Wasabato matengenezo

Status
Not open for further replies.
Nataka kufahamu uhusiano wenu na mashahidi wa yehova. Na ni kwanini mliamua kujitenga. I mean ni kitu gani mliona hakiendi sawa ndani ya mashahidi hadi muamue kujitoa?

Majibu tafadhali!!

Hiyo ni mpya kwangu, kwamba msabato alijitenga toka mashahidi wa yehova, eti Ntuzu unaifahamu hii kitu aisee maana kwangu hii ni ngeni.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kumbukumbu zangu nzuri niliwahi kariri (nikiwa mdogo)kutoka nukuu ya Mama White ambayo sijui ni kutoka kitabu gani anayoelezea kuhusu nyota ya Nebula iliyo katikati ya orion belt kama lango la mbinguni. Yesu alienda mbinguni kupitia pale, atakuja kupitia pale, na Jerusalem mpya itapitia pale. Binafsi tangu sekondari nafuatilia kuelewa hiyo Nebula kisayansi ila hakuna maelezo mazuri ya kukaribiana hayo.
Jingine alilowahi kulieleza ni sayari ambazo kuna viumbe wengine kama sisi wanaishi huko na nimesoma jana au juzi humu jf kuwa wamegundua kuna sayari zingine zinazowezesha uhai zinazozunguka nyota nyingine zimegunduliwa.Kufuatia huu ugunduzi nina ujasiri kufurahia nishani ya nyota.
 
Sabato ya kweli ni moja, ambayo ni siku ya saba(ya Yesu) kwa hapa inafahamika kama jumamosi. Kuna zile mbili pia zilizoanzishwa na wanadamu i.e sabato bandia ya ijumaa(ya Mohamed) na sabato bandia ya jumapili(ya Papa). Kwa hiyo jumla ni sabato tatu.
Kaka mambo ya dini yaacheni kama yalivyo na spendi ukashifu dini yangu mbili kwa wale wanaosoma LLB je kuna sheria ya dini ya kisabato??
Maana zipo Athodox, RC,waisilamu,protesintant na Hindu,wasabato mko wapi??
Tuacheni kila mtu akaabudu anapoona panafaa kama havunji cheria ya nchi
 
Huyo Hellen G white ndo yule aliyesababisha vifo vya watu baada ya kutoa utabiri feki wa kuzimu kuww mwisho wa Dunia ungetokea...."Great Disappointment......

Hellen White hakutabiri mwisho wa dunia, Aliyetabiri hivyo ni William Miller.
 
JAMANII..Leten h page kw weny uwezo wakulet biashar yote itakuwakwishney CHRISTIANS EXP AND TEACHING OF E G.WHITE pg111

Mkuu, page yenyewe ni hii ifuatayo.
December 16, 1848, the Lord gave me a view of the shaking of the powers of the heavens. I saw that when the Lord said “heaven,” in giving the signs recorded by Matthew, Mark, and Luke, He meant heaven, and when He said “earth,” He meant earth. The powers of heaven are the sun, moon, and stars. They rule in the heavens. The powers of earth are those that rule on the earth. The powers of heaven will be shaken at the voice of God. Then the sun, moon, and stars will be moved out of their places. They will not pass away, but be shaken by the voice of God. Dark heavy clouds came up, and clashed against each other. The atmosphere parted and rolled back; then we could look up through the open space in Orion, whence came the voice of God. The holy city will come down through that open space. I saw that the powers of earth are now being shaken, and that events come in order. War, and rumors of war, sword, famine, and pestilence are first to shake the powers of earth, then the voice of God will shake the sun, moon, and stars, and this earth also. I saw that the shaking of the powers in Europe is not, as some teach, the shaking of the powers of heaven, but it is the shaking of the angry nations.
 
KWa sda umechemka.labd hao

sda ma walokole ndio mamburura wakubwa katika imani ya kikristo, hao wengine atilist hawa danganywi danganywi na wachungaji wao lakini sio hao watu .na ninapo zungumzio walokole mana wote wanatoka katika makanisa ya wapentekoste wengi sana wana watkuza wachungaji wao badala ya mungu. Kweli hawa ni vihiyo wa kutupa na ndio hao wako radhi motot asiende shule au asivae kiatu ili mchungaji atembelee gali zuri,shiit.
 
Hiyo ni mpya kwangu, kwamba msabato alijitenga toka mashahidi wa yehova, eti Ntuzu unaifahamu hii kitu aisee maana kwangu hii ni ngeni.


Kwa kumuweka sawa Huyo ndugu, wasabato sio waprotestant. Makanisa mengi yaliasi toka kwa Roma! Bali sabato ilikuwepo tangu edeni,

Kwahiyo hao mashahidi Wa yehova asili Yao ni kutoka Roma na walikua hawashirikiani kabisa na wasabato! Na pia mashadi Wa yehova ata km wanavyojulikana km ni Wa Protestant Lkn hakuna wanachopinga kutoka Roma!
 
Last edited by a moderator:
ila keshakufa huyo mungu wako,,nasikia pia mtume mhamed alikua shoga.
Duh..huo sasa uchokozi! Ndio maana wengine tunasema kila mtu dini yake ni kweli kwake ndio maana anaamini kwa hiyo lazima kufanyiana heshima. Mambo ya kejeli kwa dini za wengine na wewe utafanyiwa kejeli. Tusijidanganye hakuna dini yenye hati miliki na mungu, mungu ni wa wote.
 
Kulingana na sheria za nchi hapo red ni sahihi zaidi, ila kulingana na sheria za Mungu hapo pako na makosa. Nikuulize swali, huko LLB mnafundishwa ukiona sheria inapindishwa unyamaze kimya? Je, hakuna kitu cha kufuata kama sheria imepindishwa? Si ndio maana kuna mahakama.za kuwashugulikia wavunja sheria wote?. Ni hivyo kwa Mungu, ana sheria zake ambazo kila mwanadamu anapaswa kuzifuata, ila shetani kwa kuwatumia wanadamu amepindisha sheria za Mungu na kufikia kuhalalisha vile vilivyoharamishwa, Je, Mungu anyamaze kimya kwa sheria zake kuvunjwa? Mbona naye asitumie wanadamu(mimi na yeyote aliye tayari kutetea sheria zake). Kwa hiyo mimi hapa simtukani yeyote ila mimi ni kama ile sauti iliayo nyikani, yatengenezeni na kuyanyoosha mapito ya Bwana kwa hiyo nitaendelea kueleza ukweli maadamu ninaishi. Siwezi kukaa kimya huku sheria za Mungu wangu zikiwa zinavunjwa.
Ku
 
Hellen White hakutabiri mwisho wa dunia, Aliyetabiri hivyo ni William Miller.


Iliwahi kuja hapa JF December last year mada ya kumhusu Ellen G White na Hilo swala tuliliweka sawa Nashangaa Huyu jamaa tedo anang'ang'ana na hicho kitu!

Akitaka tena tutampa vielelezo vingine!
 
Last edited by a moderator:
Sijajua bado ni mada za aina gani ambazo mods wanatakiwa kuzifuta.

Hii mada ni ya kukashifiana lakini inaachwa tu, na si ajabu ukaona mtu anapigwa ban kwa kukashifu wakati topic ndo inataka hivyo.

Anyway, binafsi siamini katika kukashifu imani ya mtu mwingine
 
Ukiona mtu anajiona yeye ni bora kuliko mwenzake anamatatizo uyo.
Mkuu kuna uwanja mapambano wamewekewa wapambane mpaka watowane damu, ajabu bado wanakuja kupigani mbele ya wasiohusika.
 


Na anapaswa kufahamu kwamba tunaheshimu mamlaka na kuzitii! Lkn mamlaka zote Duniani haziko juu ya Mungu! Iwapo mamlaka ikienda kinyume na sheria za Mungu, Au kutaka kuingilia mamlaka ya Mungu kamwe hatuwezi kukaa kimya! Tutaueleza ukweli wote Wa Mungu wote!
 
Kweli Mungu ni wa wote, ila kuna namna ameelekeza ambayo kila amwaminiye lazima aifuate. Kwa mfano rahisi, Yesu Kristo ni wa wote, ila si kila mtu anapokea utakaso kwa dhambi zake kama hajamuamini Yesu. Dini kutokuwa na hati miliki ya Mungu, si kigezo cha kufanya tusielekezane pale tunapoona tunaabudu kinyume na matakwa ya Mungu. Ndiyo maana Nabii Ezekili aliambiwa hivi
nimwambiapo mtu mwovu, hakika utakufa, nawe ukikaa kimya, hakika mtu yule atakufa, bali damu yake nitaitaka mikononi mwako
. Je, tuendelee kuchekea taratibu nyingi na mafundisho yasiyotokana na neno la Mungu kisa eti kila mmoja ana haki ya kuabudu? Je, ukikuta mtu anaabudu mizimu utamuacha kisa ana haki ya kuabudu bila kumweleza ukweli kuwa anachokiabudu ni makosa?.
 

Kipi bora kuupata ulimwengu wote na kupoteza Roho yako milele?
 

The Bible mentions Orion three times, naming
it "Kesil" ( כסיל , literally - fool). Though, this
name perhaps is etymologically connected with
"Kislev", the name for the ninth month of the
Hebrew calendar (i.e. November–December),
which, in turn, may derive from the Hebrew
root K-S-L as in the words "kesel, kisla" ( כֵּסֶל,
כִּסְלָה , hope, positiveness), i.e. hope for winter
rains.): Job 9:9 ("He is the maker of the Bear
and Orion"), Job 38:31 ("Can you loosen
Orion`s belt?"), and Amos 5:8 ("He who made
the Pleiades and Orion"). In ancient Aram , the
constellation was known as N e phîlā′ , the
Nephilim may have been Orion's descendants.
kwa maelezo zaidi na ya kina kuhusu orion, google hilo neno la red.
 
Wasipowapeleka shule wawafundishe wenyewe, hakuna anayefundisha uongo sema wanataka wawe mabahili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…