Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 343
Yusuph, Maria...wte watakua Blacks
Maarifa ya mwanadamu kwa Mungu ni ujinga, hivi vi likes unavyopata na watu kushindwa kukujibu kwa namna ya maandiko unayoitaka wewe visikufanye ukufuru..Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
Kwani wa Massai uliowaongelea hapo ni wabantu?mila za waisrael wa kipindi hicho ni ngumu sana kuzitofautisha na wabantu wa leo ukiachana na rangi zao. Kurithi wajane na sheria zote za Musa kwa wabantu wa sasa ni mila na desturi wala si dini hata kabla ya kutawaliwa na wazungu, pia laana ya torati 28 ni wabantu pekee ndio wanaoonekana kuishi katika laana hiyo, pia utumwa kwa waisrael wa biblia unafanana na utumwa waliopitia wabantu, pia kuna nakabila ya kibantu ambayo bado hayajaisahau historia yao kama lemba, igbo, shona, fulani, yoruba wanasemaga walitokea mashariki ya kati, pia kuna kabila hapa Tanzania na kenya limetajwa waziwazi kwenye kitabu cha mambo ya nyakati kama wana wa Jacob (maasai) na bado huwezi ukatenganisha mila za hayo makabila na waisrael wa biblia, achana na historia za darasani na uende ukawaulize machief wa makabila mbalimbali hapa TZ uwaulize kuhusu historia ya makabila yao utakachojibiwa sidhani kama utaandika notsi za history tena, ufugaji, ukulima, ngoma na lugha ya kiebrania ya kipindi hicho wabantu pekee katika huu ulimwengu ndio wanaolingana nazo, sheria zote ambazo Mungu aliwapa waisrael kwetu ni mila na desturi kwa makabila yote ya kibantu hata kama mbantu huyo hana dini, kukudhihirishia hilo angalia mali zilizopo katika ardhi anayoishi mbantu tungalikua watu dhaifu kwa dunia ya kipindi kile sidhani kama tungalikuwepo katika uso wa dunia ndio maana mzungu anatumia kila silaha hadi za kibiolojia kutuangamiza ila bado tupo na bado tupo imara, ukitaka kuelewa biblia vizuri isome kama kitabu cha historia na si kama kitabu cha dini, waisraeli waliishi jangwani kwa miaka arobaini lakini waliishi na kuondoka, sidhani kama kuna mzungu anauwezo wa kukaa katika jua kali la jangwani kwa masaa 24 akabaki hai, kama unasoma vizuri biblia utagundua taifa lolote ambalo litakua na nguvu kwa kipindi hicho ni lile ambalo linawatumikisha waisrael, angalia taifa lenye nguvu kwa sasa na uangalie ni watu wa rangi gani wanaotumikishwa humo na ujiulize watu hao wametokea wapi. Waisrael hawaabudu sanamu hivyo hivyo wabantu hawaabudu sanamu, waisraeli hutoa sadaka za mifugo kwa mungu wabantu pia hutoa sadaka za mifugo, waisrael huomba na mvua ikanyesha wabantu pia hufanya matambiko hata mvua ikanyesha ni mwiko kwa waisraeli kujichora tatoo wabantu pia tatoo tumeletewa na wazungu pa1 na waarabu (si desturi yetu) kurithi wajane kumeasisiwa na Nabii Musa kwa kwa ajili ya kulinda mali kwa makabila ya waisrael sisi wabantu ni hivyo hivyo na mengine mengi mno twafanana. Leo mila hizo tunasea ni potofu na zilizopitwa na wakati ilhali mwanzilishi wake ni taifa teule la Mungu, lengo lao ni kuzifuta mila hizo ili TUPOTEZE IDENTITY YETU na kuunda Israel ya kwao yenye muunganiko wa wazungu wa aina tofauti hadi wengine wanafanana na waarabu. Irael ya sasa imeundwa na umoja wa mataifa na wala hajawahi kushuhudiwa nabii yeyote eneo lile. Nikilalama sana wataniita antisemite wakati shemites ni mimi . Kwa mujibu wa biblia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno "bantu" lina maana ya neno "watu" kwa kiswahili. Kusema maasai ni wabantu; maana yake wamaasai ni watu. Mzungu pia ni Mbantu vilevile kulingana na naana halisi ya neno 'bantu'.Kwani wa Massai uliowaongelea hapo ni wabantu?
Au unavoongelea neno "bantu" una tofautiana na maana inayofahamika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Like how Horus did,salvation from whatWhile it is true that Jesus is not a white man, people confused him and religion. Religion is meant to confuse people all over the world, the truth of the matter is religion is not the answers of peoples problems. People confuse religion and God. Religions did not come from God. Religions came from people in searching for God. This is why you have so many Gods all over the world. Why? the answer is looking for God. Now If you follow religion you will always get lost in the bush, but if you learn about Jesus you will realized that he actually did not bring religion, but salvation to all man kind.
Vipi kuhusu eneo alilosulubiwa Yesu? Mbona mapadre hutoka hapa na kwenda Israel ku hij?mila za waisrael wa kipindi hicho ni ngumu sana kuzitofautisha na wabantu wa leo ukiachana na rangi zao. Kurithi wajane na sheria zote za Musa kwa wabantu wa sasa ni mila na desturi wala si dini hata kabla ya kutawaliwa na wazungu, pia laana ya torati 28 ni wabantu pekee ndio wanaoonekana kuishi katika laana hiyo, pia utumwa kwa waisrael wa biblia unafanana na utumwa waliopitia wabantu, pia kuna nakabila ya kibantu ambayo bado hayajaisahau historia yao kama lemba, igbo, shona, fulani, yoruba wanasemaga walitokea mashariki ya kati, pia kuna kabila hapa Tanzania na kenya limetajwa waziwazi kwenye kitabu cha mambo ya nyakati kama wana wa Jacob (maasai) na bado huwezi ukatenganisha mila za hayo makabila na waisrael wa biblia, achana na historia za darasani na uende ukawaulize machief wa makabila mbalimbali hapa TZ uwaulize kuhusu historia ya makabila yao utakachojibiwa sidhani kama utaandika notsi za history tena, ufugaji, ukulima, ngoma na lugha ya kiebrania ya kipindi hicho wabantu pekee katika huu ulimwengu ndio wanaolingana nazo, sheria zote ambazo Mungu aliwapa waisrael kwetu ni mila na desturi kwa makabila yote ya kibantu hata kama mbantu huyo hana dini, kukudhihirishia hilo angalia mali zilizopo katika ardhi anayoishi mbantu tungalikua watu dhaifu kwa dunia ya kipindi kile sidhani kama tungalikuwepo katika uso wa dunia ndio maana mzungu anatumia kila silaha hadi za kibiolojia kutuangamiza ila bado tupo na bado tupo imara, ukitaka kuelewa biblia vizuri isome kama kitabu cha historia na si kama kitabu cha dini, waisraeli waliishi jangwani kwa miaka arobaini lakini waliishi na kuondoka, sidhani kama kuna mzungu anauwezo wa kukaa katika jua kali la jangwani kwa masaa 24 akabaki hai, kama unasoma vizuri biblia utagundua taifa lolote ambalo litakua na nguvu kwa kipindi hicho ni lile ambalo linawatumikisha waisrael, angalia taifa lenye nguvu kwa sasa na uangalie ni watu wa rangi gani wanaotumikishwa humo na ujiulize watu hao wametokea wapi. Waisrael hawaabudu sanamu hivyo hivyo wabantu hawaabudu sanamu, waisraeli hutoa sadaka za mifugo kwa mungu wabantu pia hutoa sadaka za mifugo, waisrael huomba na mvua ikanyesha wabantu pia hufanya matambiko hata mvua ikanyesha ni mwiko kwa waisraeli kujichora tatoo wabantu pia tatoo tumeletewa na wazungu pa1 na waarabu (si desturi yetu) kurithi wajane kumeasisiwa na Nabii Musa kwa kwa ajili ya kulinda mali kwa makabila ya waisrael sisi wabantu ni hivyo hivyo na mengine mengi mno twafanana. Leo mila hizo tunasea ni potofu na zilizopitwa na wakati ilhali mwanzilishi wake ni taifa teule la Mungu, lengo lao ni kuzifuta mila hizo ili TUPOTEZE IDENTITY YETU na kuunda Israel ya kwao yenye muunganiko wa wazungu wa aina tofauti hadi wengine wanafanana na waarabu. Irael ya sasa imeundwa na umoja wa mataifa na wala hajawahi kushuhudiwa nabii yeyote eneo lile. Nikilalama sana wataniita antisemite wakati shemites ni mimi . Kwa mujibu wa biblia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao masihi 16 walikua ni masihi waliotumwa na nani kwa wanadamu?Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
mkuu huyo horus unaemsema ni huyu huyu ninaejua habari zake au kuna mwingine katika source tofauti maana ninaejua mie ni hule jamaa wa Egypt wao wanamuita horus the all seeing nipe ufafanuzi kidogoMkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
what is the human nature!!!?
Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo