Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

Heheheheeeeeeeee!!Masanja wangu muongoze H-bibi na maadui wote wa Platinumz sala ya TOBA maana wanachukia kilichobarikiwa na mungu!!hawajui walitendalooo Dinazarde ukuye fasi hii mama!!

am just saying!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Bado wana kiwewe cha tuzo, sasa hivi kila habari watayoisikia kuhusu Chibu wao wanahusisha na hako katuzo kao tu yaani watu wasijadili mambo mengine!

Khaa!!katuzo kenyewe kakiswazi hako nani anakawaza!!ama kweli mpanda ngazi hushuka!leo hii ally kiba inakuwa maajabu na sherehe akipata tuzo mshenz hizi?!?!kweli mbio za vijiti.
 
mamapekupeku kaitoa kwa H-baba!nasikia ana element za ushoga huyo h baba!
am just saying!!!!

Hata kama ni bifu lake na mondi alichoandika H.baba inaonyesha ni ujinga kiasi gani alionao.
 
Khaa!!katuzo kenyewe kakiswazi hako nani anakawaza!!ama kweli mpanda ngazi hushuka!leo hii ally kiba inakuwa maajabu na sherehe akipata tuzo mshenz hizi?!?!kweli mbio za vijiti.

Huu uzi wanaupita km hawauoni,
😀😀😀
keep it up Mkandamizaji umenena
:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Nilijua tu lazima utaniquote...khaaaa!
Masanja,mtoa mada simjui.

Ulijuaje 😱
Kwa hiyo Masanja anatafuta attention kwa kuwapa ushauri wa bure?
Ha haa haaa
:sly::sly::sly:
Msomeni Mondi ndo chuo cha mafanikio ya muziki hapa bongo.
 
hahahahahaa h baba katishaaaa wivu na chuki vimemjaa mpaka zinammwagika bila kujijua, sio kwa kupanic kule, lakini habari yake ameipata, si kuchanganyikiwa kule, akatafuta ufuto fasta akafuta ujinga wake. lakini tushamjua
 
Kuna juhudi kubwa sana ya kupinga mafanikio ya Chibu inafanywa na watu kama hawa

Huyu alianza kudai Chibu kamuibia lisongi lake la kulewa

London nako alikodi watu? White party nayo alikodi watu? Rwanda alikodi watu? Mombasa alikodi watu?

Haya mambo mbona ni marudio tu, walikuwepo akina mr nice, saida karoli walikua wanajaza na kupokewa kama wafalme
Muacheni dogo bana huu ni wakati wake

Umewambia ukweli chalii angu,na wote wanaoponda hawana lolote choka mbaya kazi kukatisha watu tamaa na chibu alishasema atawapwelepweta.
 
diamond goo baba gooooooooo watashindana nawe lakini hawatashindaaaaa, your threat!! wakimbizeeeeee usiwakopesheeee, akili ziwaruke waropokwe kama hivi ili tuwajue.
 
Masanja naona anataka kuanza kujishushia heshima, mbona sijaona popote acknowledge mchango wa KingKiba au ndo na yeye kanunuliwa hivyo kama wale bodaboda wa mwanza?
 
Masanja naona anataka kuanza kujishushia heshima, mbona sijaona popote acknowledge mchango wa KingKiba au ndo na yeye kanunuliwa hivyo kama wale bodaboda wa mwanza?

masanja anasifia uhalisia na si ushabiki ule wa yanga au simba, hivi huyo kiba ashawai kupokelewa hata na robo ya watu waliompokea diamond mwanza majuz
 
duuh hivi diamond kawakosea nini Hawa watu,... maana Kama ni chuki this is too much,,,
 
Back
Top Bottom