Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Skelew, skelewu, skelewu, skelewu....
Mkuu vp? Sijakuelewa una Maana gani?
Skelew, skelewu, skelewu, skelewu....
Ha ha ha ha ha ha ha ha.....
Unachozungumza ni kweli, kwani si vyema kuikashfu imani ya mwingine lakini kuna swala linalonitatiza kwa walokole.
Ni kwamba kuingiwa na roho wakati wa maombi ni kitu ambacho kimezungumziwa katika Biblia takatifu, na nachojua Mimi katika nyakati zile mtu alieingiwa na roho na kuanza kunena, alinena maneno yenye kueleweka hata kama lugha alioizungumza hakuwa akiifahamu kabla, wanaoijua walimwelewa.
Hili lilifanyika sana wakati watumishi walipokuwa wakihubiri katika jamii ngeni na walihubiri kwa lugha za wenyeji bila wakalimani wala kujifunza, sasa tatizo linalonisumbua mimi ni kuwa wengi wa walokole niliowaona huwa maneno yanayowatoka huwa siyaelewi na hakuna anaelewa wanazungumza lugha ipi.
Mimi si Mlokole ama msabato, naomba tu msaada wa ufafanuzi juu ya hili.
Wasabato wanawachukia wote ambao sio wasabato, na wanaamini kuwa wakristo wengine hawataweza kwenda mbinguni isipokuwa wasabato.
oooh! Renegade na Kaunga, wasabato hawachukii watu wa imani nyingine ila wanasoma na kuelekeza kwa mujibu wa biblia. Hebu angalia ujumbe huu katika biblia, si hata romani wanatumia biblia jamani na walokole? sasa fungu hili mnalisemaje wapendwa?hivi hii ni chuki kweli?? tusome pamoja hapa.....
Isaya 56:1....... "Bwana asema hivi, Shikeni hukumu, mkatende haki;kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa. Heri afanyaye haya, na mwanadamu ayashikae sana; azishikaye sabato asizivunje,......" soma na tafakari hiyo Isaya 56 yote utaelewa! Karibuni kumtukuza Mungu wa kweli wala hapana chuki hapa, tunaeleweshana tu!
Hivi wasabato ni wakristu?
kuna mahali flani nilishawahi kusikia kuwa wasabato si wakistro na hawaujui u-kistru...
Mkuu Blueband au Siagi
Ebu niongezee hapo Kidogo tu andiko jingine ambalo makanisa mengine wanataka Kua wakristo au waitwe wakristo kwa jina lake Lkn wasifate mafundisho ya Mungu!
Isaiah 4:1
And in that day seven women shall take hold of one man, saying, We will eat our own food and wear our own apparel; only let us be called by your name, to take away our reproach
Hii mada kuna jukwaa lake ingependeza sana kama ingewekwa kule
Wasabato wanawachukia wote ambao sio wasabato, na wanaamini kuwa wakristo wengine hawataweza kwenda mbinguni isipokuwa wasabato.
Amelaaniwa kila aliye chini ya sharia
Sheria ni nini?
Wewe ulisikia ni dini gani?
Ni Mungu kweli sawa na Baba na Mwana....Vipi umetosheka...
xxxxx Holy Trinity xxxxxx
super!! asomaye na aelewe!
asante ndugu ningefurahi zaid kama ungenisaidia jibu kwanza la swali langu
hawamajamaa n wakofiti sana kimandiko,na niwastarabu sna