Was Jesus Black?

Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Mathayo 2:13-14
Na hapo walipokwisha kwenda zao,tazama,malaika wa bwana alimtokea Yusufu,katika ndoto akasema,Ondoka umchukue mtoto na mama yake,ukimbilie misri ukae huko hata nikuambie

Yusufu na mkewe hawakuambiwa wakimbilie Misri kwa sababu ya Military protection

Kama mkimbizi anavyokimbia nchi yake na kwenda nchi nyingine kwasababu ya usalama.Hapana!

Wakati ule hata Misri ilikuwa chini ya Roman empire

Herode bado alikuwa na uwezo wa kuwatafuta na kuwapata kwasababu bado walikuwa chini ya utawala wake

Lengo kuu la kukimbilia Misri,lilikuwa ni kujichanganya na Black wenzao

Kwahiyo ilikuwa ni vigumu kwa Majeshi ya kirumi kuwatambua
Kama wangelikuwa whites wangelitambulika kwa urahisi

Kwasababu Misri ilikuwa ni ya Blacks wakati ule

References

THE PHYSICAL APPEARANCE OF ANCIENT ISRAEL,THE HEBREW&SONS OF HAM

Mkuu nakukubal sana
 
Alikuwa black or white so what?ni upumbavu tu kukaa kujadili hilo maana halibadili anything. Nami sijawah ona picha ya yesu wewe umewah ona wapi? Watu hawaangalii rangi na by the way hata wayahudi si wazungu so haiwasaidii hata kusema alikuwa mweupe. Huku huku africa pia wapo weupe sioni issue ya msing hapo. Haya tuseme alikuwa mweusi. So what? Simple mind discuss simple things. Mi hata wakiniambia alikuwa wa blue wala sitak kubishana nao.it doesnt help me at all. Nafata mafundisho yake tu. Waafrika weng wamejawa na inferiority complex so wanatafuta hata vitu ambavyo havina maana waseme ni vyao. So what?
Mkuu punguza povu bac
 
Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?

Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam

Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli

Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
Mkuu hii elim mpya yesu n masih wa 16 kusubiriwa??? Nahtaji kufaham kuhusu hili zaid
 
Mohamed wewe ni rahisi kusema unayosema ila huyu bwana hapa akisema mohammad alikuwa mbakaji utatamka astaghafilulah mpaka mia na kutaka kukata watu mapanga. Au aksema mohamad saw alikuwa jangili,mporaji n.k utaona wewe sasa ndo unatokwa na kamasi kabisa...ungekaa pemben uache sisi wenye elimu zote tuzungumze.
 
Je Daudi alikuwa mweusi? Yesu ni kizaz toka lea mfalme daud. Je daud alikuwa ni black?
 
Je Daudi alikuwa mweusi? Yesu ni kizaz toka lea mfalme daud. Je daud alikuwa ni black?
We wangekuita GuJike tu,maana ni mgumu wa kuelewa

Daudi alikuwa mwebrania,waebrania wote walikuwa Dark skinned

Inawezekana hujui,kwanini wewe una rangi nyeusi
Melanin ndiyo inayofanya ngozi yetu kuwa nyeusi

Melanin hiyohiyo ndo inayolinda ngozi yetu na mionzi mikali ya jua[Utra violet]

Mzungu hawezi kukaa sehemu yenye joto,bila kupata skin cancer kwa sababu hana melanin za kutosha

Ibrahim aliishi middle east[wakati huo]

Asilimia kubwa ya Middle east,ilikuwa ni jangwa,hivyo kulikwa joto kali

sasa Ibrahim angewezaje kuishi huko kama alikuwa white skinned?

Nenda basra Iraq,kule kuna joto kali sana lakini wenyeji wa kule ni weusi japokuwa wapo Iraq

Ukiona naongopa fanya utafiti wako ili uujue ukweli

Kuelimisha Miafrika kama nyie heri uwafundishe panya kutegua mabomu!
 
Kuhusu swala la Yesu kuwa ni black inawezekana but nifafanulie kuhusu unavyosema Mungu hayupo (enstein)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom