Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Nashukuru sana na nimeappreciate the way ulivyonijibu ila naomba usome Mwanzo:24:22; 28-47 halafu unisaidie ina maana gani?



Mkuu Samahani kwa kutokufatilia swala lako! Ngoja niisome Hiyo Genesis then soon ntakuja na majibu!
 
ameline Ktk Hiyo Genesi 24 na hayo mafungu ni kitu gani ulipenda kufahamu?
 
Last edited by a moderator:
Yesu aliposema kunena kwa lugha hakumaanisha ndo uongee madude yasiyoeleweka alimaanisha kama wewe mchaga basi uweze kuongea kimasai na uwahubiri wamasai waelewe lakini Mimi ninachokiona jamaa huwa wanaongea madudu hata ukimwambia aludie kuyaongea na yanamaana gani hawezi sema zaidi ukimtazama kwa haraka huwa kama kapandwa na mapepo
Hakuna walokole wakujibu hizi tuhuma..
 
Mimi ntakujibu swala moja!
Hilo la kunena kwa lugha ningeomba walokole waje hapa walitetee
kimaandiko!

Nataka nikujibu swala la Wewe unayoiita kashfa! Kwanza kashfa ni nini?
Au ni pale ninapokufunulia KWELI then Wewe ndio useme kashfa? Au kashfa
ni lugha mbaya za matusi dhihaka juu ya Imani ya mwenzako? Na Je
wasabato wanafanya dhihaka na kutukana Imani za wengine? Au wanasema
KWELI YA MUNGU?

Hapo pagumu, nieleweshe!
 
Mkuu umetoa mafungu Ktk kitabu cha Wakorintho Wa kwanza 14:2 na Mark 16:17

Hapa ni lugha gani inayozungumzwa? Ni lugha isiyoeleweka na wanadamu wengine au?

Nafikiri una hoja nzuri! Ebu tiririka tushare wote!

Mkuu kuna lugha za wanadamu na za malaika 1kor 13:1. Sasa Roho mt anenaye kwa ajili ya kuijenga nafsi ya mtu mmoja unataka aongee kisw au kiingereza ndipo ujue kua mtu ananena.Paulo amefafanua vizuri kuwa kama uko ujumbe wa watu wote utafsiriwe.Naam sihitaji uhame hiyo sabato but ufahamu siri ya Roho mt usijawe na mafundisho yakimapokeo.
 
And He opened their understanding that they might comprehend the Scriptures. LUKE 24:45

Sasa na Wewe fafanua Ili ueleweke! Sio uweke Mstari tu then utulie

Romans 14:5–10
tells us that one man esteems one day of the week above another; another esteems every day alike. Then Scripture tells us that everyone should be fully persuaded in his own mind. We are not to judge each other regarding the day on which we worship.

Jesus did keep the Sabbath. He had to keep the whole Law to be the perfect sacrifice. The Bible makes it clear that the Law has been satisfied in Christ. The reason Paul went to the synagogue each Sabbath wasn’t to keep the Law; that would have been contrary to everything he taught about being saved by grace alone (Ephesians 2:8,9). It was so he could preach the gospel to the Jews, as evident in the Book of Acts. Paul had an incredible evangelistic zeal for Israel to be saved (Romans 10:1). To the Jew he became as a Jew, that he might win the Jews (1 Corinthians 9:19,20). That meant he went to where they gathered on the day they gathered.
 
Mkuu hao wanaochukia wengine sio Waadventista Wasabato bali ni mfano..

Biblia inasema "Na kondoo wengine si wa zizi hili, nao watakapo isikia sauti yangu wataungana na wa zizi hili"

Sasa huyo anayewachukia wengine sio....

shemejiii uko deep, nifowardie zile text za mafungu ya bible kwa wassup basi nimekuwa lazy sana yani nasali wkt wa kula tu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
kizaizai;
Biblia yenyewe inasema kila andiko lenye pumzi lafaa kwa mafundisho na ndo maana wasabato hutumia kila neno la biblia ili kuifundisha jamii yann sasa we kuwatuhumu????

Kuna baadhi yemerekebishwa na Agano Jipya, mfano kufa na kufufuka kwa YESU Kristo ni mbadala wa sadaka za kuteketeza.
 
Achana na hizo injili nyepesi za wachumia Tumbo

Ebu angalia hapa!

John 10:16

And other sheep I have which are not of this fold,; them also I must bring, and they will hear my voice; and there will be one flock and one shepherd.

Mkuu Yesu mwenyewe anasisitiza umuhimu Wa Kua na Imani moja na Kundi moja! Kwahiyo usije ukajidanganya Kua kila mtu abaki Ktk Imani yake!

Kundi gani la wasabato? wale wanaoenda kukesha airport bila document za kusafiria? au wale wanaoenda kukesha Kyela wakimsubiri Yesu? au hawa wataalamu wa tiba mbadala?
 
Wasabato ni genge la wahuni,wana mambo kama ya kiislam,eti elen g white ndie nabii wa mwisho kama mtume alivyo wa mwisho. Kwao mtu yeyote anaeitwa nabii baada ya white ni wa uongo, hawasomi biblia,wanasoma vitabu vya nabii white aliyewahi kusema watu weusi ni zao la shetani.

Wafuasi wa elen g white na wafuasi wa mtume wote akili yao ni moja.

mtume ndio nani mkuu.
 
Tahadhari kwa watu wote
Ilitabiriwa hivi katika 2 Timotheo 3:13 Lakini watu wabaya na wadanganyaji wataendelea, na kuzidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika. Na wakati huo huo tuna tahadhari nyingine inasema hivi kuwahusu watakaokuwa wanadanganya wenzao Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa mfano wa kazi yao inatoka 2 Wakorintho 11:14,15.
Dada rosemarie, si kila mtumishi anamtumikia Mungu, wengine ndo hivyo wanatumia jina la Mungu kama kificho cha kazi yao halisi ya kumtumikia shetani na hivyo wameishia kudanganywa(na shetani) nao waanadanganya kama ambavyo ilitabiriwa. Na pia kumbuka hivi, mafundisho ya kweli ni yale yatokayo ndani ya biblia(pasipo uchakachuzi) maana kuna mafundisho yanatajwa hivi katika kitabu cha 1 Thimotheo 4:1 ... wakisikiliza roho zidanganyazo, ma mafundisho ya mashetani.
Kwa hiyo ni vizuri kusoma neno la Mungu binafsi na si kwenda kukaririshwa makanisani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna lugha za wanadamu na za malaika 1kor 13:1. Sasa Roho mt anenaye kwa ajili ya kuijenga nafsi ya mtu mmoja unataka aongee kisw au kiingereza ndipo ujue kua mtu ananena.Paulo amefafanua vizuri kuwa kama uko ujumbe wa watu wote utafsiriwe.Naam sihitaji uhame hiyo sabato but ufahamu siri ya Roho mt usijawe na mafundisho yakimapokeo.

Naona unazidi kuleta habari nyingi tu! Hizo ndio zimekua kauli zenu kwamba mapokeo!
 
Romans 14:5–10
tells us that one man esteems one day of the week above another; another esteems every day alike. Then Scripture tells us that everyone should be fully persuaded in his own mind. We are not to judge each other regarding the day on which we worship.

Jesus did keep the Sabbath. He had to keep the whole Law to be the perfect sacrifice. The Bible makes it clear that the Law has been satisfied in Christ. The reason Paul went to the synagogue each Sabbath wasn’t to keep the Law; that would have been contrary to everything he taught about being saved by grace alone (Ephesians 2:8,9). It was so he could preach the gospel to the Jews, as evident in the Book of Acts. Paul had an incredible evangelistic zeal for Israel to be saved (Romans 10:1). To the Jew he became as a Jew, that he might win the Jews (1 Corinthians 9:19,20). That meant he went to where they gathered on the day they gathered.


Na hapa una Maana gani Mkuu?

Fafanua Vzr basi twende Pamoja!
 
Kwa asilimia kubwa wasabato wanafuata Agano la Kale.
Ukiangalia Agano la kale hata Waislam wanazungumzia yaliyomo, ukiona jinsi msisitizo wa ufuataji wa sheria ulivyo kwa Waislam hata Wasabato ni hivyo hivyo, wasabato si wakristo! kama watasema wanamkiri kristo hata Waislam wanamkubali (Nabii Issa). Acha kuvutiwa na upande mwingine, wala usisikilize maongezi yao kwa kuwa ni shetani. Yesu aliahidi kuleta msaidizi hakuahidi kutukuza Sabato kwa kuwa alijua ukiongozwa na roho mtakatifu umewekwa huru kwelikweli wala hufungwi na sheria utakuwa mtenda mema na mcha MUNGU si wa unafiki bali wa kweli. Siku imewekwa na wanandamu kuitwa jumamosi au jumapili lakini roho mtakatifu imewekwa na MUNGU mwenyewe kupitia ahadi ya YESU KRISTO mfufuka. Waache wadanganyane kwa kufuata maneno ya aliyeingiwa na pepo Ellen G. White. MUNGU akufungue macho ya Rohoni uweze kutambua ukweli wake.
 
..........Washika sabato ndio waliomuua Yesu

YOHANA 5:18 Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.

Mbaya zaidi walimwambia Pilato laana hii iwe juu yetu na vizazi vyetu vyote....huu mstari ulimfanya Mwinjilisti wa SDA pale Singida ajiunge na KKKT
 
Sabato ndio ukweli ulipo !atakayesikia na asikie ; atakaye elewa na aelewe ujumbe huu. Nadhani ndugu zangu wa dini zote mmenielewa wa dini zote na madhehebu yote.
 
Nashukuru sana na nimeappreciate the way ulivyonijibu ila naomba usome Mwanzo:24:22; 28-47 halafu unisaidie ina maana gani?

Hongera kwa namna unavochunguza maandiko amelina nimependa sana hii. iko hivi:
Pete inayoongelewa hapa siyo hiyo ya kidoleni. Hii ni pete wanazovishwa wanyama kwenye pua zao na kunakuwa na kamba ambayo mpandaji wa huyo mnyama anapoivuta basi mnyama anasikia maumivu na kukimbia sana au anelekea kule bwana wake anapotaka aende.(biblia ya kingereza imeeleza vizuri)
" So it was, when the camels had finished drinking, that the man took a golden nose ring weighing half a shekel, and two bracelets for her wrists weighing ten shekels of gold,..."
Sasa lengo la huyu mtu aliyetumwa kutafuta mwanamke kwa ajili ya mtoto wa Ibrahimu (Isaka) kumbuka aliweka ahadi/maombi namna ya kumpata binti bikra na Mungu akamwahidi kumsaidia. Hivyo alipoona ishara alizoomba zimetimia alimpa vile vitu ili asije kumsahau au kumpoteza ujue walikuwa wakienda warembo wengi tu pale kisimani nyakati zile alizoenda pale.(soma hiyo Mwanzo 24 yote).
 
Naona unazidi kuleta habari nyingi tu! Hizo ndio zimekua kauli zenu kwamba mapokeo!

sasa si mapokeo nini.si mafundisho ya huyo White ndiye kawaletea trakoma ya maandiko.Tubu acha kumukufuru Roho mtakatifu.Uende mbinguni.ukale sabato ya milele sio siku moja tu ya jumamosi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom