Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,979
- 14,400
Yani mkuu ndio maana watu wanakufa wadogo mno tuna chuki inayosababishwa na roho mbaya inazaa depression watu wanakufa kwa kuumwa vichwa tu.Hii kama kweli... nimeanza kupoteza interest nacho slow slow nina miezi sijasikiliza xxl but nyuma nilipokua teen kilikua hakinipiti Abadan.

..ila pia professionalism haizingatiwi Sana kwenye hizi so called radio stations zinazochipuka