Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

diamond goo baba gooooooooo watashindana nawe lakini hawatashindaaaaa, your threat!! wakimbizeeeeee usiwakopesheeee, akili ziwaruke waropokwe kama hivi ili tuwajue.

mwenzngu wee!!wanafiki hawajifichi hata siku moja!atajifanya anakupenda wee kumbe wapi!?kuna siku atakuja tu kuonyesha rangi yake kama hivi!!ameumbukaje shoga yule wa kukata viuno
 
sio kila mtu atatoka au atarudi kwa njia za kumtukana daimond ... Japokuwa kiba alifanikiwa haina maana kwamba H baba atafanikiwa
 
masanja anasifia uhalisia na si ushabiki ule wa yanga au simba, hivi huyo kiba ashawai kupokelewa hata na robo ya watu waliompokea diamond mwanza majuz

Masanja bwana mzee wa uwazi!ukiharibu anakuchana na ukifanya vyema anakusifia!wameshikilia kuhonga mashabiki!na nyie si muhongeeee!!?!
 
sio kila mtu atatoka au atarudi kwa njia za kumtukana daimond ... Japokuwa kiba alifanikiwa haina maana kwamba H baba atafanikiwa

ahahahaaa!!!sasa huyo Hbibi bora tu ajiunge na shishibaby basiiii!!!
 
Masanja naona anataka kuanza kujishushia heshima, mbona sijaona popote acknowledge mchango wa KingKiba au ndo na yeye kanunuliwa hivyo kama wale bodaboda wa mwanza?

kwani lazima uacknowledge mchango wa ally kiba??
 
sio kila mtu atatoka au atarudi kwa njia za kumtukana daimond ... Japokuwa kiba alifanikiwa haina maana kwamba H baba atafanikiwa

hahahaaaa madai yao wanatumia fursa,, ila sio kiivo lol
 
Tz Icon" kwauchunguzi mdogo niliofanya ningumu sana kupita siku 1 bila kusikia habari ya huyu jamaa yan utake usitake" usipomsikia kwenye radio au mtaani basi ukipita IG lazma ukutane na picha yake au kitu kuhusu yy. Magazeti Tvs RadioThis nigga hz blessed
 
Hahahaaaaa haloooo ya chuo cha muziki.....
Tehe teheee amfundishee nani kwanza mziki domo haujui anatumia janja janja tuu ata barnaba alishasema iyo ni moja..
Pili huyu masanja aanze kwenda kufundishwa yy maana akili zao ndo zinafanana...
Domo hajulikani anaimba mziki wa aina gani na vile vile masanja wapo sawa tuu mara gospol mara za kidunia...mara mchungaji.. heheheiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wapi tuzoooooooo? Chezea strss za kukosa tuzo weyeee domo mwaka huu lazma atage boga
 
Masanja naona anataka kuanza kujishushia heshima, mbona sijaona popote acknowledge mchango wa KingKiba au ndo na yeye kanunuliwa hivyo kama wale bodaboda wa mwanza?

Kiba hana mchango wowote ndio maana hajaandikwa,
na mtu wa maana kama masanja
 
Mamii nifah pitia na huu uziii japo kidogo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom