MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,848
Habari ndugu....Ayaa kumbe madame wa nyumbani kabisa! Mi chotara wa kizanaki na kimaraghori.
Habari ndugu....Ayaa kumbe madame wa nyumbani kabisa! Mi chotara wa kizanaki na kimaraghori.
Mashombeshombe ndo habari ya mjini!bongo tukitaka tufanikiwe mashindano yanayohusu mauzo katika runinga basi nashauri tuwakilishwe na mashombeshombe!mifano ipo wazi!ukiwa shombe huhitaji kuwa na bonge la kipaji bongo!muonekano wa kishombe utabeba kipaji na utakimbiza tu mjini!
Habari ndugu....
hahaha kwani humjui Hemedi yule mcheza maigizo.duh,hukukosea kujiita muuza sura