Mkuu nahisi una hoja nzuri!
Yesu anasema Nira yake ni laini! Alafu Wewe wasema ni ngumu sn! How Mkuu?
Ila nakukaribisha kaka km sabato ijayo tukutane kanisani asante sana kwa kuelewa
Balikiwa.
Hivi wasabato ni wakristu?
kuna mahali flani nilishawahi kusikia kuwa wasabato si wakistro na hawaujui u-kistru...
Mkuu nimeandikwa ya kwamba ni ngumu sana kumuelewa Mungu lakini sikuandika kuwa ni ngumu kumfuata Mungu...
Kumfuata Mungu ni jambo jingine na kumuelewa Mungu ni jamo jingine, unaweza ukawa unamfuta Mungu lakini humuelewi...
Kwa kifupi UADILIFU au UKAMILIFU wetu kwa Mungu unategemea sana ni kwa kiasi au namna gani tunamuelewa huyu Mungu...
Katika Biblia Takatifu kuna maandiko haya hapa:
Isaya 55:
8 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana.
9 Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
Wakristo gani hawaruhusu kunywa pombe kidogo bila kulewa?
Hawali kitimoto eti ni haramu wakati kila kilichoumbwa na mungu mwanadamu usikiite haramu?
Hawabatizi watoto?
Hawavuti tumbaku hata kama ni dawa?
Hawaabudu siku ya j2?
Hawaneni kwa lugha?
Hawafungishi ndoa za wajawazito?(wanakupima kutumia dr wao kama mwanamke ni mjamzito kabla ya kukufungisha ndoa)
Wana idara nyingi za elimu za kukuza mtoto mpaka awe mkubwa kama vile taasisi ya elimu na sio kanisa?
Hawa hawawezi kuwa wakristo labda ni waislamu.
kulingana na Biblia, jamii ya kiyahudi tunaweza kuilinganisha na makabila ya wasukuma/wagogo watu wanaolima na kufuga: swali, waliwezaje kutunza Sabato kwa mazingira hayo.
Ni kwamba nadharia inayosimamisha Sabato imenivutia ningependa kuifahamu vema na kuipa nafasi stahili.
Mkuu Ebu soma Isaya 58:13 itakusaidia Ktk kuitunza sabato'
Sasa wewe Ntuzu unayepinga unenaji wa lugha, Unasema walokole mmepotoka, na huamini ktk Roho nani mkweli!!
Kama walokole wanaomba kwa lugha na Mungu anasikia na nguvu za utendaji wa Roho Mtakatifu zinashuka na kufanya kazi, kuna shida gani??
Ulitaka uwe muziki wa disco wa kumtukuza Shetani??
Kutokuamini ni asili ya watu wa dini toka enzi za mafarisayo na masadukayo, wakarithi Waroma
waliouwa mashahidi wengi, roho ya uuwaji na chuki bado inatawala!!
Ukuwa na roho ya chuki ujue ni ushetani jinasue umpokee Bwn Yesu akuokoe upone na jehabamu ya moto!!
nikiuliza swali lilelile kwa lugha tofauti, watu hao "wafugaji" waliwezaje/watawezaje kutunza sabato wakiwa na mifugo inayo hitaji huduma kama maji, chakula n.k katika kipindi hicho cha sabato.
Uislamu unajumuisha dini zote kwa mambo mema tuuWakristo gani hawaruhusu kunywa pombe kidogo bila kulewa?
Hawali kitimoto eti ni haramu wakati kila kilichoumbwa na mungu mwanadamu usikiite haramu?
Hawabatizi watoto?
Hawavuti tumbaku hata kama ni dawa?
Hawaabudu siku ya j2?
Hawaneni kwa lugha?
Hawafungishi ndoa za wajawazito?(wanakupima kutumia dr wao kama mwanamke ni mjamzito kabla ya kukufungisha ndoa)
Wana idara nyingi za elimu za kukuza mtoto mpaka awe mkubwa kama vile taasisi ya elimu na sio kanisa?
Hawa hawawezi kuwa wakristo labda ni waislamu.
Hili bandiko halijatoka katoka sayari ya jupita, pluto, zebaki au mars......ni katika jamii mbandikaji amelibandika bandiko hili katika jamii forum...hivyo hakuna cha kuhofu..maswala ya jamii waachie wanajamii wenyewe.
Hivi hakuna Biblia za Kiswahili?1 Corinthians 14:12-13 Even so ye, forasmuch as ye are zealous of spiritual <FI>gifts<Fi>, seek that ye may excel to the edifying of the church. Wherefore, let him that speaketh in an <FI>unknown<Fi> language, pray that he may interpret.
Kunena kwa lugha kuna utaratibu wake
Atakaenena anene na kuwe na mfasiri
Kama hakuna yeye mwenyewe afasiri
Kama yote mawili hayapo mnenaji na akae kimya
Siyo kunena tu kila mtu na lake kama walevi
1 Kor 14:27-30
27 Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja na afasiri.
28 Lakini asipokuwapo mwenye kufasiri na anyamaze katika kanisa; aseme na nafsi yake tena na Mungu.
29 Na manabii wanene wawili, au watatu, na wengine wapambanue.
30 Lakini mwingine aliyeketi akifunuliwa neno, yule wa kwanza na anyamaze.
Sisi hatupingi uwepo Wa Roho mtakatifu tunachopinga ni dhana zenu potofu juu ya Roho mtakatifu! Kwa mfano moja ya kz ya Roho mtakatifu ni kutuongoza Ktk kweli yote!
Na Yesu anasema yeye ndio njia, kweli na uzima! Na huyo huyo Yesu anasema ukawatakase kwa ike kweli, neno lako ndio kweli!
Na Yesu huyo huyo anasema ukinipenda utazishika sheria zangu!
Na pia maandiko yanasema tumepewa sabato km ishara Ili tupate kufahamu Kua yeye ni Mungu atutakasae!
Sass kwa mtiririko huo Wa maelezo ni nani Yukon sawa? Sisi au nyie? Na Je ni kweli gani mnayoifata? Au ni kweli gani Roho mtakatifu anawaongoza? Au ni Roho chafu? Au ni upendo gani mko nao kwa Yesu wakati sheria zake hamzitaki?