Washika dini wana IQ ndogo kuliko wasioshika dini?

Washika dini wana IQ ndogo kuliko wasioshika dini?

how do i know that, leta evidence? anyway research inazungumzia correlation na correlation sio kila unit itasapoti hiyo trend...got it?
Nimekuuliza fanya utafiti ukipata hawa jamaa wamefanya nini wakati katika maisha yao utapata jibu. Unajua hawa jamaa ambao hawamwamini Mungu muda wao mwingi ni kujaribu kupotosha kwa namna moja na nyingine watu waache kumwamini Mungu na waamini kila wanachoamini wao. Kwa hiyo ndugu hii ni vita zaidi ya vita.
 
Tafiti kadhaa zimeonyesha kuna uhusiano hasi 'negative correlation' kati ya washika dini na IQ
Hii inamaanisha kuwa kwa mara nyingi (sio zote) watu wasioshika dini wana uwezo mkubwa kiakili kuliko wale wanaoshika dini
IQ ni kipimo cha relative intelligence baina ya watu na maana ya intelligence ni uwezo wa kufanya mipango, kufikiria kwa mantiki, kujumuisha mawazo na kutatua matatizo

Pia utafiti huo umeonyesha wasioshika dini wanaweza kujenga mahusiano mazuri zaidi na watu kuliko washika dini

maelezo yaliyotolewa ni ni kuwa imani za dini hazina mantiki, haina misingi ya sayansi haziwezi na hivyo hazina mashiko kwa 'watu werevu'

Pia watu wenye IQ kubwa wanaweza kujua na kukabiliana na matatizo yao mengi hivyo kuwafanya wasitegmee na kuweka imani nguvu nyingine za miujiza na hiyo inawafanya wasiwe washika dini tofauti na walio na uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto wanakuwa wameona hakuna njia nyingine kabisa ya kukabilina na changamoto hivyo kutegemea dini

Pia kadiri watu wanavyokuwa na mafanikio na salama kiuchumi na kiafya, wanapoteza interest ya kwenda kuomba kupatiwa mahitaji yao na kutoka kwa nguvu nyingine



====================
Atheists tend to be more intelligent than religious people, according to a US study.

Researchers found that those with high IQs had greater self-control and were able to do more for themselves - so did not need the benefits that religion provides.

They also have better self esteem and built more supportive relationships, the study authors said.

The conclusions were the result of a review of 63 scientific studies about religion and intelligence dating between 1928 and last year.

In 53 of these there was a ‘reliable negative relation between intelligence and religiosity’.

In just 10 was that relationship positive.

Even among children, the more intelligent a child was the more probable it was that they would shun the church.

In old age the same trend persisted as well, the research showed.

The University of Rochester psychologists behind the study defined religion as involvement in some or all parts of a belief.

They defined intelligence as the ‘ability to reason, plan, solve problems, think abstractly, comprehend complex ideas, learn quickly, and learn from experience’.

In their conclusions, they said: ‘Most extant explanations (of a negative relation) share one central theme - the premise that religious beliefs are irrational, not anchored in science, not testable and, therefore, unappealing to intelligent people who ‘know better’.

‘Intelligent people typically spend more time in school - a form of self-regulation that may yield long-term benefits.

‘More intelligent people getting higher level jobs and better employment and higher salary may lead to higher self-esteem, and encourage personal control beliefs.’

Study co-author Jordan Silberman, a graduate student of neuroeconomics at the University of Rochester, said: ‘Intelligence may lead to greater self-control ability, self-esteem, perceived control over life events, and supportive relationships, obviating some of the benefits that religion sometimes provides.’
Research from the UK last week showed another drawback to being religious, or at least Christian - you lose out in the race for top jobs.

Official figures show nearly one in four people who have no religious belief now live in homes headed by someone with a senior executive job or a place in one of the professions.

But well under a fifth of Christians are employed in the best-paid and most influential jobs or are married to someone who is, according to the Office for National Statistics (ONS).

The last census, carried out in March 2011, showed a fall in the number of people that call themselves Christian in the UK.

Christian numbers in England and Wales, including children, fell by 4.1 million in a decade to 33.2 million.

However there was a 45 per cent rise over the same 10 years in numbers who say they have no religion, to 14.1 million.

Source: Daily Mail
Hivi bado hujajulishwa kuwa wale wasioamini na wenye IQ kubwa ni mashoga?
 
