Was Jesus Black?

Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?

  • Total voters
    127
Kama ni kweli usemalo kuwa Casera Borgia ni mtoto wa Pope Alexander VI aliyetumika kama Jesus. My question is Who is Brian Deacon?
Hv unaijua process ilyotumika kupata Brian deacon? Kfupi Yy lilifanyika shindano la kumtafuta mtu atakefanyanana na yesu ili aweze kuigiza ile filamu wakat huo picha ya casera Borgia ndo ilikuwa inatumika km pcha ya yesu mwenyewe
 
Inabidi sasa turudi kwetu Jerusalem, Israel. Duh kumbe mimi myahudi.
Yaani siku makaburu wakiweza kuwahamisha watu wote weusi kule south Africa na kubaki watu weupe tu ndo nitaamin hiyo untold story.
 
Inabidi sasa turudi kwetu Jerusalem, Israel. Duh kumbe mimi myahudi.
Yaani siku makaburu wakiweza kuwahamisha watu wote weusi kule south Africa na kubaki watu weupe tu ndo nitaamin hiyo untold story.
Yaani nimepitia maoni na maelezo ya wadau ma kugundua wengi hawajui walisemalo. Kwa kifupi Yesu sio mtu mweusi na uhusiano wake na Afrika sio kigezo cha yeye kuwa alikuwa Mwafrika.
Ukitaka kugundua ni hizi dini mbili za Uislamu na Ukristo, jinsi gani watu wa Afrika waliweza kuwa waumini wa moja wapo.Asilimia kubwa walilazimishwa na wengine walikubali kwa uoga ama kwa sababu ya wazazi wao.
Hii ina maanisha nini? Ni kwamba huyo Yesu alikuwa hajulikani. Watu walikuwa na imani na dini zao za toka enzi na enzi
Alafu kuna ugonjwa ambao baadhi ya watunzi na watafiti kulazimisha watu wakubali juu ya tafiti zao. Hivi Yesu akiwa mweusi ndo itakuwa nini sasa? kwamba watu weusi ni binadamu wenye akili sana na ndio chaguo la Mungu.
Ni wakati wa kubadilika, hivi hizi dini za ma babu zetu mbona haziendelezwi katika dunia ya leo? Ngoja ni kwambie moja ya sababu; watu wanaona aibu na kuzichukulia za kishetani. Pia dharau inayotokana na mafunzo ya kidini na malezi. Hata media outlets nazo zipo mbele kuziponda na kusifia dini/dhehebu zingine.
 
The question is not whether Jesus was black.

The question is, who is black?
 
Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?

Labda sababu Africans lived in dark continent before
 
Alikuwa black or white so what?ni upumbavu tu kukaa kujadili hilo maana halibadili anything. Nami sijawah ona picha ya yesu wewe umewah ona wapi? Watu hawaangalii rangi na by the way hata wayahudi si wazungu so haiwasaidii hata kusema alikuwa mweupe. Huku huku africa pia wapo weupe sioni issue ya msing hapo. Haya tuseme alikuwa mweusi. So what? Simple mind discuss simple things. Mi hata wakiniambia alikuwa wa blue wala sitak kubishana nao.it doesnt help me at all. Nafata mafundisho yake tu. Waafrika weng wamejawa na inferiority complex so wanatafuta hata vitu ambavyo havina maana waseme ni vyao. So what?
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Learn how to read between the line chav
Yesu hakuishi Africa bali alikuwa ni African hebrew

Pia kuhusu suala la kumjua,Mababu zetu ndiyo waliokuwa wakijua ukweli kabla ya miaka ya 1400

Wewe umekaa utumwani miaka 390,wamesha kubrain washing vya kutosha

Dini zilianzia afrika kabla hazijaenda huko

Ni sawa na wanavyochukua pamba na kukuletea nguo na wewe ukaona ni kitu kipya kumbe ni pamba ileile
Safi sana,
 
Mathayo 2:13-14
Na hapo walipokwisha kwenda zao,tazama,malaika wa bwana alimtokea Yusufu,katika ndoto akasema,Ondoka umchukue mtoto na mama yake,ukimbilie misri ukae huko hata nikuambie

Yusufu na mkewe hawakuambiwa wakimbilie Misri kwa sababu ya Military protection

Kama mkimbizi anavyokimbia nchi yake na kwenda nchi nyingine kwasababu ya usalama.Hapana!

Wakati ule hata Misri ilikuwa chini ya Roman empire

Herode bado alikuwa na uwezo wa kuwatafuta na kuwapata kwasababu bado walikuwa chini ya utawala wake

Lengo kuu la kukimbilia Misri,lilikuwa ni kujichanganya na Black wenzao

Kwahiyo ilikuwa ni vigumu kwa Majeshi ya kirumi kuwatambua
Kama wangelikuwa whites wangelitambulika kwa urahisi

Kwasababu Misri ilikuwa ni ya Blacks wakati ule

References

THE PHYSICAL APPEARANCE OF ANCIENT ISRAEL,THE HEBREW&SONS OF HAM

Mleta mada yuko sahihi kabisa
 
Yaani nimepitia maoni na maelezo ya wadau ma kugundua wengi hawajui walisemalo. Kwa kifupi Yesu sio mtu mweusi na uhusiano wake na Afrika sio kigezo cha yeye kuwa alikuwa Mwafrika.
Ukitaka kugundua ni hizi dini mbili za Uislamu na Ukristo, jinsi gani watu wa Afrika waliweza kuwa waumini wa moja wapo.Asilimia kubwa walilazimishwa na wengine walikubali kwa uoga ama kwa sababu ya wazazi wao.
Hii ina maanisha nini? Ni kwamba huyo Yesu alikuwa hajulikani. Watu walikuwa na imani na dini zao za toka enzi na enzi
Alafu kuna ugonjwa ambao baadhi ya watunzi na watafiti kulazimisha watu wakubali juu ya tafiti zao. Hivi Yesu akiwa mweusi ndo itakuwa nini sasa? kwamba watu weusi ni binadamu wenye akili sana na ndio chaguo la Mungu.
Ni wakati wa kubadilika, hivi hizi dini za ma babu zetu mbona haziendelezwi katika dunia ya leo? Ngoja ni kwambie moja ya sababu; watu wanaona aibu na kuzichukulia za kishetani. Pia dharau inayotokana na mafunzo ya kidini na malezi. Hata media outlets nazo zipo mbele kuziponda na kusifia dini/dhehebu zingine.

Nakuunga mkuno kwanza kwenye swala la njia za kiroho za mababu zetu. kuna umuhimu kuzienzi nakuzianzisha.

Pili ni msisitizo tu juu ya rangi ya huyu aliezushwa kuwapo hali kwamba hakuwapo.
Sisi tuliepata bahati kupita pale misri ba ethiopia, tumefubdishwa kuwa hapakuwai kutokea kiumbe anaitwa yesu kristo alietembea ktk ardhi hii ya duniani. hadithi ya yesu ni miungoni mwa stolen legacy za ngano zetu.
Misri kuna document ambayo waingereza waliiba inaitwa THE BOOK OF COMING FORTH DAY AND NIGHT wao wakaita THE BOOK OF THE DEAD. kuna mwandishi alikuwa anaitwa HUNEFER ANI ktk temple ya Abadyos kwenye hicho kitabu kuna hadith ya Auset na Osiris na Heru ambayo ya familia yenye story kama ya Yesu. ambayo ya miaka ya 1250BCE.
Wazungu wamekopi na kubadili majina ya wahusika nakusema Yoseph, Maria na Yesu so strange.

MABABU ZETU WALITUACHIA SIRI KWENYE MAWE YA MAPYRAMID. WAZUNGU WAMESHINDWA KUHARIBU USHAHIDI ULIOACHA KWENYE MAWE NDIO MAANA LEO WANAUMBUKA. NITAENDELEA ....
 
Asante mtoa mada kwa elimu iliyokidhi vigezo na masharti yote.

Tutafurane. Naona kuna umuhimu wa kuandika kitabu.

Nami nasupport. tutafutane. watu tumejishibia maarifa kwa ajili ya wayu watafutao haya tulionayo. nina mengi makubwa ambayo ni vigumu kushare jamvini.

BLACK POWER
 
Nimekutana na watu ni wajinga

Ndio ni wajinga

wanaanza kulalamika wamebadilishiwa historia
kisha wakatumia biblia hiyo hiyo kuthibitisha wamebadilishiwa (ni ujinga first class)
kama wangetaka kubadilsha hata huo ushahidi usingeukuta kwa sababu wenzetu wameisoma mstari kwa mstari hadi wakaibadili lugha

Ujinga ni kusema wazungu sio superior huku hata simu unayotumia wamegundua wazungu

Ujinga ni kukataa maandishi ya biblia kisha ukakubali alichoandika Albert huku ukiendelea kugoma kabisa wazungu sio watu na miakili zao

Ni ujinga kukubali binadamu wa kwanza ni nyani ila ukiulizwa huyo nyani alitoka wapi zitaanza porojo ukiulizwa umesoma wapi atakutaji jamaa wake ila biblia anaipinga

ujinga ni kucopy japo ujanja ni kubadili lugha
ha ha ha ha ha

Hebu jaribu kufikiri umecheleweshwa kutakriban Miaka 500 kwa kumfanyia kazi mtu halafu baada ya hio miaka anakuachia ujianzishia maisha yako huku wakati nakumonitor karibu kila nyanja ya maisha yako.

Ujanja ni kule kujaribu kukumbuka kabla ya kucheleweshwa nilikuwa nimeaccomplish vitu gani? ili nianze kuelewa najinasua vipi na mitego ya mifumo ya alienichelewesha.

Wao walishindwa kufuta mengi maana wazee wetu waliacha ushahidi kwenye majengo ya mawe. ukidanganya kwenye karatasi tunaenda kufanya reference kwenye mawe.
Aibu ni kwa wale wajinga.

kuujua ukweli utatufanya tujiamini na kuanza upya. HAYO WALIONAYO NI SISI TULIWAPELEKEA. KAMA UMESHAENDA ULAYA. JARIBU KUPITIA KWENYE MESEUMS NA CASTLE ZAO. UTASHANGA NA MICHOZI ITAKUTOKA..... NITAFUTE NIKUONYESHE USHAHIDI.
 
Nimeipenda hii mada. Watu wengi wasichofaham ni kuwa uongo ukirudiwa na kurudiwa mara kwa mara.. na ukaandikwa mara nyingi na kwa lugha nyingi.. mwishowe huonekana ni ukweli.

Ishu ya Yesu ni fantasy zaidi kuliko ukweli.. lakini hata kama yaloandikwa yalitokea.. basi yalivurugwa kwa maksudi ili kuleta confusion ili kuwabana watu weusi.

Mwaka 1947.. yalipatikana maandiko yajulikanayo kama "dead sea scrolls" ambayo inasemekana ni maandiko original ya bible yasochakachuliwa.. yale maandiko ilibidi yazuiliwe na Israel kwa nguvu zote kwa sababu kila kitu kingekuwa wazi na dunia ingegundua ulaghahi wa miaka zaidi ya 2500 kuhusiana na Yesu na Christianity

Mleta mada hongera. Natumai utaendelea kutujuza mengi
 
Hongera mleta mada , kupingwa nilazima utapingwa kwa sababu tuna ishi katika ulimwengu wa watu wanao fikiri kwakutumia mioyo yao na imani zao adala ya, Akili, watu wana yatetea maandiko yaliyo tunzwa mikononi mwa watu kwamiaka , 2000,ninani awezae kujua kama kuna lililo tendeka lenye chembe za uongo..???.

Akuna anae weza ila tupo tunao amini hakuna ovu lolote lililo tendeka lakini nikwanini tunapo letewa ukweli tusi upokee nakuu chunguza kama ndio ukweli wenyewe ..??.

Napenda kuwa ambia ata samsoni yaweza kua alikuwa mweusi nandio maana alikua na, "RASTA" wewe usha muona mtu mweupe mwenye rasta ???.
 
Nimependa iyo ya samson
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom