BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
Nimefurahi ndio maana nimecheka.
Kama sisi zetu kupiga kura nyie mnatokwa povu, Kiba akishinda hadi JF mnaikimbia!
Katuzo kenyewe kamoja" unakumbuka mwaka jana Chibu 7-0 Kiba
Nimefurahi ndio maana nimecheka.
Kama sisi zetu kupiga kura nyie mnatokwa povu, Kiba akishinda hadi JF mnaikimbia!
Katuzo kenyewe kamoja" unakumbuka mwaka jana Chibu 7-0 Kiba
Nimefurahi ndio maana nimecheka.
Kama sisi zetu kupiga kura nyie mnatokwa povu, Kiba akishinda hadi JF mnaikimbia!
Alishinda kwa msaada wa makombo...bila hvyo sjui angekuwa wapi???
Any way congratu'' kwa kiba..
Mwanza ilikuwa salamu..tu ngoma ya 60+ hahaaaaa.....
Tumewaacha na tuzo zenuuu..
Wewe nae hebu toa habari zako za mwaka 47 hapa.
MLA MLA LEO, MLA JANA KALA NINI?
Teh teh... Analeta zilipendwa akasimulie wajukuu zake
Zilipendwa zip??? Wew za kula makombo ya dai
Huyu jamaa kaimba nyimbo gani?
Hata mie nitapenda kujua hata yeye anafanya nini
Nyie munazani kuna jina gani watakalotumia kutokea kama si Diamond ??????? hadi na yeye leo tumemjadili "BASI NAWAAMBIENI NA MULITUMIE JINA HILI MUPATE MAFANIKIO YENU, NA MULITAJE JINA LAKE KTK NDIMI ZENU USIKU NA MCHANA ILI MUFANIKIWE"
Huyu katukanwa hadi anakimbia watu instagram na kublock amekiona cha moto
Tena karusha picha aliyopiga na Chibu pamoja kumbe kinamuwasha rohoni wivu
Kwani amekatazwa kufanya show yake? Kwa hiyo wale wote walioimba jana nao wamekodiwa watu maana umati ni wao wote kuwaona wakiongozwa na D bila ubishi ameenda kutoa show nzuri na dancers wake wote hakubania kubeba wawili au watatu.
Sasa hivi ni muandaaji wa tunzo zake binafsi na anajipa ushindi yeye na mkewe
Ahahaha!!kwanza hata hao mashabiki wa kukodi hawapati!kakata viuno weee bado watu hatujamuelewa!!mpira kacheza weee bado watu hatujamuelewa !!!
Basi anajijua hana nyota amejaribu kama wengine kutumia kwa D wamemmaliza leo atakuwa majuto.