Biblia inasema.ktk wagalatia 5;16 mkiongozwa na roho humko chini ya sheria..........hawa wa7to hawaongozwi na Roho na ni lazima wamkatae Roho mtakatifu kwani wao wanaangalia sheria tu.Naungana na Padri kuwa hawa siyo wakristo.Ni waganga wa kienyeji tu.
Hiyo hiyo Biblia inasema hivi hivi kuhusu amri. Amri zinatumika mfano wa kioo, kwa zenyewe hata zijapoona udhaifu katika uso wa anayejitazama kwa hizo, hawezi kujisafisha. kwa hiyo sheria zinaonyesha kosa, lakini hazina uwezo wa kuondoa kosa. Na anaposema mkiongozwa na roho hampo tena chini ya sheria anamaanisha kwamba, Roho hutoa nguvu ya kushika sheria na hivyo hauwezi ukawa mhukumiwa na hizo sheria maana unazifuata kama inavyoelekezwa.