nimekupendaje miss MbeyaNa ndio maana ni kanisa mama haliteteleki hamna vurugu wala hutasikia migongano
Yap walikuwa waumini wazuri na walitumiaHistoria inatueleza kuwa akina Albert Einstein , Newton, Galileo walikuwa waumini wazuri sana
Mkatoliki ni mmoja tu hapo, Galileo. Pia tofautisha majina ya kisayansi yanatumia lugha ya Kigiriki,ambacho ni moreless na Kilatini . Nakuachia homework ya mahusiano ya Roma,kilatini na RC! Hivyo ni rahisi kwa mtu kuhitimisha kuwa Wanasayansi wengi ni RC kumbe sivyo
Na ndio maana ni kanisa mama haliteteleki hamna vurugu wala hutasikia migongano
Newton na Galileo sawa, Einstein alikuwa mharibifu kwani ndio chimbuko la bomu la atomic ambalo lilitumika na Wamarekani kule Hiroshima na Nagazaki. Hadi leo kunazaliwa vilema!Yap walikuwa waumini wazuri na walitumia
Akili waliyopewa na MUNGU kisawasawa. Walijua imani imejengwa na akili zao
Najaribu kukuelewa, mwaga kidogo na mifano kupendezesha uzi mkuu!Tafiti kadhaa zimeonyesha kuna uhusiano hasi 'negative correlation' kati ya washika dini na IQ
Hii inamaanisha kuwa kwa mara nyingi (sio zote) watu wasioshika dini wana uwezo mkubwa kiakili kuliko wale wanaoshika dini
IQ ni kipimo cha relative intelligence baina ya watu na maana ya intelligence ni uwezo wa kufanya mipango, kufikiria kwa mantiki, kujumuisha mawazo na kutatua matatizo
Pia utafiti huo umeonyesha wasioshika dini wanaweza kujenga mahusiano mazuri zaidi na watu kuliko washika dini
maelezo yaliyotolewa ni ni kuwa imani za dini hazina mantiki, haina misingi ya sayansi haziwezi na hivyo hazina mashiko kwa 'watu werevu'
Pia watu wenye IQ kubwa wanaweza kujua na kukabiliana na matatizo yao mengi hivyo kuwafanya wasitegmee na kuweka imani nguvu nyingine za miujiza na hiyo inawafanya wasiwe washika dini tofauti na walio na uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto wanakuwa wameona hakuna njia nyingine kabisa ya kukabilina na changamoto hivyo kutegemea dini
Pia kadiri watu wanavyokuwa na mafanikio na salama kiuchumi na kiafya, wanapoteza interest ya kwenda kuomba kupatiwa mahitaji yao na kutoka kwa nguvu nyingine
Inazungumzia wapi mjumbe?. Kuzimu au?. Hata kama hawaamini wote wasioamini huwatakaswa na wanaoqmini.kumtaja mungu kwenye dola haimaanishi wote wanaamini, na mada haizungumzii marekani wala Africa
Kama unamlaumu Einstein sababu ugunduzi wake ulisababisha vifo vya wajapani, usisahau kuwalaumu waliogundua Gari, Train, Meli na Ndege, maana gunduzi zao zimesababisha vifo vya watu wengi duniani kote......Ingawa sina takwimu sahihi.Newton na Galileo sawa, Einstein alikuwa mharibifu kwani ndio chimbuko la bomu la atomic ambalo lilitumika na Wamarekani kule Hiroshima na Nagazaki. Hadi leo kunazaliwa vilema!
Jionee mwenyewe jinsi wanavyosapoti huo utafiti.......Badala achangie kulingana na mada iliyoletwa, yeye anatema mikaririsho ya makanisani......uwezo wa kuchambua mambo ni mdogo.hayo uliyoyataja hayahusiani na mtu kuwa au kutokuwa na dini, yanafanywa na washika dini tena hadi viongozi na wasioshika dini
Link Most Famous Muslim Scientists and Their InventionsReligion Is a Biological Father of Evil and Crimes
Hapa nilijibu hoja ya "walitumia akili waliyopewa na Mungu kisawasawa". Hata hivyo, Eistein amekufa akijilaumu alichogundua! Hakujua kingehatarisha maisha ya binadamu kiasi kile. Sometimes sio kila muumini with bright mind ana manufaa mf. Osama!Kama unamlaumu Einstein sababu ugunduzi wake ulisababisha vifo vya wajapani, usisahau kuwalaumu waliogundua Gari, Train, Meli na Ndege, maana gunduzi zao zimesababisha vifo vya watu wengi duniani kote......Ingawa sina takwimu sahihi.
Nimsaidie, Albert Einstein na Sir I. Newton walikuwa pantheists wanaoamini kwenye jambo la akili nyingi,ugunduzi,supernaturality,nkMleta mada si ungetuwekea basi list ya hao wenye akili wasio washika dini.
mhh..
wewe na muislaeli na waliofanya research nani anazo IQ kubwa...
akili ya huyo mtu aliyefanya hizo research inaweza kufikia hata robo ya akili ya Mwadhama Cardinali Askof Pengo au Baba Mtakatifu Fransisco?
okey njoo ibada za mlimani, uwakute Maprof kwa madokta na maaskofu, sadaka inasomwa 30Milion kwa kila ibada moja...
njoo kesho ibada ya tatu atakuwa ansalisha fadha msinyori Mbiku (PHD)
Ridiculous!Kama irrational decisions kama kunywa pombe,umalaya,wizi wa aina zote,dhuluma za aina zote,child sacrifices,homosexuality,ponography etc. ndio IQ kubwa nakubaliana na wewe.Lakini ninalojua mimi ni kwamba kumcha Mungu ni chanzo chanzo cha maarifa kwa kuwa unaachana na uovu.Mtu ambaye ni morally bankrupt IQ yake ni ndogo,huo ndio ukweli unless una a distorted definition of IQ. Watu wasiomjua Mungu wa kweli maisha yao ni uovu tu.
Nimsaidie, Albert Einstein na Sir I. Newton walikuwa pantheists wanaoamini kwenye jambo la akili nyingi,ugunduzi,supernaturality,nk