bhakokaya
Senior Member
- Jan 14, 2014
- 173
- 67
Haturuhusiwi hata kushangaa?
Mkuu waache panzi wapigane huku sisi twapata faluda
Haturuhusiwi hata kushangaa?
Ingawa nimekupa hoja ya 2 wakorinto 3:6,kuhusu agano jipya,1wakorinto 10:25 na Luka 10:8 kuhusu kula umepotezea. Haya soma wagalatia 3:10-14. Kwa hy wasabato mmechagua matendo ya sheria kwa hy mko chini ya laana kwa maana imeandikwa amelaaniwa kila mtu asiyedumu ktk kitabu cha torati ayafanye,sisi tumepata neema kwa imani,nyinyi mnatafuta haki kwa sheria,je Yesu hakufanya kazi siku ya sabato? Hakuponya? Kama alifanya kazi siku ya sabato kwa nn msifuate nanyi?Mkuu Ktk Yale mafungu uliyonionesha! Yanaelezea Kua tukio Hilo lilifanyika Siku ya kwanza ya Juma! Na si km ni fundisho la kupumzika Siku ya kwanza ya Juma!
Kumbuka Mungu si kigeugeu kwamba aitakase Siku ya 7 Na kupumzika then aje abadilike hapo baadae!
Na pia Ktk ile Jerimiah uliyonipa, pale kinachozungumziwa ni ukombozi Wa Yesu kwa Watu wote Ktk Hilo agano linalosemwa hapo! Na si km la kuwamboa Wana Wa Israel! Ndio Maana nikasema Hilo swala lilikua linamuhusu Yesu! Ebu isome tena Hiyo Jerimiah!
Ingawa nimekupa hoja ya 2 wakorinto 3:6,kuhusu agano jipya,1wakorinto 10:25 na Luka 10:8 kuhusu kula umepotezea. Haya soma wagalatia 3:10-14. Kwa hy wasabato mmechagua matendo ya sheria kwa hy mko chini ya laana kwa maana imeandikwa amelaaniwa kila mtu asiyedumu ktk kitabu cha torati ayafanye,sisi tumepata neema kwa imani,nyinyi mnatafuta haki kwa sheria,je Yesu hakufanya kazi siku ya sabato? Hakuponya? Kama alifanya kazi siku ya sabato kwa nn msifuate nanyi?
Yesu alimwambia Petro kuwa ni mwamba,na juu yake atalijenga kanisa lake ambalo hata milango ya kuzimu haitoliweza. Alikuwa myahudi kwann asiwaambie wakasali kwenye sinagogi? Maana kuna hoja ya wasabato kuwa wanafuata matendo ya Yesu yeye alisali kwenye sinagogi na masinagogi yapo leo mbona hamuingii? Utimilifu wa imani ya ukristu ulikamilika siku ya pasaka alipofufuka kutoka wafu! Ila ukidumu katika torati ni" kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria wako chini ya laana;maana imeandikwa Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati ayafanye"2 kor 3:10 ukisoma 2 kor 3:13 kristo alitukomboa ktk laana ya torati kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu,maana imeandikwa Amelaaniwa kila atundikwae juu ya mti. Shetani hapendi tukombolewe kutoka utumwa wa dhambi,kwa hiyo hapendi tutoke kwenye laana ya torati,ndiyo maana twaruhusiwa kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni bila kuuliza kwa ajili ya dhamiri.
Hapo blue hahahahahaaa, vipi mwenzetu ni msadukayo, mjesuit, mpapa au mnani?(but just kidding).Mkuu unapoteza muda wako na mfarisayo.....Unadhani atakuelewa huyo....
Mkuu Nashukuru sn kwa Kua unafatilia Vzr huu mjadala na hoja mbalimbali!
Nimejibu kitu kimoja kwasababu kuna Watu km wawili waliuliza swali juu ya Hiyo dhana!
Kwanza Mkuu Ktk Hilo la "Si kimuingiacho mtu chaweza kumtia unajisi Bali kile kimtokacho" limeeleweka? Ata Wewe umelielewa?
Ok kuhusu kusuka nywele au wanawake kufunika kichwa nitakujibu jioni Vzr Kupitia maandiko Ktk kitabu cha Wakoritho niko mbali na bible Alafu kuna kz Kidogo nafanya!
Na coke pia Pamoja na majani ya chai nitakujibu Vzr tu!
Lkn km ndugu Basluma Original na Blueband wakiwahi wanaweza kunisaidia kutolea majibu!
Asante
Yesu alimwambia Petro kuwa ni mwamba,na juu yake atalijenga kanisa lake ambalo hata milango ya kuzimu haitoliweza. Alikuwa myahudi kwann asiwaambie wakasali kwenye sinagogi? Maana kuna hoja ya wasabato kuwa wanafuata matendo ya Yesu yeye alisali kwenye sinagogi na masinagogi yapo leo mbona hamuingii? Utimilifu wa imani ya ukristu ulikamilika siku ya pasaka alipofufuka kutoka wafu! Ila ukidumu katika torati ni" kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria wako chini ya laana;maana imeandikwa Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati ayafanye"2 kor 3:10 ukisoma 2 kor 3:13 kristo alitukomboa ktk laana ya torati kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu,maana imeandikwa Amelaaniwa kila atundikwae juu ya mti. Shetani hapendi tukombolewe kutoka utumwa wa dhambi,kwa hiyo hapendi tutoke kwenye laana ya torati,ndiyo maana twaruhusiwa kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni bila kuuliza kwa ajili ya dhamiri.
Hahahahahahaha, unachekesha sana unaposema hatuna roho mtakatifu eti kisa hatuneni kwa lugha. Au wewe ndie mtoa roho mtakatifu kwa wanadamu wengine? Na ndio maana unasema sisi wasabato hatuna roho myakatifu. Sikia sasa Paulo anaongea nini kuhusu muonekano wa mtu aliyejazwa roho mtakatifu.
Wagalatia 5:22,23 Lakini tunda la roho ni upendo, furaha, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo hayo hakuna sheria. Mtu aliyejazwa roho mtakatifu anajulikana kwa kutoa hayo matunda na si kwa kuropoka ropoka maneno yasiyo maana. Ndio maana Yesu alitutahadharisha kwa kusema hivi Mathayo 7:20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua. Je roho wenu wa kusababisha mmuropokee Mungu wakati wa kuomba, anasababisha muwe na hayo matunda ya roho?.
Naaaam! Wapendwa naona mnaendelea kubarikiwa kwa kazi njema inayoendelea humu. Nami nimeingia humu baada ya kutumika kwa Kaisari sasa nimefika ili tutumike pamoja. Mungu atuongoze katika jambo hili linaloendelea..... Amina!
Yesu alimwambia Petro kuwa ni mwamba,na juu yake atalijenga kanisa lake ambalo hata milango ya kuzimu haitoliweza. Alikuwa myahudi kwann asiwaambie wakasali kwenye sinagogi? Maana kuna hoja ya wasabato kuwa wanafuata matendo ya Yesu yeye alisali kwenye sinagogi na masinagogi yapo leo mbona hamuingii? Utimilifu wa imani ya ukristu ulikamilika siku ya pasaka alipofufuka kutoka wafu! Ila ukidumu katika torati ni" kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria wako chini ya laana;maana imeandikwa Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati ayafanye"2 kor 3:10 ukisoma 2 kor 3:13 kristo alitukomboa ktk laana ya torati kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu,maana imeandikwa Amelaaniwa kila atundikwae juu ya mti. Shetani hapendi tukombolewe kutoka utumwa wa dhambi,kwa hiyo hapendi tutoke kwenye laana ya torati,ndiyo maana twaruhusiwa kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni bila kuuliza kwa ajili ya dhamiri.
cjaja kuchekesha hapa mana kwenye station yenu mnasema walokole wanapga kelele na kunena kwa lugha ni mapepo wachafu ndo mana nyie hamna tofaut na muslim haiwezekani wewe ni mtu unayetumia bible useme wengne wanasali kiunafiki kwa ku quote baadhi ya vifungu halafu umejuaje kuwa tunaropoka wewe nashanga ni Mungu gani aliyekupa mamlaka ya ku judge madhehebu mengne eti tunaropoka na wewe una hakika gani kuwa huwa uko sahihi usalipo halafu ndo kazi ya masabato salia mngekuwa mnafata upendo na tunda la roho mtakatifu mungekashifu wengne mana hapo si upendo wa kweli kukashifu wengne au huyo ndo mungu wenu anavowatuma halafu usipo tumia akili eti mimi niwe mtoa roho mtakatifu something which is imposible Yesu ndo mwenye mamlaka mana alituachia msaidizi
SIja judge,lakini kama unahisi nimeku judge basi sivyo , nilichofanya ni kurefer ukweli wa kile mnachofanya katika muda wa kujazwa na roho mtakatifu(according to nyie).cjaja kuchekesha hapa mana kwenye station yenu mnasema walokole wanapga kelele na kunena kwa lugha ni mapepo wachafu ndo mana nyie hamna tofaut na muslim haiwezekani wewe ni mtu unayetumia bible useme wengne wanasali kiunafiki kwa ku quote baadhi ya vifungu halafu umejuaje kuwa tunaropoka wewe nashanga ni Mungu gani aliyekupa mamlaka ya ku judge madhehebu mengne eti tunaropoka na wewe una hakika gani kuwa huwa uko sahihi usalipo halafu ndo kazi ya masabato salia mngekuwa mnafata upendo na tunda la roho mtakatifu mungekashifu wengne mana hapo si upendo wa kweli kukashifu wengne au huyo ndo mungu wenu anavowatuma halafu usipo tumia akili eti mimi niwe mtoa roho mtakatifu something which is imposible Yesu ndo mwenye mamlaka mana alituachia msaidizi