Wasanii wa kike wa gospel wenye mvuto

Wasanii wa kike wa gospel wenye mvuto

hapakazit

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
839
Reaction score
665
Ifuatayo ni orodha ya waimbaji wa kike wa muziki wa injili kwa mujibu wa tathmini nilioifanya geto kwa miezi sita sasa.

1. Christina shusho
2. Jenifa Mgendi
3. Martha Mwaipaja
4. Martha baraka
5. Bahati bukuku
6. Nester sanga
7. Beatrice Halla
8. Beatrice Mhone
9. Flora Mbasha
10......................
 
y
maxresdefault.jpg
hqdefault.jpg
 
Ifuatayo ni orodha ya waimbaji wa kike wa muziki wa injili kwa mujibu wa tathmin nilioifanya geto kwa miezi sita sasa
1. Christina shusho
2.jenifa mgendi
3.martha mwaipaja
4.Martha baraka
5.bahati bukuku
6. Nester sanga
7.pst Beatrice halla
8 Beatrice mhone
9 frola mbasha
10......................

Khe [emoji15] hivi kweli watu wanamsifu Mungu wewe unaangalia mvuto
 
Khe [emoji15] hivi kweli watu wanamsifu Mungu wewe unaangalia mvuto
Kutamani mwanamke yeyote hata kama ni sister wa missioni siyo kosa wala dhambi, ndiyo maana wanaolewa, chanzo ni kutamaniwa!
Nani au mafundisho gani yanakataza kuwaangalia kwa jicho la pili wanawake wazuri wawapo stejini?
Wengine tunavutiwa na kwaya za Gospel kwa ajili ya urembo wa wanakwaya wanavyojishebedua na kujikwatua! Isee ni wazuri!
Hii inafanana sana na mwanamme mtu mzima kwenda kushangilia netball.
Unadhani anakuwa anafurahishwa na kushabikia nini pale, ufungaji wa magoli na pass?
Kuangalia mwanamke mrembo kuna raha yake. Na hili Mungu aliliweka mahsusi kwa mapenzi yake, wala siyo dhambi bali ni sunna.
 
Ifuatayo ni orodha ya waimbaji wa kike wa muziki wa injili kwa mujibu wa tathmin nilioifanya geto kwa miezi sita sasa
1. Christina shusho
2.jenifa mgendi
3.martha mwaipaja
4.Martha baraka
5.bahati bukuku
6. Nester sanga
7.pst Beatrice halla
8 Beatrice mhone
9 frola mbasha
10......................

Usitamani mwanamke asiyekua Wako.
 
Ifuatayo ni orodha ya waimbaji wa kike wa muziki wa injili kwa mujibu wa tathmin nilioifanya geto kwa miezi sita sasa
1. Christina shusho
2.jenifa mgendi
3.martha mwaipaja
4.Martha baraka
5.bahati bukuku
6. Nester sanga
7.pst Beatrice halla
8 Beatrice mhone
9 frola mbasha
10......................
Huyo namba 9 ni Flora, siyo Frola!
 
Waimbaji wa nyimbo za injili wamakuwaje na mvuto wa kimapenzi jamn
Kwahiyo wao mapenzi wanamwachia nani? Mzee wa upako na Mzee wa misukule wakikusikia maji utayaita mma maana hawatakuachia hata kipande cha jino
 
Kutamani mwanamke yeyote hata kama ni sister wa missioni siyo kosa wala dhambi, ndiyo maana wanaolewa, chanzo ni kutamaniwa!
Nani au mafundisho gani yanakataza kuwaangalia kwa jicho la pili wanawake wazuri wawapo stejini?
Wengine tunavutiwa na kwaya za Gospel kwa ajili ya urembo wa wanakwaya wanavyojishebedua na kujikwatua! Isee ni wazuri!
Hii inafanana sana na mwanamme mtu mzima kwenda kushangilia netball.
Unadhani anakuwa anafurahishwa na kushabikia nini pale, ufungaji wa magoli na pass?
Kuangalia mwanamke mrembo kuna raha yake. Na hili Mungu aliliweka mahsusi kwa mapenzi yake, wala siyo dhambi bali ni sunna.

wew sijui ni dini Gani ila biblia imeandika.....
Yesu alisema ukimwangalia mwanamke kwa kumtammani, umeshazini naye moyoni
 
Back
Top Bottom