Mkuu Nashukuru sn kwa Kua unafatilia Vzr huu mjadala na hoja mbalimbali!
Nimejibu kitu kimoja kwasababu kuna Watu km wawili waliuliza swali juu ya Hiyo dhana!
Kwanza Mkuu Ktk Hilo la "Si kimuingiacho mtu chaweza kumtia unajisi Bali kile kimtokacho" limeeleweka? Ata Wewe umelielewa?
Ok kuhusu kusuka nywele au wanawake kufunika kichwa nitakujibu jioni Vzr Kupitia maandiko Ktk kitabu cha Wakoritho niko mbali na bible Alafu kuna kz Kidogo nafanya!
Na coke pia Pamoja na majani ya chai nitakujibu Vzr tu!
Lkn km ndugu
Basluma Original na
Blueband wakiwahi wanaweza kunisaidia kutolea majibu!
Asante