Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Rafiki Yangu ZionGate Nashukuru kwa Kua umerudi! Lkn tunapishana Mkuu! We unaingia mi natoka!

Anyway! Haraka haraka Ktk hizo kauli za Yesu hakuna utakaso wowote! Ebu soma Vzr Hiyo Mathayo 15:1-20 utaona Hilo fundisho Vzr kabisa! Na Hiyo kauli ya Yesu kwamba chochote hakumaanisha katakasa au tunakula vilivyo najisi!

Ngoja nitasoma Hiyo mwanzo then ntakupa majibu Vzr!
Tumepishana majukumu mkuu,nashukuru kwa majibu ila naamini bible ni moja mathew hakutia mkazo ila Marko katia mkazo naamini uhalali wa injili ya Marko ni sawa na Mathayo na hao wengine,utakaso wa vyakula VYOTE unaweza jibu makwanzo katika chakula,pia naomba upitie na Warumi14:2-3,ntaendelea kutoa vifungu ikibidi..
Ukipata nafasi naomba unijibu nini maana ya mvinyo au divai?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mstari Wa 21,22,23 Yesu ameeleza mambo au Matendo ya mtiao mtu unajisi! Mbona hapo iko wazi kabisa?

Ka ni kile kimtokacho ndio chaweza kumtia unajisi Mbona Ktk Matendo yamtiayo mtu unajisi hakutaja Mavi?

Bila Shaka kusudio la Yesu hapo lilikua ni usafi Wa moyoni si Wa nje ya mwili!
Mkuu kama uko na bible nadhani itakuwa vizuri kujiridhisha,pia ikiwa mavi yanatoka moyoni basi ni Najisi..
 
Tumepishana majukumu mkuu,nashukuru kwa majibu ila naamini bible ni moja mathew hakutia mkazo ila Marko katia mkazo naamini uhalali wa injili ya Marko ni sawa na Mathayo na hao wengine,utakaso wa vyakula VYOTE unaweza jibu makwanzo katika chakula,pia naomba upitie na Warumi14:2-3,ntaendelea kutoa vifungu ikibidi..
Ukipata nafasi naomba unijibu nini maana ya mvinyo au divai?

Mkuu ata Hiyo Mark ukianzia kusoma Mstari Wa 2-5 utaona hoja ya msingi kwamba wanafunzi walikula mikate kwa mikono isiyooshwa! Kinyume Na kanuni za wazee!

Kwahiyo sio Km Mark ametia mkazo Bali ujumbe Wa Mark na Matthew ni ule ule! Ebu soma Hiyo mark yote 7 kuanzia mwanzo mpk ule Mstari Wa 23. Utaona Simon Vzr kabisa!

Hapo hakuna utakaso Ktk vilivyo najisi!

Nikitulia usiku tutaendelea Vzr na hayo mafungu yako mengine!
 
Kuna wakati Askofu Kilaini aliwahi kusema kwamba Waadvestista Wasabato hawakidhi viwango vya kuitwa Wakristo
 
Mkuu ata Hiyo Mark ukianzia kusoma Mstari Wa 2-5 utaona hoja ya msingi kwamba wanafunzi walikula mikate kwa mikono isiyooshwa! Kinyume Na kanuni za wazee!

Kwahiyo sio Km Mark ametia mkazo Bali ujumbe Wa Mark na Matthew ni ule ule! Ebu soma Hiyo mark yote 7 kuanzia mwanzo mpk ule Mstari Wa 23. Utaona Simon Vzr kabisa!

Hapo hakuna utakaso Ktk vilivyo najisi!

Nikitulia usiku tutaendelea Vzr na hayo mafungu yako mengine!
Ok nakusubiria iyo jioni labda tutaenda sawa..
 
Mkuu kama uko na bible nadhani itakuwa vizuri kujiridhisha,pia ikiwa mavi yanatoka moyoni basi ni Najisi..

Mkuu mi niko na bible kwenye sim yng na ndio Maana nakuelekeza wewe usome hayo mafungu uone kwamba Yesu alitaja vitu gani kwamba vyaweza mtia mtu unajisi! Kwanini Ktk hivyo vitu alivyovitaja Ktk Hiyo mark 20-23 asitaje na Mavi?
 
Mtazame kwa makini huyo Ntuzu anakuwa kama anakwepe baadhi ya maswali ya msingi....Ni mzuri wa kupiga chenga..
Mkuu hapa tutaenda sawa tu uzuri bible iko wazi kabisa..
 
Mtazame kwa makini huyo Ntuzu anakuwa kama anakwepe baadhi ya maswali ya msingi....Ni mzuri wa kupiga chenga..

Ninafurahi sn kuona Rafiki Yangu tedo unafatilia kwa ukaribu hizi hoja na ni jinsi gani unapata kujifunza ile Kweli!

Tangu mada imeanza mpk Leo mi nipo na wala sijakimbia! Na Hiyo ni uongo wako tu mkuu!

Waliokimbia ni hao walioshindwa kutetea kunenea kwa Lugha na kutuacha sisi tunajadili mambo mengine yanayojitokeza!

Nashukuru sn kwa uwepo wako Pamoja na busara unazoonesha sasa!

Pamoja Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi niko na bible kwenye sim yng na ndio Maana nakuelekeza wewe usome hayo mafungu uone kwamba Yesu alita vitu gani kwamba vyaweza mtia mtu unajisi! Kwanini Ktk hivyo vitu alivyovitaja Ktk Hiyo mark 20-23 asitaje na Mavi?
Alivyovitaja vyatoka moyoni iwe kwa kupitia kinywa au kunena nafsini,cha chooni(tumboni) hakina unajisi na mtu na uzuri NENO ndio chakula cho roho ila chakula cha mwili ni vile vyote vipitiavyo tumboni na kwenda chooni,swali langu hapo alipotia mkazo wa kutakasa vyakula Vyote hakusema isipokuwa kitimoto au vyakula vingine ambavyo hamtumii,soma iyo Mark au hujaona neno VYOTE,na kama upo na bible naomba jibu la Genesis 9:1-5,pia warumi14:2-3
 
Mkuu nimeyapitia hayo mafungu!

Sasa tutaendelea badae Ktk hayo!

Thx
 
Ninafurahi sn kuona Rafiki Yangu tedo unafatilia kwa ukaribu hizi hoja na ni jinsi gani unapata kujifunza ile Kweli!

Tangu mada imeanza mpk Leo mi nipo na wala sijakimbia! Na Hiyo ni uongo wako tu mkuu!

Waliokimbia ni hao walioshindwa kutetea kunenea kwa Lugha na kutuacha sisi tunajadili mambo mengine yanayojitokeza!

Nashukuru sn kwa uwepo wako Pamoja na busara unazoonesha sasa!

Pamoja Mkuu!

Sijazungumzia swala la wewe kukimbia...Ninazungumzia swala la wewe kukwepa baadhi ya maswali ya muhimu kwa kuchenga chenga....
 
Last edited by a moderator:
Hizo ulizotaja ni tabia zao binafsi na si mafundisho ya wasabato. Tungekuwa wabinafsi tungekuwa tunafanya juhudi kuhakikisha kila mtu anafahamu neno la Mungu katika usahihi wake pasipo uchakachuzi?. Kumbuka pia Yesu alituasa kuwa tupendane na akatuombea kuwa na umoja. Lakini sasa Yesu akasema, nikikuona unaenda kinyume na mapenzi ya Mungu, nitakuelekeza kwa neno la Mungu, na ukikataa alisema na awe kwako kama mtu wa mataifa. Kwa hiyo chunguza mienendo yako, kama ulikuwa mtu wa dini na bado walikutenga, basi labda walikuelewesha na mkaishia katika ugomvi wa kiimani, tofauti na hapo ni sawa na lile fungu linasema kwa maana nuru na giza havichangamani.

Sio walinitenga mimi,bali walikuwa na tabia ya kutopenda kujitenga wao wenyewe na madhehebu mengine.
Sijui walitaka nasi tuwe wasabato, i dnt knw, ila nilijufanza kitu kutoka kwa hawa jamaa.
 
Kalamu iliteleza, i mean walikuwa na tabia ya KUPENDA KUJITENGA wao na madhehebu mengine ya kikristo
 
Ndio tabia yao...

Unajua hata katika bible, hasa katika Agano jipya, ukisoma utagundua hawa jamaa ndio maana Yesu alikuwa anawaita wanafiki( Mafarisayo) cz walikuwa wanajidai wanazijua sheria za Musa na neno la Mungu sana kuliko watu wengine.
Ilifikia hatua hata Yesu alipomponya mtu siku ya Sabato walilalamika, ndipo Yesu akawachana live bila chenga.
Na ndio maana hawalifuati Agano jipya, bali wamelikumbatia Agano la kale sana. Ingawaje Yesu alishawaonya na kuwarekebisha katika baadhi ya mambo, ingawaje bado ni vichwa ngumu.
Labda tuwaulize watuelezee kuhusu huyo Mmama Ellen G White wanaomwamini watuelezee zaidi juu yake.
 
Kwani yawezekana kwa kupitia mafundisho yake ndipo walipojifunza tabia zao za ajabu ajabu, badala ya kufuata mafundisho ya Yesu Kristo Aliyeleta Agano Jipya katika ulimwengu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom