Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
This is too heavy!!!
This is too heavy!!!
This is interesting.![]()
Idadi kubwa ya wakiristo na wasiyo wakristo wamedanganywa kwa kuaminishwa kuwa yesu ni white[Mzungu]
Hata michoro mingi inayotumika kumwakilisha yesu imekuwa ikimsadifu kama whiteman
Jaribu kugoogle tu neno "Jesus",99.999% ya picha utakazoletewa ni za mzungu anayefananishwa na Yesu
Hizo zote si picha za Yesu,ni picha za mtoto wa Pope Alexander wa sita aitwaye Casera borgia
Sad-fact ni kwamba,si tu Yesu alikuwa ni Black au African Hebrew
Bali characters wote wa kwenye Biblia kuanzia Adam mpaka Paul walikuwa ni Blacks
Huo ndiyo ulikuwa ukweli kabla ya miaka ya 1400
Mambo yalianza kubadilika wakati wa Renaissance period,kuanzia karne ya 14 mpaka ya 17 chini ya Pope Alexander VI
Ndipo Europeans walipoanza kumsadifu[Depict] Yesu kama Whiteman
Casera Borgia
[Casera Borgia kushoto Yesu kulia]
![]()
Inaendelea page ya kwanza
Mkuu,I recommend you to do your own research on this subjectThis is interesting.
Mwaronk said:nifafanulie kuhusu unavyosema Mungu hayupo (enstein)
Asante mtoa mada kwa elimu iliyokidhi vigezo na masharti yote.
Tutafurane. Naona kuna umuhimu wa kuandika kitabu.
Mathew 2:13 - 14
Duuuh Mkuu hebu funguka zaidYesu Sio mtu halisia bali ni mtu ambae ni character katika story
We wangekuita GuJike tu,maana ni mgumu wa kuelewa
Daudi alikuwa mwebrania,waebrania wote walikuwa Dark skinned
Inawezekana hujui,kwanini wewe una rangi nyeusi
Melanin ndiyo inayofanya ngozi yetu kuwa nyeusi
Melanin hiyohiyo ndo inayolinda ngozi yetu na mionzi mikali ya jua[Utra violet]
Mzungu hawezi kukaa sehemu yenye joto,bila kupata skin cancer kwa sababu hana melanin za kutosha
Ibrahim aliishi middle east[wakati huo]
Asilimia kubwa ya Middle east,ilikuwa ni jangwa,hivyo kulikwa joto kali
sasa Ibrahim angewezaje kuishi huko kama alikuwa white skinned?
Nenda basra Iraq,kule kuna joto kali sana lakini wenyeji wa kule ni weusi japokuwa wapo Iraq
Ukiona naongopa fanya utafiti wako ili uujue ukweli
Kuelimisha Miafrika kama nyie heri uwafundishe panya kutegua mabomu!
Kwel mkuu
HV na ww kumbe n mzungu vle eeh??Ni ujinga kukaa hapa kuzungumzia historia ambayo imejaa mateso na miaka 100 baada ya hiy historia bado ni majanga tu. miafrika inaishi kwa historia mpaka leo. adam na hawa walikuwa weusi sema na hilo. so what? hata kama Mungu ni mweusi so what? imetusaidia nini sisi waafrika ambao bado ni tegemezi kwa wazungu na kila siku tunabaki kulalama tu.....mi naichukia sana mijitu yenye akili za kipumbavu nawaza kama ingepigwa risasi tu ijifie huko mbali tuwalishe mamba na wanyama wengine. wenzenu wanawaza kuvumbua vitu mbalimbali ninyi MNAKAZANA TU YESU ALIKUWA MWEUSI, WAAFRIKA WANA HISTORIA KUBWA. SO WHAT? hata hamna mnalovumbua zaidi ya kuvumbua matumizi ya viungo vya albino. x$*&^%$#@%&(((()(&^%%$$XX kabisa.
HV umeshawah kusoma genetic?acha ujinga wewe...wewe ndo utakuwa asili ya nyani. hiyo melanin kwa nini mzungu akizaa huku mtoto hawi mweusi? hizo akili za kuambiwa changanya na zako. we unakusumbua unyani tu. huulizi hayo maswali. kuna wazungu kibao wamezaa afrika na watoto wao bado ni weupe hiyo melanin why haikufanya kazi kwao? nenda kule uarabuni ukawaone wanoishi kwnye majangwa utawaona kama ni weusi au weupe. nenda jangwa la Great Basin Desert, Sonoran Desert, Chihuahuan Desert . una kariri tu kwa kusikia sikia na kusimuliwa huko vijiweni ukishavuta mibhangi yako na huyo jamaa mnamwita jah. huna hata uwezo wa kufikiria. na huyo jamaa atawapiga fix sana
Hivi we binti nati zipo vizuri kichwani?GuDume said:acha ujinga wewe...wewe ndo utakuwa asili ya nyani. hiyo melanin kwa nini mzungu akizaa huku mtoto hawi mweusi?
Kwanza unajua melanin ni kitu gani?hizo akili za kuambiwa changanya na zako. we unakusumbua unyani tu. huulizi hayo maswali. kuna wazungu kibao wamezaa afrika na watoto wao bado ni weupe hiyo melanin why haikufanya kazi kwao?
Na unajua Jah ni nani?una kariri tu kwa kusikia sikia na kusimuliwa huko vijiweni ukishavuta mibhangi yako na huyo jamaa mnamwita jah. huna hata uwezo wa kufikiria. na huyo jamaa atawapiga fix sana
Kujielezea kwenyewe hujui,unaandika hovyo hovyoGuDume said:Ni ujinga kukaa hapa kuzungumzia historia ambayo imejaa mateso na miaka 100 baada ya hiy historia bado ni majanga tu.miafrika inaishi kwa historia mpaka leo.adam na hawa walikuwa weusi sema na hilo. so what? hata kama Mungu ni mweusi so what?imetusaidia nini sisi waafrika ambao bado ni tegemezi kwa wazungu na kila siku tunabaki kulalama tu...mi naichukia sana mijitu yenye akili za kipumbavu nawaza kama ingepigwa risasi tu ijifie huko mbali tuwalishe mamba na wanyama wengine. wenzenu wanawaza kuvumbua vitu mbalimbali ninyi MNAKAZANA TU YESU ALIKUWA MWEUSI, WAAFRIKA WANA HISTORIA KUBWA. SO WHAT? hata hamna mnalovumbua zaidi ya kuvumbua matumizi ya viungo vya albino. x$*&^%$#@%&(((()(&^%%$$XX kabisa.
Duuuh ?.... ngoja kwanza nikaone maajabu ya paka dume, ,,, nitakuja baadaeKujielezea kwenyewe hujui,unaandika hovyo hovyo
Mods muwe mnawapima members wenu akili kabla ya kuwaruhusu
Sio kila mwenye email basi anafaa kuwa member wa JF kama huyo dada hapo juu
So what,so what,so what!!so olewa upate mme wako
Sio kutwa unamvalia kanga moja shemeji yako
Duuuh ?.... ngoja kwanza nikaone maajabu ya paka dume, ,,, nitakuja baadae