Nimekuuliza fanya utafiti ukipata hawa jamaa wamefanya nini wakati katika maisha yao utapata jibu. Unajua hawa jamaa ambao hawamwamini Mungu muda wao mwingi ni kujaribu kupotosha kwa namna moja na nyingine watu waache kumwamini Mungu na waamini kila wanachoamini wao. Kwa hiyo ndugu hii ni vita zaidi ya vita.
nawajua wamefanya nini, ila nimesema ushahidi wa hiyo misimamo yao kiimani ungeiweka hapa
 
"Everyone is a genius. But if you judge a fish by its ability to climb a tree, it will live its whole life believing that it is stupid"
Tukitafuta IQ Kwenye hayo makundi mawili kwa kutumia uelewa wao wa masuala ya DINI bila shaka nani watakuwa juu wanajulikana kabisa, ukitaka kujua IQ ya Bakhressa, Mohamed Dewji, Mengi n.k. na kwa upande mwingine Prof.Mkandala, Dr.Lwaitama, Prof. Baregu n.k. na kigezo kikawa maswali ya biashara nafikiri jibu wenye IQ kubwa wanajulikana ni akina nani hapo!
 
Ukichunguza hao wenye IQ kubwa ni lazima wapo kwenye dini ileeeee nyingine.
 
NNinaweza kusema ni kweli au sikweli.Wako watu IQ Zao ziko juu lakini kwenye mambo ya imani wametokea kuamini vitu vingine ambavyo unaona kabisa havipaswi kuaminiwa kiasi hicho.Na siyo katika suala la imani tu hata katika mambo mengine unaweza kukuta mtu ana uwezo mkubwa wa Kiakili lakini katika jambo au mambo fulani akaonekana kama vile IQ yake imeshindwa kumsaidia sawa sawa.

Mintarafu kwa upande wa imani, inategemea dini au imani husika inamfundisha nini huyo mtu.Kwa mfano Ukiristu wa Kikatoliki unahimiza, unafundisha na kujengea waamini wake ku-reason.Ndio maana utaona hakuna Padri anayesoma Theology kabla ya kuhitimu Philosophy.Lakini kama imetokea ukakutana na muumini wa hizi dini (imani) zingine za "Mwendokasi" bila shaka utahitimisha kama kadri ya uzi wako.
Umeonesha partiality ya hali ya juu.Wewe unasema ukatoliki unahimiza ku-reason? well pengine ni kweli ila kwa wanaosomea upadre tu lakini kwa waumini[majority] hawafundishwi chochote kuhusiana na ku-reason zaidi ya kuambiwa we amini tu.

Kama usemayo ni kweli, je kuna kipindi cha maswali na majibu kati ya waumini na viongozi wa dini kwenye ibada zozote za kikatoliki?

Ni maswali mangapi kati ya yale yanayobahatika kuulizwa kwenye Ukatoliki ambayo yana-share jibu moja yaani FUMBO LA IMANI?

Dini zote zinapenda kuwa na watu wapole, wanaotii chochote wanachoambiwa bila kuhoji wala kuuliza ili iwe rahisi kuwatawala.
 
Researchers walikuwa Atheists, Neutrals au Religious? Najaribu kujiuliza wakati wa data collections, ni jinsi gani tools zilizotumika hazikuwa biased? Mfano ukiwauliza 1000 religiuos people if they believe in dooms day, 100% will certainly believe. Na kama correlation itakuwa ku rate walioamini hivyo kuwa na poor IQ, that's will explain the negative correlation. But is it correct kusema kuwa anaeamini siku ya mwisho au uwepo wa Mungu ana IQ ndogo?

Licha ya hivyo kuna limited definition ya dini kuwa ni nini ktk hiyo research? Dini ni Mfumo kamili wa maisha ya binadamu ambao una elezea full details ya do and not to do's ktk kila aspect. Iwe ni ktk nyanja ya kisayansi au otherwise.

Mfano Religious people will not support abortion kama maisha ya mama hayapo hatarini, hawata support family planning methods ambazo hazipo advocated na mafunzo ya dini hizo.

Anyway naomba link au ni pm pdf ya hiyo research nijisomee zaidi
 
WAFUATAO NI WASHIKA DINI MAGINIOUS NA WALIOKUWA NA IQ KUBWA AMBAO MPAKA LEO DUNIA INAWAOTA.BAADHI YAO WALIKUWA WAZEE WA KANISA

Nicholas Copernicus (1473-1543)
Copernicus was the Polish astronomer who put forward the first mathematically based system of planets going around the sun. He attended various European universities, and became a Canon in the Catholic church in 1497. His new system was actually first presented in the Vatican gardens in 1533 before Pope Clement VII who approved, and urged Copernicus to publish it around this time. Copernicus was never under any threat of religious persecution - and was urged to publish both by Catholic Bishop Guise, Cardinal Schonberg, and the Protestant Professor George Rheticus. Copernicus referred sometimes to God in his works, and did not see his system as in conflict with the Bible.

Sir Francis Bacon (1561-1627)
Bacon was a philosopher who is known for establishing the scientific method of inquiry based on experimentation and inductive reasoning. In De Interpretatione Naturae Prooemium, Bacon established his goals as being the discovery of truth, service to his country, and service to the church. Although his work was based upon experimentation and reasoning, he rejected atheism as being the result of insufficient depth of philosophy, stating, "It is true, that a little philosophy inclineth man’s mind to atheism, but depth in philosophy bringeth men's minds about to religion; for while the mind of man looketh upon second causes scattered, it may sometimes rest in them, and go no further; but when it beholdeth the chain of them confederate, and linked together, it must needs fly to Providence and Deity." (Of Atheism)

Johannes Kepler (1571-1630)
Kepler was a brilliant mathematician and astronomer. He did early work on light, and established the laws of planetary motion about the sun. He also came close to reaching the Newtonian concept of universal gravity - well before Newton was born! His introduction of the idea of force in astronomy changed it radically in a modern direction. Kepler was an extremely sincere and pious Lutheran, whose works on astronomy contain writings about how space and the heavenly bodies represent the Trinity. Kepler suffered no persecution for his open avowal of the sun-centered system, and, indeed, was allowed as a Protestant to stay in Catholic Graz as a Professor (1595-1600) when other Protestants had been expelled!

Galileo Galilei (1564-1642)
Galileo is often remembered for his conflict with the Roman Catholic Church. His controversial work on the solar system was published in 1633. It had no proofs of a sun-centered system (Galileo's telescope discoveries did not indicate a moving earth) and his one "proof" based upon the tides was invalid. It ignored the correct elliptical orbits of planets published twenty five years earlier by Kepler. Since his work finished by putting the Pope's favorite argument in the mouth of the simpleton in the dialogue, the Pope (an old friend of Galileo's) was very offended. After the "trial" and being forbidden to teach the sun-centered system, Galileo did his most useful theoretical work, which was on dynamics. Galileo expressly said that the Bible cannot err, and saw his system as an alternate interpretation of the biblical texts.

Rene Descartes (1596-1650)
Descartes was a French mathematician, scientist and philosopher who has been called the father of modern philosophy. His school studies made him dissatisfied with previous philosophy: He had a deep religious faith as a Roman Catholic, which he retained to his dying day, along with a resolute, passionate desire to discover the truth. At the age of 24 he had a dream, and felt the vocational call to seek to bring knowledge together in one system of thought. His system began by asking what could be known if all else were doubted - suggesting the famous "I think therefore I am". Actually, it is often forgotten that the next step for Descartes was to establish the near certainty of the existence of God - for only if God both exists and would not want us to be deceived by our experiences - can we trust our senses and logical thought processes. God is, therefore, central to his whole philosophy. What he really wanted to see was that his philosophy be adopted as standard Roman Catholic teaching. Rene Descartes and Francis Bacon (1561-1626) are generally regarded as the key figures in the development of scientific methodology. Both had systems in which God was important, and both seem more devout than the average for their era.

Blaise Pascal (1623-1662)
Pascal was a French mathematician, physicist, inventor, writer and theologian. In mathematics, he published a treatise on the subject of projective geometry and established the foundation for probability theory. Pascal invented a mechanical calculator, and established the principles of vacuums and the pressure of air. He was raised a Roman Catholic, but in 1654 had a religious vision of God, which turned the direction of his study from science to theology. Pascal began publishing a theological work, Lettres provinciales, in 1656. His most influential theological work, thePensées ("Thoughts"), was a defense of Christianity, which was published after his death. The most famous concept from Pensées was Pascal's Wager. Pascal's last words were, "May God never abandon me."

Isaac Newton (1642-1727)
In optics, mechanics, and mathematics, Newton was a figure of undisputed genius and innovation. In all his science (including chemistry) he saw mathematics and numbers as central. What is less well known is that he was devoutly religious and saw numbers as involved in understanding God's plan for history from the Bible. He did a considerable work on biblical numerology, and, though aspects of his beliefs were not orthodox, he thought theology was very important. In his system of physics, God was essential to the nature and absoluteness of space. In Principia he stated, "The most beautiful system of the sun, planets, and comets, could only proceed from the counsel and dominion of an intelligent and powerful Being."

Robert Boyle (1791-1867)
One of the founders and key early members of the Royal Society, Boyle gave his name to "Boyle's Law" for gases, and also wrote an important work on chemistry. Encyclopedia Britannica says of him: "By his will he endowed a series of Boyle lectures, or sermons, which still continue, 'for proving the Christian religion against notorious infidels...' As a devout Protestant, Boyle took a special interest in promoting the Christian religion abroad, giving money to translate and publish the New Testament into Irish and Turkish. In 1690 he developed his theological views in The Christian Virtuoso, which he wrote to show that the study of nature was a central religious duty." Boyle wrote against atheists in his day (the notion that atheism is a modern invention is a myth), and was clearly much more devoutly Christian than the average in his era.

Michael Faraday (1791-1867)
Michael Faraday was the son of a blacksmith who became one of the greatest scientists of the 19th century. His work on electricity and magnetism not only revolutionized physics, but led to much of our lifestyles today, which depends on them (including computers and telephone lines and, so, web sites). Faraday was a devoutly Christian member of the Sandemanians, which significantly influenced him and strongly affected the way in which he approached and interpreted nature. Originating from Presbyterians, the Sandemanians rejected the idea of state churches, and tried to go back to a New Testament type of Christianity.

Gregor Mendel (1822-1884)
Mendel was the first to lay the mathematical foundations of genetics, in what came to be called "Mendelianism". He began his research in 1856 (three years before Darwin published his Origin of Species) in the garden of the Monastery in which he was a monk. Mendel was elected Abbot of his Monastery in 1868. His work remained comparatively unknown until the turn of the century, when a new generation of botanists began finding similar results and "rediscovered" him (though their ideas were not identical to his). An interesting point is that the 1860's was notable for formation of the X-Club, which was dedicated to lessening religious influences and propagating an image of "conflict" between science and religion. One sympathizer was Darwin's cousinFrancis Galton, whose scientific interest was in genetics (a proponent of eugenics - selective breeding among humans to "improve" the stock). He was writing how the "priestly mind" was not conducive to science while, at around the same time, an Austrian monk was making the breakthrough in genetics. The rediscovery of the work of Mendel came too late to affect Galton's contribution.

William Thomson Kelvin (1824-1907)
Kelvin was foremost among the small group of British scientists who helped to lay the foundations of modern physics. His work covered many areas of physics, and he was said to have more letters after his name than anyone else in the Commonwealth, since he received numerous honorary degrees from European Universities, which recognized the value of his work. He was a very committed Christian, who was certainly more religious than the average for his era. Interestingly, his fellow physicists George Gabriel Stokes (1819-1903) and James Clerk Maxwell (1831-1879) were also men of deep Christian commitment, in an era when many were nominal, apathetic, or anti-Christian. The Encyclopedia Britannica says "Maxwell is regarded by most modern physicists as the scientist of the 19th century who had the greatest influence on 20th century physics; he is ranked with Sir Isaac Newton and Albert Einstein for the fundamental nature of his contributions." Lord Kelvin was an Old Earth creationist, who estimated the Earth's age to be somewhere between 20 million and 100 million years, with an upper limit at 500 million years based on cooling rates (a low estimate due to his lack of knowledge about radiogenic heating).

Max Planck (1858-1947)
Planck made many contributions to physics, but is best known for quantum theory, which revolutionized our understanding of the atomic and sub-atomic worlds. In his 1937 lecture "Religion and Naturwissenschaft," Planck expressed the view that God is everywhere present, and held that "the holiness of the unintelligible Godhead is conveyed by the holiness of symbols." Atheists, he thought, attach too much importance to what are merely symbols. Planck was a churchwarden from 1920 until his death, and believed in an almighty, all-knowing, beneficent God (though not necessarily a personal one). Both science and religion wage a "tireless battle against skepticism and dogmatism, against unbelief and superstition" with the goal "toward God!"

Albert Einstein (1879-1955)
Einstein is probably the best known and most highly revered scientist of the twentieth century, and is associated with major revolutions in our thinking about time, gravity, and the conversion of matter to energy (E=mc2). The Encyclopedia Britannica says of him: "Firmly denying atheism, Einstein expressed a belief in "Spinoza's God who reveals himself in the harmony of what exists." This actually motivated his interest in science, as he once remarked to a young physicist: "I want to know how God created this world, I am not interested in this or that phenomenon, in the spectrum of this or that element. I want to know His thoughts, the rest are details." Einstein's famous epithet on the "uncertainty principle" was "God does not play dice" - and to him this was a real statement about a God in whom he believed. A famous saying of his was "Science without religion is lame, religion without science is blind.
 
Mi ninavyojua ni kuwa wanaotenda dhambi hawana uwezo wa kutokutenda dhambi kwa sababu they have weak souls na hawawezi kutengana na dhambi. Anyway, MJANJA ATAJULIKANA SIKU YA KIAMA/SIKU YA HUKUMU. see u there
 
"Everyone is a genius. But if you judge a fish by its ability to climb a tree, it will live its whole life believing that it is stupid"
Tukitafuta IQ Kwenye hayo makundi mawili kwa kutumia uelewa wao wa masuala ya DINI bila shaka nani watakuwa juu wanajulikana kabisa, ukitaka kujua IQ ya Bakhressa, Mohamed Dewji, Mengi n.k. na kwa upande mwingine Prof.Mkandala, Dr.Lwaitama, Prof. Baregu n.k. na kigezo kikawa maswali ya biashara nafikiri jibu wenye IQ kubwa wanajulikana ni akina nani hapo!
IQ ni kifupi cha intelligence quotient na maana ya intelligence imetolewa ni ability to reason, plan, solve problems, think abstractly, comprehend complex ideas, learn quickly, and learn from experience’.
 
Tafiti kadhaa zimeonyesha kuna uhusiano hasi 'negative correlation' kati ya washika dini na IQ
Hii inamaanisha kuwa kwa mara nyingi (sio zote) watu wasioshika dini wana uwezo mkubwa kiakili kuliko wale wanaoshika dini
IQ ni kipimo cha relative intelligence baina ya watu na maana ya intelligence ni uwezo wa kufanya mipango, kufikiria kwa mantiki, kujumuisha mawazo na kutatua matatizo

Pia utafiti huo umeonyesha wasioshika dini wanaweza kujenga mahusiano mazuri zaidi na watu kuliko washika dini

maelezo yaliyotolewa ni ni kuwa imani za dini hazina mantiki, haina misingi ya sayansi haziwezi na hivyo hazina mashiko kwa 'watu werevu'

Pia watu wenye IQ kubwa wanaweza kujua na kukabiliana na matatizo yao mengi hivyo kuwafanya wasitegmee na kuweka imani nguvu nyingine za miujiza na hiyo inawafanya wasiwe washika dini tofauti na walio na uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto wanakuwa wameona hakuna njia nyingine kabisa ya kukabilina na changamoto hivyo kutegemea dini

Pia kadiri watu wanavyokuwa na mafanikio na salama kiuchumi na kiafya, wanapoteza interest ya kwenda kuomba kupatiwa mahitaji yao na kutoka kwa nguvu nyingine



====================
Atheists tend to be more intelligent than religious people, according to a US study.

Researchers found that those with high IQs had greater self-control and were able to do more for themselves - so did not need the benefits that religion provides.

They also have better self esteem and built more supportive relationships, the study authors said.

The conclusions were the result of a review of 63 scientific studies about religion and intelligence dating between 1928 and last year.

In 53 of these there was a ‘reliable negative relation between intelligence and religiosity’.

In just 10 was that relationship positive.

Even among children, the more intelligent a child was the more probable it was that they would shun the church.

In old age the same trend persisted as well, the research showed.

The University of Rochester psychologists behind the study defined religion as involvement in some or all parts of a belief.

They defined intelligence as the ‘ability to reason, plan, solve problems, think abstractly, comprehend complex ideas, learn quickly, and learn from experience’.

In their conclusions, they said: ‘Most extant explanations (of a negative relation) share one central theme - the premise that religious beliefs are irrational, not anchored in science, not testable and, therefore, unappealing to intelligent people who ‘know better’.

‘Intelligent people typically spend more time in school - a form of self-regulation that may yield long-term benefits.

‘More intelligent people getting higher level jobs and better employment and higher salary may lead to higher self-esteem, and encourage personal control beliefs.’

Study co-author Jordan Silberman, a graduate student of neuroeconomics at the University of Rochester, said: ‘Intelligence may lead to greater self-control ability, self-esteem, perceived control over life events, and supportive relationships, obviating some of the benefits that religion sometimes provides.’
Research from the UK last week showed another drawback to being religious, or at least Christian - you lose out in the race for top jobs.

Official figures show nearly one in four people who have no religious belief now live in homes headed by someone with a senior executive job or a place in one of the professions.

But well under a fifth of Christians are employed in the best-paid and most influential jobs or are married to someone who is, according to the Office for National Statistics (ONS).

The last census, carried out in March 2011, showed a fall in the number of people that call themselves Christian in the UK.

Christian numbers in England and Wales, including children, fell by 4.1 million in a decade to 33.2 million.

However there was a 45 per cent rise over the same 10 years in numbers who say they have no religion, to 14.1 million.

Source: Daily Mail
can i say pia hao most intellignt ni maskini,,,,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom