Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Umeona eeh. Halafu wanakwepa hii kitu sana. Nyie wasabato je, Mnajua historia za waasisi wenu? Mfano Hellen.G.White?


Naona mnaongea tu bila ushahidi!
 


Mku bila Shaka swali lako la kuhusu chakula ni hili hapa si ndio?

Ngoja nikutafutie Hiyo sura then tuijadili wote Maana Ktk hili pia wengi wamepota!
 
Hakuna sherehe inayofanyika kwenye kifo cha Yesu bali siku aliyofufuka,labda nikuulize nini maana ya Pasaka?
2.Kwanini Yesu aliadhimisha karibu na mateso yake?
3.Kwa nini Mungu aliitumia kuwakoa wana wa Israel?,kwa Yesu ilitumika kumuokoa nani na katika mazingira gani?
4.Kama pasaka ilitumika katika ukombozi nini maana ya kufu na kufufuka kwa Yesu?
 
Mku bila Shaka swali lako la kuhusu chakula ni hili hapa si ndio?

Ngoja nikutafutie Hiyo sura then tuijadili wote Maana Ktk hili pia wengi wamepota!


Mkuu hicho kisa cha kimuingiacho mtu kinapatikana Ktk Mathayo 15:


Ngoja kwanza tumalize la pasaka then tutaendelea na hili!
 

Matendo ya mitume 4:24-30. unazungumziaje hili?
 

Mkuu Samahani! Naona ni usiku Kidogo Maswali yako ni mazuri sn! Unaonaje km tutaendelea kasho saa 3 au saa 4 asubui Na tutaanzia hapahapa! Maana usingizi umenishika!
 
Usieamini ni wewe 'mbambarkachakacha!! mbulumbulumbul!! krrrr! ndio nini? AMRI kumi za Mungu zilikuwepo,zipo na zitakuwepo.Hata nchi mpya itaongozwa na amri 10.

Na amri kuu ni hii UPENDO. Hii inabeba nyingine zote. Mungu wetu ni UPENDO (Yohana 3:16 , 1Yohana 3:1-2). Ukishika hiyo sabato yako na hauna upendo ni bure, ok hata ukinena kwa lugha na hauna upendo ni bure. Sabato haitakupeleka mbinguni bali ni YESU KRISTO peke yake.
 
Mkuu Samahani! Naona ni usiku Kidogo Maswali yako ni mazuri sn! Unaonaje km tutaendelea kasho saa 3 au saa 4 asubui Na tutaanzia hapahapa! Maana usingizi umenishika!
Pamoja Mkuu..
 
Mkuu wasabato ni kweli wanafundisha vizuri sio kama hawa wasanii waliofanya makanisa miradi ya kutapeli watu na uganga

Ndivyo mnavyofarijiana? Kama swala ni kufundisha vizuri mbona hata rastafarian, wahindu, wabudha na hata waislamu wana mafundisho mazuri? Tafakari!
 
Big up bro!nmejifunza mengi kutoka kwako Danos.
 
Last edited by a moderator:
Mabishano ya kiimani always hayana conclusion,at the end of the day kama frica ya kati vile....
 
We mfuasi wa Kahaba La Kimarekani Hellen G White ukatoliki umeingiaje hapa...??????? Nakuuliza wewe mwenye laana ya dhehebu la mwanamke mtoka damu......

xxxx The cult xxxx

ni heri huyu anayejifunza maandiko tu ya hellen kuliko wewe unayeamini kuwa kuna bikra anaombea watu huko mbinguni ""hili andiko mnalitoa wapi kwenye biblia??
 
Ushabiki wa dini tuuuuu now dayzzzzzzzzz
 
tofautisha makanisa, yapo makanisa yaliyozaliwa kutokana na tafsiri za kibiblia ila lipo lililozaliwa kabla ya biblia na kuzaa biblia!

Hakika umenena...niliamua kuwa msomaji tu leo lkn umenifanya nijikute nachangia....
Na hapa kwenye chanzo cha bibilia na makanisa ndipo wengi walipojikwaaa..... Pia ni muhimu kuelewa Yesu aliagiza wanafunzi wakafundishe....sio na pia hakutembea na waandishi wa habari/bibilia na pia hakuna alipoagiza iandikwe....Mwinjili Yohana na Kitabu cha matendo ya mitume vinafafanua vizuri mwanzo wa kanisa na uandishi wa hiyo bibilia.
 

Na utampendaje YESU bila kuzitii AMRI zake?? Itakuwa ni upendo wa uongo wa kumwambia mke nakupenda uku unazini nje.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…