Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

BAdala ya kuhangaika kutafuta maisha nyie kutwa mnamuwaza ndomo, mijitu mingine ina familia kutwa kumsifia ndomo kazi hawataki kufanya, mbwa kabsa nyie

Binamu kuna mtu anatumia ac yko jf nini au nikutumie kiroba cha ndimuu dadadeki zenu mimba hamna ila kichefuchefu kinatoka wapi
 
Ahahahaha!!warumi anavisa kidogo sasa!wakati yeye mwenyewe bingwa humu ndani mpaka amepewa uenyekiti!

Nimemtumia kiroba cha ndimu zikishindwa kazi aende hosp akapime labda ana minyoo alizentel itamhusu kumaliza kichefuchefu
 

Attachments

  • roper_chibu.png
    roper_chibu.png
    190.7 KB · Views: 487
Promo ya bure kabisa

Kwa bei ya hayo mashati yake hao wote waliotumia muda kumshtaki D na kwenda kumtukana kwenye posts kabla hajafuta kweli watakaa na kukimbilia ku order shati ya $275, huyo muuzaji mie naamini ni muongo kataka kujisafisha kwa watu.

Lazima alishauriwa kuwa kachemka, chezea comments zilizoenda shule zilivyomwagika pia. Na wale timu ushuzi na wenzao ni matusi si matusi, uongo si uongo, furaha si furaha duh kutaka kumuangamiza.

Alichukua saa au masaa mawili kuja kutusha post hiyo baada ya kufuta zile mbaya...lazima alikiona cha moto

Hit me up next time....anajifanya tu kufuta image mbaya aliyojiwekea katika biashara yake hakuna lolote maana D ndio kwanza aliaposti picha ya style ya nyeusi... Kwani si yeye ndio alianza...shaaaa
 
Heheheheeeeeeeee!!Masanja wangu muongoze H-bibi na maadui wote wa Platinumz sala ya TOBA maana wanachukia kilichobarikiwa na mungu!!hawajui walitendalooo Dinazarde ukuye fasi hii mama!!

am just saying!!!!!!!!!!!!

Hhhhhaaaa ni shiderriiiiiiiii watu wana chuki loo
 
Last edited by a moderator:
Tukubaliane kwamba watanzania tunathamini vigeni kuliko vya kwetu. Kama kanunua mashabiki? Basi ana pesa huyu jamaa. Kuponda watu tutaponda lakini tujifunze pia kuthamini vya kwetu hata vikiwa na kasoro zake.


Leo muwekezaji wanamjali kuliko mzawa, laana hii inatutafuna kuanzia tabaka la chini mpaka juu. Mimi siyo fan wa bongo flava ila Dai anafanya vizuri sana.

Ni hayo tu kwa sasa.😛 😛 :-SS
 
Mimi nawependa sana haters kazi yao isiyo na malipo hutufanya maarufu na tujulikane Dunia nzima. Safi sana haters kazeni buti tuzidi kujulikana kazi yenu ni njema.
 
duuh hivi diamond kawakosea nini Hawa watu,... maana Kama ni chuki this is too much,,,

Kosa lake kuwafunika wasanii wenzake;kwa mshiko,kwa kushine,kwa show za out,kupendwa sana,totoz kali,kuitwa Ikulu na Nyotaaaaaaa yaan Dai ni shideeeeeeer!
 
Kosa lake kuwafunika wasanii wenzake;kwa mshiko,kwa kushine,kwa show za out,kupendwa sana,totoz kali,kuitwa Ikulu na Nyotaaaaaaa yaan Dai ni shideeeeeeer!

daah chuki hizi zitawauwa watu kwa presha, afu ukiwa na roho mbaya ata mungu hakubariki utakuta wenzio wanashine we unashuka,,
 
Tunaendelea na wasemavyo Instagram, mida hii ni Trace Tv

Trace Tv - Instagram account
attachment.php


Trace Tv - Facebook account
attachment.php


Trace Tv - Twiter account

attachment.php
 

Attachments

  • instagram-trace-chibu.jpg
    instagram-trace-chibu.jpg
    79.4 KB · Views: 740
  • twiter-trace-chibu.jpg
    twiter-trace-chibu.jpg
    41.3 KB · Views: 709
  • trace-chibu.jpg
    trace-chibu.jpg
    51.8 KB · Views: 673
Mimi anayejisikia kutukana atukane weeee!na mimi nitamtukana weee!ila mapenzi na shobo kwa diamond siachi ng'o!!
 
jamaa ni jembee haswaaaaa

Dogo ni mfano halisi wa kutoka chini na kwenda juu

Ni mfano halisi wa HARD WORK PAYS
 
Anamatatizo ndio maana tuna taka watu wawe wazalendo penda chenu chuki sinzuri
 
Back
Top Bottom