Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

Hahahaaaaa haloooo ya chuo cha muziki.....
Tehe teheee amfundishee nani kwanza mziki domo haujui anatumia janja janja tuu ata barnaba alishasema iyo ni moja..
Pili huyu masanja aanze kwenda kufundishwa yy maana akili zao ndo zinafanana...
Domo hajulikani anaimba mziki wa aina gani na vile vile masanja wapo sawa tuu mara gospol mara za kidunia...mara mchungaji.. heheheiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wapi tuzoooooooo? Chezea strss za kukosa tuzo weyeee domo mwaka huu lazma atage boga

Love huyo barnaba pamoja na kusomea mziki lakini amefanya nini cha maaana???
Ila kwa wewe ngoja nsiongee sana usije ninyima bureeee...
 
Afu nishakuambia ukiendelea kumsifia domo asiyejua kitu nitakunyima unyumba sasa endelea
 
BAdala ya kuhangaika kutafuta maisha nyie kutwa mnamuwaza ndomo, mijitu mingine ina familia kutwa kumsifia ndomo kazi hawataki kufanya, mbwa kabsa nyie
 
ha ha ha yamekua haya? ukitembelea celebrity forum katika post kumi za udaku basi 7 zimepostiwa na wewe warumi,leo kulikoni umekuja na hii comment?
 
Last edited by a moderator:

Ahahahaha!!!mi nimeshakalia kiti cha muhindi zamaani!!lakini cha kwanza ni kuangia.JF kupata umbea!eheheeenh!!
 
ha ha ha yamekua haya? ukitembelea celebrity forum katika post kumi za udaku basi 7 zimepostiwa na wewe warumi,leo kulikoni umekuja na hii comment?

Ahahahaha!!warumi anavisa kidogo sasa!wakati yeye mwenyewe bingwa humu ndani mpaka amepewa uenyekiti!
 
Last edited by a moderator:
BAdala ya kuhangaika kutafuta maisha nyie kutwa mnamuwaza ndomo, mijitu mingine ina familia kutwa kumsifia ndomo kazi hawataki kufanya, mbwa kabsa nyie

Wewe nawe si ni jobless, kazi kutafuta umbea GPL kuja kutupestia humu. Ame kweli nyani haoni....
 
Mwenzio nipo kazin nalipwa, wewe je? Umbea masaa 24 ndomo ndomo mxiuuu atawaoa shaur zenu
 
Dogo kawakamata vibaya #TeamMaviKiba masikini hawahemi.Kuna Jamaa anaitwa H.Baba huwa simuelewi kwa kutaka umaarufu kupitia kwa diamond.Ni bora akubali kuwa diamond sio size yake kabisa,H.baba size yake ni Best Naso.
 
Back
Top Bottom