Washika dini wana IQ ndogo kuliko wasioshika dini?

Washika dini wana IQ ndogo kuliko wasioshika dini?

Hii ni miongoni mwa post bora kabisa kuziona hapa JF.Wafia dini wengi ni vila.za! tatizo dogo la kutatua kwa dakika mbili analipeleka kwa hao wanaomiliki dini ili wafikirie na kuliamulia kwa niaba yake.Nikiwaangalia huku mitaani wanaishi maisha ya shida sana! chuki, utengano, kunyonyana, kutesana na kupotezeana muda ndio sifa zao.

Utakuta mtu anang'ang'ana na dini ili tu apate kampani ya kumzika atakapo kufa, wengine ni wale wasio na uti wa mgongo.Wao wanashika dini ili kuwafurahisha ndugu, jamaa, marafiki, na viongozi wao wa dini.Wao wapo kama Ng'ombe waliofungwa nira wasijue namna ya kujinasua.

Kitendo cha kufuata dini zenye mikanganyiko lukuki ni ushahidi tosha kwamba wanauwezo mdogo wa kufikiri logically na uwezo wao wa kufanya tathmini juu ya jambo flani ni mdogo.Dini zina mikanganyiko ya wazi kabisa lakini ukiwauliza watakuambia wewe amini tu,....Kwanini tuamini badala ya kuelewa?....jibu ni kwamba IMANI NI UVIVU WA KUFIKIRI!!! Na ndio sababu kubwa wanaficha madhaifu ya dini kwenye IMANI kwa sababu wanajua IMANI ni kifungo cha fahamu za watu hivyo hawataweza kuhoji chochote.

Mtu akieleza madhaifu na hasara za dini, ataandika maelfu ya vitabu na bado watu wasimwelewe kwa sababu akili zao ni ndogo, wao wanaamini kuna Dude lipo huko angani linaitwa MUNGU ambalo ndilo linaloongoza uhai na vyote vilivyopo Ulimwenguni.....Wanaishi kwa hofu wakihofia kuadhibiwa na MUNGU kwa kuvunjia kanuni zake wasijue hizo kanuni ni mbinu za watu kama wao walionuia kuwa maniplate..........Kwa upande wangu, dini plus Mungu nilishafutilia mbali tangu nilipokuwa na umri wa miaka minne.
Maelezo mengi..ungetoa na mifano hai kuthibitisha hayo maelezo yako,maelezo matupu haitosho.
 
Kama unamlaumu Einstein sababu ugunduzi wake ulisababisha vifo vya wajapani, usisahau kuwalaumu waliogundua Gari, Train, Meli na Ndege, maana gunduzi zao zimesababisha vifo vya watu wengi duniani kote......Ingawa sina takwimu sahihi.
Kwahiyo hapo umejifunza nini?
 
Umesema vizuri.Kama mimi naona ushoga ni mbaya na wewe unaona ni mzuri nikuache uendelee na ushoga.Sawa,nimekuacha.Ila siku inakuja ambapo kila goti litapigwa mbele ya Bwana Yesu na kukiri kwamba yeye ni Bwana.Bado hujachelewa nafasi ipo.
Bla bla bla!...hili ndilo tatizo lenyu kuu washika na wafia dini!
Chuki tupu!....ndugu haupo better than mwenzako, hilo lijue, infact asiyefia dini hana mzigo wa chuki na wenzake moyoni.
Mmeshababisha vita kuu za kidini,maafa,chuki na tamaduni za ajabu ajabu.
Halafu "morality" inategemea sheria ,vtabu au mtu husika, ukionacho wewe kibaya mwenzako ana mtazamo tofauti kabisa na tusilazimishane jamani kwa maana kila mtu anacho anachokiamini au hata vitabu vya imani vipo tofauti tofauti.

Nikupe tu mfano wa nchi yangu Kenya,nchi inavyozidi kupiga hatua ,watu huondokana na uhitaji wa dini/imani kwani mtu yeyote mwenye akili zake haitaji dini/imani ili kutii sheria ama kutenda mema/yanayostahili katika jamii!
 
Washika dini ni watu wanao practice na kuamini dini zao zinavyosema
Binafsi Mimi sio mshika dini, bali nimemshika Yesu kisawasawa! Na ananiongoza na kufanikisha ktk yote. Mimi ni mshindi kwa yote, "kumcha Bwana ndio chanzo cha maarifa..." (MITH 1:7 ) Akili na maarifa yote chanzo chake ni Mungu.

after all, hutakiwi hushika dini bali unatakiwa kumshika Yesu.
 
sio wote. Wakatoliki wengi ni vichwa wewe. wacheck Watakatifu wachache tu: Agustino, Thomas Akwino, Yohane Paulo II na wengine kibao. Mapapa, Makardinali, Maaskofu, Mapadri, Mashemasi, Watawa kibao tu.
Hao wote uliowataja siyo vichwa katika ulimwengu tunaouzungumzia.
 
Binafsi Mimi sio mshika dini, bali nimemshika Yesu kisawasawa! Na ananiongoza na kufanikisha ktk yote. Mimi ni mshindi kwa yote, "kumcha Bwana ndio chanzo cha maarifa..." (MITH 1:7 ) Akili na maarifa yote chanzo chake ni Mungu.

after all, hutakiwi hushika dini bali unatakiwa kumshika Yesu.
Vipi kuhusu kumshika Muhammad S.A.W?
 
Utafiti umefanya na wasioshika dini. Watu walioshika dini sio walioshikishwa dini Uwezo wao hakuna wa kuwalinganisha nao maana zaidi ya IQ hii ya kibinadamu iliyochakazwa na dhambi, wao wana supernatural connection
 
Vipi kuhusu kumshika Muhammad S.A.W?
Huyo mimi simfahamu, ila nnachofahamu njia ya kwenda mbinguni ni moja. na NJIA HIYO NI YESU PEKEE.

"...Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia? Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya Mimi." YOHANA 14:5-6.
 
Huyo mimi simfahamu, ila nnachofahamu njia ya kwenda mbinguni ni moja. na NJIA HIYO NI YESU PEKEE.

"...Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia? Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya Mimi." YOHANA 14:5-6.
Kweli sasa nimeamini mtoa mada yupo sahihi[emoji23]
chinchilla coat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom