Wasanii wa kike wa gospel wenye mvuto

Wasanii wa kike wa gospel wenye mvuto

[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwan kaolewa mkuu nilikuwa namvizia japo anaonekana age go
Kaolewa na pastor fulani na wana watoto watatu, majike mawili dume moja! Sijajua kama wameongeza watoto au la!
 
Labda nikuulize, Nabii Mussa katika muktadha wa kuwakomboa wana wa Israel kutoka Misri kwenda nchi ya ahadi Kaanani, ambayo kwa jiografia ya sasahivi ni Israel na maeneo ya Palestina.
Inaelezwa kuwa safari yao baada ya kuvuka bahari ya shamu, iliwachukua muaka40 kuifikia hiyo nchi ya ahadi ambapo hata Mussa mwenyewe hakujaliwa kufika!
Safari inayoongelewa pale ni kama kutoka Ubungo hadi Chalinze ama Mlandizi.
.

Kwanza hii si kweli, umbali wake ni kama Dar - Singida
Na hali ya jangwa na milima na vita walizopigana njiani, ukosefu wa chakula kuliwafanya wachelewe na huwezi kuwatembeza watu kwa wiki moja maana kuna wazee, watoto, sio wanajeshi wale , ila imekaa kiimani zaidi

Kutamani siyo kuzini. Kutamani kumeumbwa ili kutufanya binadamu tuingiliane, kuzaana, kuongezeka na kuijaza dunia ya Mungu kwa mapenzi yake.
Sitakubaliana na wewe kusema kutamani ni dhambi, bali kuzini ndiyo dhambi.
.
Aliyesema kutamani ni kuzini sio mimi
Kwahiyo sio kwamba hukubaliani na mimi bali hukubaliani na biblia

Kuamini au kutoamini ni juu yako
 
y
maxresdefault.jpg
hqdefault.jpg
Weka picha yake ya sasa.
 
Back
Top Bottom