Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Mkuu nashukuru sn kwa kuandika mafungu yote haya ya Hawa ndugu zetu wanapojengea hoja ya kunena kwa lugha!

Wasome upya hapo taratibu na wataelewa!

Wasisingizie Upako, Moto Wa maombi au Roho mtakatifu! Huyo anaewaongoza Ktk hili ni Roho chafu na si Roho Wa Mungu! Kwasababu km Roho Wa Mungu angewaongaza Ktk kweli yote! Kwanini maandiko yako wazi kabisa tena yanasema Kua Hawa si Wagalilaya Mbona wanaongea Kiarabu, Libya etc?! Alafu eti mtu anajitetea kwa kupiga mikelele hovyo milugha isiyoeleweka eti kunena kwa lugha au kajawa na Roho mtakatifu! Mshindwe kwa jina la Yesu na Roho zenu chafu hizo!

Tatizo lao wanasoma mstari mmoja, wanaukariri huo, basi inakuwa vurugu tupu na makelele kibao!
 
wakatoliki hawachukiwi ila huwa wanaelimishwa kuhusu kweli ya biblia na ndo maana huwa wanakasirika kwa sababu ya kwenda kinyume na biblia inavyosema kama ibada za sanamu,ubatizo,maombi ya wafu,na mengineyo mengi ndo maana huwa wakielezwa ukweli wanakasirika...

Ukweli ni juu yako wewe na unachokiamini..Kweli kwako inaweza isiwe kweli kwangu....

Sasa kama nyie mnafanya mambo yenu kama Wasabato, mambo ya Wakatoliki na Walokole yanawawashia nini..???? Kaa kimya fanya yanayowahusu....
 
Sgjmjt kaq sholind kamiwomi shugq ndigmbo hkhg tiko tiko tungulu wo! Wo! Puk.shanda baba korooro! Ameeeen! Ndio maombi gani hayaaaaaaaaa!

Mkuu nimeiona hii, duh! halafu eti akitoka hapo mwanamke ambaye hajazaa miaka 10 anapata mtoto........ mmmmmmh!!!! watazaa nyoka shauri zao!!!!!!!!!!!!
 
Hapa ni kila mtu kusimama na IMANI yake DINI si chochote sio lolote.



Achana na hizo injili nyepesi za wachumia Tumbo

Ebu angalia hapa!

John 10:16

And other sheep I have which are not of this fold,; them also I must bring, and they will hear my voice; and there will be one flock and one shepherd.

Mkuu Yesu mwenyewe anasisitiza umuhimu Wa Kua na Imani moja na Kundi moja! Kwahiyo usije ukajidanganya Kua kila mtu abaki Ktk Imani yake!
 
tuhuma za wasabato zimekuwa nyingii sana siku hizi..wabadilike basi

Kwa hakika mimi sio msabato ila hili kanisa linafundisha ukweli wa bible tofauti na makanisa mengine wanaojiita wakristo huku wakiikanyaga mafundisho ya biblia.
 
Kwa hakika mimi sio msabato ila hili kanisa linafundisha ukweli wa bible tofauti na makanisa mengine wanaojiita wakristo huku wakiikanyaga mafundisho ya biblia.

umenitukana bila sababu kwenye pm sitamani ucomment hata post yangu
 
Kuna namna mbili za kunena kwa lugha.Ya kwanza ni ile inayotajwa kitabu cha matendo na ya pili ni ile anayoongea Paulo katika wakorintho.Hii ya kwanza mtu anaongea lugha za wanadamu kama mlivyokwishaeleza hapo kabla,na ya pili ni kuongea lugha za malaika.Hoja inakuwa sasa Je ni muhimu kuomba kwa lugha ya malaika ambayo hata akili yako haipati matunda?Mimi naweza kujibu swali hilo kwa swali jingine,Je mtu aliapo kwa sababu yoyote ile anapata faida gani iwapo kwa sauti ya kilio akili yake haipati matunda?Bila shaka wanaofanya mambo hayo,kila mtu anajua matunda yake,kama mtu anapata wepesi ama uzito ni juu yake afanyaye!Ni nani wewe unayemhukumu mwingine kwa kile kitu alichoona yeye mwenyewe mbele ya Mungu wake kuwa kukifanya ni sawa?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwa asilimia kubwa wasabato wanafuata Agano la Kale.

kizaizai;
Biblia yenyewe inasema kila andiko lenye pumzi lafaa kwa mafundisho na ndo maana wasabato hutumia kila neno la biblia ili kuifundisha jamii yann sasa we kuwatuhumu????
 
Huu ugomvi wa mama mmoja yaani ndugu wa tumbo moja yaani toka Uzao wa Isaka mpaka Yesu mnazareth sasa nitashangaa kama wale pimbi wa Saudia wataingilia mjadala huu.
 
Ukweli ni juu yako wewe na unachokiamini..Kweli kwako inaweza isiwe kweli kwangu....

Sasa kama nyie mnafanya mambo yenu kama Wasabato, mambo ya Wakatoliki na Walokole yanawawashia nini..???? Kaa kimya fanya yanayowahusu....

Marko 16:15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Hapa haijalishi Msabato, Mkatoliki, Mpagani, Mlutherani, muislamu etc. Kila kiumbe kina haki ya kupata ujumbe wa Mungu na kuchunguza njia zake. Hakuna ugomvi hapa, unayo nafasi ya kunisaidia pale ninapokosea kwa ushahidi wa maandiko!
 
John 14:6

I am the way, the truth, and the life

John 17:17

Sanctify them by Your truth. Your word is truth.

Nyie mnaopiga kelele kwa kusingizia ujazo Wa upako au Wa Roho mtakatifu Huku andiko mnalisoma na kuligeuza Ktk Maana muitakayo nyie mnapata vipi utakoso Wa kweli? Au mtapita njia ya gani ya kweli ya Yesu? Je kweli nyie mko na uzima?
 

Ahsante kwa mwitiko wako..
Jumapili nilikua kanisani pale SDA kijenge Arusha kwenye Harusi ya rafiki yangu lakini sikua najua kama wasabato huwa hawavai pete..nisaidie kwanini ndugu swali hili linanoumiza akili kila nnaemuuliza anachekacheka tu na kuniambia karibu kanisani utajua...
 
Mkuu nimeiona hii, duh! halafu eti akitoka hapo mwanamke ambaye hajazaa miaka 10 anapata mtoto........ mmmmmmh!!!! watazaa nyoka shauri zao!!!!!!!!!!!!

Mkuu hawa watu wanaingiza uganga na uchawi kwenye ukristo.
 
Nimekukomesha na ukweli ili uieshimu ndoa yangu.tafuta mume huko kwangu kumejaa sitaki shobo.

hivi unanitafuta nini? wewe ndo kwanza upo honeymoon mwenzio nakaribia miaka 15 kwenye ndoa..pole
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom