Hapo red, kuna sehemu katika Biblia inasomeka hivi Kwa sheria zetu wayahudi, si halali kumhukumu mtu pasipo kumsikiliza. Je, umeshawahi kuwasikiliza hao unaowaita mamburura, au nawe UMEKARIRISHWA?.sda ma walokole ndio mamburura wakubwa katika imani ya kikristo, hao wengine atilist hawa danganywi danganywi na wachungaji wao lakini sio hao watu .na ninapo zungumzio walokole mana wote wanatoka katika makanisa ya wapentekoste wengi sana wana watkuza wachungaji wao badala ya mungu. Kweli hawa ni vihiyo wa kutupa na ndio hao wako radhi motot asiende shule au asivae kiatu ili mchungaji atembelee gali zuri,shiit.
Hapo red, kuna sehemu katika Biblia inasomeka hivi Kwa sheria zetu wayahudi, si halali kumhukumu mtu pasipo kumsikiliza. Je, umeshawahi kuwasikiliza hao unaowaita mamburura, au nawe UMEKARIRISHWA?.
Wasipowapeleka shule wawafundishe wenyewe, hakuna anayefundisha uongo sema wanataka wawe mabahili
Kwa uelewa wangu kidogo Mashahidi wa yehova limeanza nyuma ya SDA na mwanzilishi inasemekana alitokea SDA.Nataka kufahamu uhusiano wenu na mashahidi wa yehova. Na ni kwanini mliamua kujitenga. I mean ni kitu gani mliona hakiendi sawa ndani ya mashahidi hadi muamue kujitoa?
Majibu tafadhali!!
Mimi nilibatizwa SDA.Hata hivyo nilikutana na maelezo ya wadhamini wa E.G.WHITE katika kitabu cha Vita kuu wakilaani mauaji ya MAUMAU.Nilitamani kuona wakilaani na ukoloni vile vile lakini sikuona.Nilianza kuwa na mashaka kwani niliamini sana kuwa Mungu alihusika katika kuwepo kwa maono ya kuandikwa kitabu hicho.Hatimaye nilikuja kujua kwamba wengi wa wadhamini wa EG WHITE walikuwa illuminats.Kwa hiyo iliwezekana tu kuchakchua maandiko yale kwa interest zao!Ni sawa tu na vile walivyofanikiwa kuchakachua Biblia ili kuleta confusion kwa wale wanaoamini kitabu hicho!Kwa hiyo haya madhehebu yote unayoyaona ni matokeo ya mwanadamu kutumia akili yake kutafsiri na hivyo kujikuta wanaacha mambo ya msingi kama kumtegemea roho mtakatifu na wanabaki kujenga hoja za umantiki wa kibinadamu.
Kwa sababu ya fursa hiyo ya kufuata mtu anachodhani ni sahihi,wengine wameanzisha madhehebu kwa ulevi tu wa ujuaji na wengine kutimiza ndoto zao za kupata umaarufu.
Kwa sasa naamini ni Mungu pekee(si msabato,wala mlutheri wala mkatoliki nk) anayeweza kumpa mtu mwongozo sahihi kupitia roho mtakatifu kila anaposoma maandiko!Ukitegemea mtu utakutana na shetani akiwa katika sura ya malaika wa nuru.
Jiponye nafsi yako
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu ulikua nusu nusu ktk Hiyo Imani yako!
Alafu Nina swali jepesi kwako, kitabu cha vita kuu kinazungumzia vita za kawaida Au kina zungumzia uasi dhidi ya Mungu?
... nibaki na dini yangu ya mungu mmoja hajazaa wala hajazaliwa!
Kinazungumzia vita kati ya wema na uovu.Ni vita kati ya shetani na malaika zake dhidi ya kanisa la Mungu.Ni vita kati ya ufalme wa giza dhidi ya ufalme wa Mungu.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
usilolijua ni kama usiku wa giza ndugu, endelea kubaki kwenye hilo giza lako hadi hapo siku moja utakapopata neema ya kufunguliwa!
Sasa hayo mambo ya vita za ukoloni ulipenda zizungumziwe humo ki vipi na wakati lengo la kitabu hicho ni vita Kati ya Mungu na uasi?
Giza lipi Hilo na Nuru iko wapi?
sda ma walokole ndio mamburura wakubwa katika imani ya kikristo, hao wengine atilist hawa danganywi danganywi na wachungaji wao lakini sio hao watu .na ninapo zungumzio walokole mana wote wanatoka katika makanisa ya wapentekoste wengi sana wana watkuza wachungaji wao badala ya mungu. Kweli hawa ni vihiyo wa kutupa na ndio hao wako radhi motot asiende shule au asivae kiatu ili mchungaji atembelee gali zuri,shiit.
Ufufuo utatokea mara mbili, kwanza ufufuo wa wenye haki (soma 1 wakorintho 15 na 1 wathesalonike 4:16-). Pili ni ufufuo wa wasio haki rejea ufunuo sura ya 20. Mauti itatokea mara moja tu, na hii itakuwa baada ya ufufuo wa wasio haki. Na hiyo mauti haitawahusu kundi la.watakatifu(waliofufuliwa mara ya kwanza), itawahusu tu wale wa ufufuo wa mara ya pili.