Washika dini wana IQ ndogo kuliko wasioshika dini?

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,982
Tafiti kadhaa zimeonyesha kuna uhusiano hasi 'negative correlation' kati ya washika dini na IQ
Hii inamaanisha kuwa kwa mara nyingi (sio zote) watu wasioshika dini wana uwezo mkubwa kiakili kuliko wale wanaoshika dini
IQ ni kipimo cha relative intelligence baina ya watu na maana ya intelligence ni uwezo wa kufanya mipango, kufikiria kwa mantiki, kujumuisha mawazo na kutatua matatizo

Pia utafiti huo umeonyesha wasioshika dini wanaweza kujenga mahusiano mazuri zaidi na watu kuliko washika dini

maelezo yaliyotolewa ni ni kuwa imani za dini hazina mantiki, haina misingi ya sayansi haziwezi na hivyo hazina mashiko kwa 'watu werevu'

Pia watu wenye IQ kubwa wanaweza kujua na kukabiliana na matatizo yao mengi hivyo kuwafanya wasitegmee na kuweka imani nguvu nyingine za miujiza na hiyo inawafanya wasiwe washika dini tofauti na walio na uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto wanakuwa wameona hakuna njia nyingine kabisa ya kukabilina na changamoto hivyo kutegemea dini

Pia kadiri watu wanavyokuwa na mafanikio na salama kiuchumi na kiafya, wanapoteza interest ya kwenda kuomba kupatiwa mahitaji yao na kutoka kwa nguvu nyingine

====================
Atheists tend to be more intelligent than religious people, according to a US study.

Researchers found that those with high IQs had greater self-control and were able to do more for themselves - so did not need the benefits that religion provides.

They also have better self esteem and built more supportive relationships, the study authors said.

The conclusions were the result of a review of 63 scientific studies about religion and intelligence dating between 1928 and last year.

In 53 of these there was a ‘reliable negative relation between intelligence and religiosity’.

In just 10 was that relationship positive.

Even among children, the more intelligent a child was the more probable it was that they would shun the church.

In old age the same trend persisted as well, the research showed.

The University of Rochester psychologists behind the study defined religion as involvement in some or all parts of a belief.

They defined intelligence as the ‘ability to reason, plan, solve problems, think abstractly, comprehend complex ideas, learn quickly, and learn from experience’.

In their conclusions, they said: ‘Most extant explanations (of a negative relation) share one central theme - the premise that religious beliefs are irrational, not anchored in science, not testable and, therefore, unappealing to intelligent people who ‘know better’.

‘Intelligent people typically spend more time in school - a form of self-regulation that may yield long-term benefits.

‘More intelligent people getting higher level jobs and better employment and higher salary may lead to higher self-esteem, and encourage personal control beliefs.’

Study co-author Jordan Silberman, a graduate student of neuroeconomics at the University of Rochester, said: ‘Intelligence may lead to greater self-control ability, self-esteem, perceived control over life events, and supportive relationships, obviating some of the benefits that religion sometimes provides.’
Research from the UK last week showed another drawback to being religious, or at least Christian - you lose out in the race for top jobs.

Official figures show nearly one in four people who have no religious belief now live in homes headed by someone with a senior executive job or a place in one of the professions.

But well under a fifth of Christians are employed in the best-paid and most influential jobs or are married to someone who is, according to the Office for National Statistics (ONS).

The last census, carried out in March 2011, showed a fall in the number of people that call themselves Christian in the UK.

Christian numbers in England and Wales, including children, fell by 4.1 million in a decade to 33.2 million.

However there was a 45 per cent rise over the same 10 years in numbers who say they have no religion, to 14.1 million.

Source: Daily Mail
 
Tafiti kadhaa zimeonyesha kuna uhusiano hasi 'negative correlation' kati ya washika dini na IQ
Hii inamaanisha kuwa kwa mara nyingi (sio zote) watu wasioshika dini wana uwezo mkubwa kiakili kuliko wale wanaoshika dini
IQ ni kipimo cha relative intelligence baina ya watu na maana ya intelligence ni uwezo wa kufanya mipango, kufikiria kwa mantiki, kujumuisha mawazo na kutatua matatizo

Pia utafiti huo umeonyesha wasioshika dini wanaweza kujenga mahusiano mazuri zaidi na watu kuliko washika dini

maelezo yaliyotolewa ni ni kuwa imani za dini hazina mantiki, haina misingi ya sayansi haziwezi na hivyo hazina mashiko kwa 'watu werevu'

Pia watu wenye IQ kubwa wanaweza kujua na kukabiliana na matatizo yao mengi hivyo kuwafanya wasitegmee na kuweka imani nguvu nyingine za miujiza na hiyo inawafanya wasiwe washika dini tofauti na walio na uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto wanakuwa wameona hakuna njia nyingine kabisa ya kukabilina na changamoto hivyo kutegemea dini

Pia kadiri watu wanavyokuwa na mafanikio na salama kiuchumi na kiafya, wanapoteza interest ya kwenda kuomba kupatiwa mahitaji yao na kutoka kwa nguvu nyingine

Historia inatueleza kuwa akina Albert Einstein , Newton, Galileo walikuwa waumini wazuri sana
 
sio wote. Wakatoliki wengi ni vichwa wewe. wacheck Watakatifu wachache tu: Agustino, Thomas Akwino, Yohane Paulo II na wengine kibao. Mapapa, Makardinali, Maaskofu, Mapadri, Mashemasi, Watawa kibao tu.
 
