Kwani wasanii wenzio wakikualika kupiga show unahaja ya kubadili mavazi?
Hakuna tatizo mbona hapo yupo na wasanii wenzake..
Ili uwe msanii Bongo usijuwe kuvaa!Sometimes tujue tunavaa nini, wakati gani na event gani, tukiwa tunaenda kukutana na nani, na sehemu gani na kwanini?
Kwani wasanii wenzio wakikualika kupiga show unahaja ya kubadili mavazi?
mkuu avatar yako inakaribia kunipasua mbavu.Hakuna tatizo mbona hapo yupo na wasanii wenzake..