Paulo II na wengine kibao. Mapapa, Makardinali, Maaskofu, Mapadri, Mashemasi, Watawa kibao tu.
Endelea kutoa mifano,maana tunataka kuona tofauti ya wenye dini na wasiokuwa na dini.View attachment 433535Hiyo ni picha ya mfiadni aliyeuwawa na mchungaji wake baada ya kumwekea hiyo spika na kisha kumgandamiza kwa kuikalia juu yake.
Mchungaji aliwaambia waumini kuwa anauwezo wa kufanya hivyo na kwa uwezo wa Mungu hatokufa wala kudhurika.Matokeo yake muumini alikufa.....Tukio hilo lilitokea SA mwezi wa nane mwaka huu, hata hivyo mchungaji alimlaumu marehemu kwa kudai kwamba hakuwa na imani ya kutosha ndio maana alikufa.......Unaona jinsi wafia dini walivyo na IQ ndogo?