Unaposema "washika dini" unakuwa na maana ipi? sijakuelwa hapo.
 
sio wote. Wakatoliki wengi ni vichwa wewe. wacheck Watakatifu wachache tu: Agustino, Thomas Akwino, Yohane Paulo II na wengine kibao. Mapapa, Makardinali, Maaskofu, Mapadri, Mashemasi, Watawa kibao tu.
mbona sie hujatutaja
1478971551032.jpg
 
Hata machizi wanatuona sisi wazima wagonjwa Ila wao ndio wazima,hivyo suala la IQ na maarifa ni tofauti, tofautisha akili na maarifa,watu wa Dini wanaakili maana wameonywa kuna mungu na mungu anaadhibu wasio mti,hivyo wamekaa tayari tayari kufanya ya kupendeza kwa muumba wao ili wakikutana nae wasalimike,Sawa na MTU unaenda safari usioifahamu lazima utabeba vingi vya kukusaidia uendako,hivyo watu wa Dini wanaamini duniani ni wanapita tu papo waendapo.ndio maana hawajishughurishi sana na dunia wa najua wana makazi yao sehemu mahususi walipohaidiwa.
 
mhh..

wewe na muislaeli na waliofanya research nani anazo IQ kubwa...

akili ya huyo mtu aliyefanya hizo research inaweza kufikia hata robo ya akili ya Mwadhama Cardinali Askof Pengo au Baba Mtakatifu Fransisco?

okey njoo ibada za mlimani, uwakute Maprof kwa madokta na maaskofu, sadaka inasomwa 30Milion kwa kila ibada moja...

njoo kesho ibada ya tatu atakuwa ansalisha fadha msinyori Mbiku (PHD)
 
Sio wenye maarifa wala elimu waliochagulia ila Mungu alichagua vinyonge ili viwaaibishe wenye nguvu. Mungu ameifanya hekima ya dunia hii kuwa upuzi. Ndio maana Afrika watu wana ma phd ya kutosha ila vilaza. Angalia wazungu hasa marekani uangalie viongozi wao hata pesa yao inamtaja Mungu sisi tumebaki na matunguri yetu na kuuwa albino ili tushinde chaguzi . mtoa mada na hao watu wenu mkomeeee.
 
Ridiculous!Kama irrational decisions kama kunywa pombe,umalaya,wizi wa aina zote,dhuluma za aina zote,child sacrifices,homosexuality,ponography etc. ndio IQ kubwa nakubaliana na wewe.Lakini ninalojua mimi ni kwamba kumcha Mungu ni chanzo chanzo cha maarifa kwa kuwa unaachana na uovu.Mtu ambaye ni morally bankrupt IQ yake ni ndogo,huo ndio ukweli unless una a distorted definition of IQ. Watu wasiomjua Mungu wa kweli maisha yao ni uovu tu.
Tafiti kadhaa zimeonyesha kuna uhusiano hasi 'negative correlation' kati ya washika dini na IQ
Hii inamaanisha kuwa kwa mara nyingi (sio zote) watu wasioshika dini wana uwezo mkubwa kiakili kuliko wale wanaoshika dini
IQ ni kipimo cha relative intelligence baina ya watu na maana ya intelligence ni uwezo wa kufanya mipango, kufikiria kwa mantiki, kujumuisha mawazo na kutatua matatizo

Pia utafiti huo umeonyesha wasioshika dini wanaweza kujenga mahusiano mazuri zaidi na watu kuliko washika dini

maelezo yaliyotolewa ni ni kuwa imani za dini hazina mantiki, haina misingi ya sayansi haziwezi na hivyo hazina mashiko kwa 'watu werevu'

Pia watu wenye IQ kubwa wanaweza kujua na kukabiliana na matatizo yao mengi hivyo kuwafanya wasitegmee na kuweka imani nguvu nyingine za miujiza na hiyo inawafanya wasiwe washika dini tofauti na walio na uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto wanakuwa wameona hakuna njia nyingine kabisa ya kukabilina na changamoto hivyo kutegemea dini

Pia kadiri watu wanavyokuwa na mafanikio na salama kiuchumi na kiafya, wanapoteza interest ya kwenda kuomba kupatiwa mahitaji yao na kutoka kwa nguvu nyingine
 
sio wote. Wakatoliki wengi ni vichwa wewe. wacheck Watakatifu wachache tu: Agustino, Thomas Akwino, Yohane Paulo II na wengine kibao. Mapapa, Makardinali, Maaskofu, Mapadri, Mashemasi, Watawa kibao tu.
yeah kwenye maelezo yangu nimesema sio wote
 
Back
Top Bottom