mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
tafuta black madona ambaye hata pope anaiomba sanamu yake.Hizi ni porojo ambazo hauna uthibitisho Nazo.
tafuta black madona ambaye hata pope anaiomba sanamu yake.Hizi ni porojo ambazo hauna uthibitisho Nazo.
naomba ntumie namber zako ,email,fb account'sname and so.. please!![]()
Idadi kubwa ya wakiristo na wasiyo wakristo wamedanganywa kwa kuaminishwa kuwa yesu ni white[Mzungu]
Hata michoro mingi inayotumika kumwakilisha yesu imekuwa ikimsadifu kama whiteman
Jaribu kugoogle tu neno "Jesus",99.999% ya picha utakazoletewa ni za mzungu anayefananishwa na Yesu
Hizo zote si picha za Yesu,ni picha za mtoto wa Pope Alexander wa sita aitwaye Casera borgia
Sad-fact ni kwamba,si tu Yesu alikuwa ni Black au African Hebrew
Bali characters wote wa kwenye Biblia kuanzia Adam mpaka Paul walikuwa ni Blacks
Huo ndiyo ulikuwa ukweli kabla ya miaka ya 1400
Mambo yalianza kubadilika wakati wa Renaissance period,kuanzia karne ya 14 mpaka ya 17 chini ya Pope Alexander VI
Ndipo Europeans walipoanza kumsadifu[Depict] Yesu kama Whiteman
Casera Borgia
[Casera Borgia kushoto Yesu kulia]
![]()
Inaendelea page ya kwanza
Dah mbona so what nyingi sana? HahaaaNi ujinga kukaa hapa kuzungumzia historia ambayo imejaa mateso na miaka 100 baada ya hiy historia bado ni majanga tu. miafrika inaishi kwa historia mpaka leo. adam na hawa walikuwa weusi sema na hilo. so what? hata kama Mungu ni mweusi so what? imetusaidia nini sisi waafrika ambao bado ni tegemezi kwa wazungu na kila siku tunabaki kulalama tu.....mi naichukia sana mijitu yenye akili za kipumbavu nawaza kama ingepigwa risasi tu ijifie huko mbali tuwalishe mamba na wanyama wengine. wenzenu wanawaza kuvumbua vitu mbalimbali ninyi MNAKAZANA TU YESU ALIKUWA MWEUSI, WAAFRIKA WANA HISTORIA KUBWA. SO WHAT? hata hamna mnalovumbua zaidi ya kuvumbua matumizi ya viungo vya albino. x$*&^%$#@%&(((()(&^%%$$XX kabisa.
Mohamed wewe ni rahisi kusema unayosema ila huyu bwana hapa akisema mohammad alikuwa mbakaji utatamka astaghafilulah mpaka mia na kutaka kukata watu mapanga. Au aksema mohamad saw alikuwa jangili,mporaji n.k utaona wewe sasa ndo unatokwa na kamasi kabisa...ungekaa pemben uache sisi wenye elimu zote tuzungumze.
Mkuu punguza povu bac
Faida ya kujua kuwa Yesu ni mweusi ni muhimu sana anawezesha kujua Yesu ni mweusi kwahiyo sisi waafrika ndio Waisrael .kwakuelewa hivyo tutamrudia Mungu kupatanishwa nae kupitia Yesu alietumwa kuwakomboa waisrael na laana ya Mungu .iliyopelekea watawanywe dunia nzima wakiwa watumwa .kwa watu Wa mataifa pasipo msaada Ila tuu mpaka watakapo mtambua Yesu kama mpatanishi wao .ndio watakapookelewa na adhabu ya Mungu.kwahiyo ni muhimu sana kujua kuwa Yesu ni Mweusi.Hallelujah,yaani ujinga haushi vituko na kutaka kuwatoa watu katika line ya kuutafuta ukweli
Haya huyo shetani anahusikaje hapa?
Umeongea jambo la maana, ni kama huwa najiuliza kila siku ni kwa nini hapa kwetu utakuta watu wanalalamika kwamba kwa nini Wahindi hawataki kuoa/kuolewa na sisi lkn sijawahi kukutana na Muhindi au mwarabu akilalamika kwamba Waafrika hawataki kuolewa na Wahindi, sasa ni kwa nini?
Ni kwa nini kuoa Muhindi au Mwarabu iwe muhimu kwetu? Inatuongezea nini?
Ni kwa nini sisi ndiyo tunalazimisha kutaka kuoa kwa watu wengine wakati wao wala hawana hiyo shida?
We angalia Wahindi wako vizazi vingapi hapa TanZania? Vingi tu lkn mpaka leo hii wanaongea Kihindi/Kikwao mtoto wa Kihindi anazaliwa Kariakoo anakulia Kariakoo lkn anaongea Kihindi chote, Mwafrika mweusi mwenzetu anazaliwa TZ anakulia TZ kesho anakwenda Marekani akirudi likizo hajui Kiswahili, anwaona tayari Watz wote washamba yeye ndiyo mtaalamu wa kunywa wine, yeye ndiyo mtaalamu wa kukosoa kila kitu anataka Raisi wa TanZania ghafla awe kama Obama na hapo wala siongelei mambo ya vizazi kama Wahindi sasa watu wa aina hii kama yetu uliiona wapi tena Dunia hii?
Tunawezaje hata kuja kuendelea na kushindana kwenye Dunia iliyojaa ushindani kama hata hatujithamini?
Leo hii utasikia Waafrika wanasema Bora Mchina klk Mzungu atutawale sasa kwa nini hata tutawaliwe? Ni kwa nini isiwe bora sisi tujitawale?
Tatizo sio rangi nyeusi yahawa ni baadhi ya waafrika wanaojisikia inferior kwa rangi yao sasa wanataka kuifanya kuwa ina umuhimu kwa kutafuta watu muhimu wawe na rangi yao. mimi naipenda rangi yangu kwa kuwa ndo nliyo nayo na sihitaji niseme yesu alikuwa mweusi ili sasa ndo nitembee kifua mbele.
ni upumbavu kumkubali mtu kwa sababu ya rangi hata wazungu wakifanya hivyo watakuwa wajinga. Yesu alikuwa mweusi then wazungu ndo wakaja tena kutupa habari zake so kama wameamua kumfanya awe mweupe hilo mi sioni limeongezea nini. ni kama leo hii tunapobishana obama mweusi au mweusi watatuona ni kituko kwa sababu awe mweus au mweupe inatusaidia nini sisi?
waafrika wengi huwa hawawazi mambo ya msingi. wanawaza kuonewa,kuwa wanyonge... na kujikuta hawavumbui kitu wao ni kulalamika kuhusu wazungu miaka na miaka. huu ndo utajiri wa mwafrika kulalamika na kulaumu miaka yote.hawatafuti ufumbuzi...ukiwasikiliza hata akina mugabe utasikia tu wanalalmika kwnye hotuba zao. hawana solutions.
wa
Ataa wewe unatakiwa utafute ukweli sio watu tuu. Watu wanaanzia na weweNdo umeandika nini sasa?
Maandiko ndiyo yanayothibitisha uwepo wa yesu?
Huu uzi unawataka watu watafute asili halisi ya hizi dini na historia ya mtu mweusi sio rangi
Salaam zako FaizaSana tena, sema ina watu walio wengi wenye akili ndogo.
Ethipia ni nchi za mwanzo kumjua huyu yesu........
Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Afrika tuna utawala mbovu kwa kweli,hicho ndiyo kinaweza kuwa chanzo cha umaskini wetuWana JF mimi sina ugonvi na rangi za manabii kwani kati têtu hakuna alité kuwepo hivyo anayetaka kutafuta ukweli ndani ya unaosemekana kua ndo ukweli tusimzuie. Shida yangu kuu ni matatizo ya watu weusi kama umasikini ujinga vita ushirikina na hâta fikra hivi nyuma Yake kuna NN kisichoweza kuwaachia watu hawa?
kwani mkuu umebadili jina lako au una undugu na mh.kiranga..???I don't want to believe,I want to know
Your assertion depend entirely on definition of God and which kind of God you're actually talking about
Personal or impersonal God?
First,you have to give us exact definition of word God
mabadiliko ni mimi na wewe, hebu tuanze na wewe kwanza, huu wenyewe ulioufanya si ndio utumwa unaoupiga vita,yaani unajitekenya mwenyewe halafu unacheka, amakweli penye wengi kuna mengi, hii tabia ya undumilakuwili ndio inayotuumiza mijitu meusi kila uchao, kwa nini usitumie Kiswahili, unaandika broken ili uonekane umeelimika, kumbe wajichoresha tu kwa watu.Einstein Newton some people are totally brainwashed!
What i hate about religion is that it make us fear to question things... It teaches us to agree with everything we are told like sheep!
If you don't question how would you know whether you are walking the right path? There are many faith systems how do you know whether the system you are Embracing is the right one? Don't be like sheep, question things.
Truth is never in the mainstream, truth is put underground, only those who dare to go down there will find it, go out read books, thats where truth is, if you sit around waiting for TBC or FOX News to talk about the origin of Christianity then you will never hear the truth. The worst thing about modern day people is we let other people think for us! We don't read, we don't research. We just sit around waiting for the news and information from the people we trust! We let the media and influential people think and decide for us! We just follow their directions like sheep! And thats why there are many religions and political parties today, because anyone can lead us to wherever they wanna take us to, even to slaughterhouses! Because we don't think for ourselves!
White supremacy is well institutionalised especially in Africa, that its very hard to make an average African person unlearn the lies they have been taught for years.
Open your third eyes my brothers and sisters, we Black people have been programmed to feel and be this way by the white supremacist system, so never expect the truth to come out of their mouth! Its up to us to find the truth,
Sit around and accept the white man as your God,
Or read and find the truth.
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Hivi we binti nati zipo vizuri kichwani?
Nani hawi mweusi mtoto au Baba?
Kati ya white na Black ipi ni Dominant na ipi recessive gene?
Kwanza unajua melanin ni kitu gani?
Mzungu akizaa na mwafrika lazima mtoto atakuwa black kwa sababu black ni dominant gene
Muangalie Bob marley kwa mfano,baba yake ni white ila yeye ni mweusi
Na unajua Jah ni nani?
Yaani nyie kina mama mliopewa mimba uzeeni mna tabu kweli
Na mtoto utakaye zaa,lazima afanane na mimi kenge we!