Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Anachotaka mh warioba ni kwamba serikali iache kuwatisha wananch na kuwapa hofu ya jeshi kuchukua nchi kama serikali (fendalation) 3 zitapita,pili anataka maoni ya wananchi yaheshimiwe maana si yake,tatu anauliza ipi yaliye msariti mwlm nyerere maana aliacha nchi moja serikali mbili na mzinga kupigwa kwa raisi mmoja na sasa ni tofauti ni nchi mbili na serikali mbili na msinga kwa maraisi wawili,au ww hukumuelewa,sasa tanganyika kwanza.

- Mbona hata yeye anawatisha wananchi wasiotaka Serikali 3, yeye amewakilisha maoni ya wananchi sasa wananchi wanapotoa maoni yao mbona anakuwa na hasira sana maana hata kwenye kujibu anatumia nguvu nyingi sana kuna nini hasa? Hivi kweli Warioba anaweza kushindana na Wabunge wote wanaotaka Serikali 2?

- I mean sasa atakaposhindwa kama itakavyokuwa itakuwaje?

Le Mutuz System
 
Wananchi tuko nyuma ya Warioba na ndio msingi wa taifa hili kuwapo. Mfahamu kuwa alichoandika Warioba kimetoka kwetu sisi wananchi halafu Katiba kimsingi ni mkataba baina ya mtawala na mtawaliwa juu ya namna nchi itakavyoendeshwa. Kama wabunge wa bunge la katiba hawana mamlaka ya kuondoa maudhui ya rasimu ya pili ya katiba. Hilo jambo liko chini ya mamlaka ya wananchi. Mabadiliko ni sawa na mkondo wa maji huwezi kuyazuia tena Kwa hoja dhaifu. Na sidhani wewe Le Mutuz unaweza kumdis credit Jaji Warioba au Dr Salimu au Jaji Ramadhani na wengine waliounda tume ile.

Thabit....

- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
 
unataka mkae chini mjadili nini zaidi ya kuondoa uhai wa mzee wa watu kabla ya siku zake?
 
wewe huna upeo wa kuchambua chochote zaidi ya dezo-dezo na directives for a few dollars
 
Ndo wale wale wenye mawazo mgando,Azimio la Arusha mbona lilivunjika bila kujali kama Mwl Nyerere ni mwaasisi wake,ufisadi haukukemewa na mwl leo ndo ushujaa?
 
Sijui kwa nini mnataka Warioba akae kimya, kwa faida ya nani? hapa tunatengeneza katiba, lazima tupingane kwa hoja, Warioba ana wajibu wa kuendelea kufafanua hoja zake kwa kuwa zinapotoshwa, wewe mwenyewe unajua kila kukicha CCM mnaibuka na kumzulia maneno, akikaa kimya sisi wananchi wa kawaida tutajua ukweli ni upi? Acha aendelee kufafanua, cha msingi njooni na majibu ya hoja zake, anasema Tanganyika imevaa koti la muungano, dawa yake nini? Anasema Zanzibar imevunja katiba ya Muungano, dawa yake nini? Jibuni hoja tutawalewa.
 
- Kuvunja Taifa letu hawezi na in the end ni Serikali 2 ndio itasimama, lakini in the process kwa wale tulioenda shule ni lazima tutafakari kwa kina na umakini kuna nini behind this Warioba syndrome!! something is a miss!!

Le Mutuz System

Tatizo lenu CCM mtu ana potofautiana na ninyi kimawazo munamuona ni kama ana taka kuvunja Taifa.Taifa halijengwe kwa mfumo uleule na mawazo yaleyale mnayoyaona yanafaa kwenu. Wakati kuna mawazo mengine na mbinu zingine ambazo zinaweza zikatumika tofauti na zenu na zikaliimarisha Taifa zaidi ya mbinu zenu na mawazo yenu.Kwenu CCM mtu anayetofautiana na ninyi mnamuona kama shetani. Mnao wataka ni wale wanaosema zidum fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM.Nyerere mwenyewe alijuwa kuwa kuna fikra sahihi na zingine siyo sahihi ndiyo maana akasema kuwa zile ambazo ni sahihi ziendelee kudumishwa na zile ambazo siyo sahihi ziachwe.Watanzania wametambuwa kuwa kuna mambo ambayo Nyerere ali yafanya haya kuwa mazuri kwa sababu naye alikuwa ni binadamu kama wao japo kuwa aliyafanya kwa nia nzuri wanataka kuyabadilisha ili yaendane na wakati CCM mnawalazimisha waendelee na yaleyale wakati yana waumiza wananchi na yameshapitwa na wakati japo kuwa kwa wakati ule yalionekana kuwa yanafaa.
 
Vipi wewe? Umeharibikiwa nini? Mbona unamwaabisha the Eminent Person- Mzee wetu Malecela! Alikuzaa kweli wewe? Aibu. Fikiria!
 
Mbulumundu huwa anakula mpaka anakufa... kufikiria sio kazi yake ... ni kula kunenepa , kujamba na kufa.
 
Aliyekutuma mwambie ashindwe kwa jina la Tanganyika
 
Kilichofanya matusi kumwagwa kwa Warioba ni kitu gani!?wakati Dar es laam rais anapigiwa mizinga 21,akienda Zanzibar kwa vile walishavunja muungano tayari na kuivunja katiba..rais wa Tanganyika anasimama mwenzie nae anapigiwa mizinga,Mtanganyika akenda Zanzibar hapati ardhi,wala hapigi kura,je uvunjifu huu wa katiba ni wa nani!?,muungano ulishavunjwa siku nyingi sana,alafu leo wanamtusi,na kumkejeli Warioba,waliomsaliti mwalimu Nyerere sio Warioba,wasaliti ni wale wanaomtusi Warioba,kwa kulihusisha jeshi na siasa ni kukitafutia kihama,,
ASANTE WARIOBA,MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU.
 
- Kaka sio siri kwa haya maneno yako ni wazi kwamba baba yako hana nyumba ya kuishi na wewe pia huna, ndio maana unahisi kila mtu ni kama wewe na baba yako wote hamna nyumba za kusihi, pole sana!!

Le Mutuz System
Mkuu huyu jamaa ni mtani wako,ni kweli unakaa nyumbani kwa mzee au kwenye nyumba tofauti lakini inayomilikiwa na baba,just curiosity!.
 
- Ungeanza kuvua nguo zako kwanza maana wajumbe wengine wa Tume hawajawahi kusema anything zaidi ya Warioba tu!!

Le Mutuz System

Wewe hazikutoshi kabisa hivi ccm inamvamia warioba kama tume halafu wewe unawataka wajumbe wengine wajibu!
 
- Mkuu unaonekana upo sober sana please tell me wewe umewahi kuona wapi somthing like this, yaani kila kukicha Warioba yupo kwenye media kupingana na wasio na mawazo kama yake, I mean this is strange Warioba ameongoza kamati nyingi sana na zote hakuna hata moja iliyowahi kutekeleza aliyokusanya lakini hajapiga kelele why this one? Kuna nini hasa behind all these?

- I mean ninarudia tena kwenye Criminology tunasema kuna something bigger that what we are seeing what is that?

Le Mutuz System
Kuna mambo 2 muhimu katika hoja za huyu mzee wetu na zinazofanya ujiulize hayo maswali: 1. Kuvunjwa kwa katiba, mf Kuviondolea nguvu vyombo vya muungano bila kkufwata utaratibu wa kikatiba na hii inadhihirisha kutoweka kwa dhati ya muungano ilio kuwepo mwanzo
2. Ni kutetea kile anachokiamini kwamba ni mawazo ya wananchi waliohojiwa na tume.
Hebu nawe tujuze ni kwanini hoja namba 1 hapo juu haitolewi maelezo zaidi ya kuishambulia tume? Je si kwamba kuna unafiki wa viongozi wetu juu ya nia yao ya kulinda kayiba na kudumisha muungano?
 
Huyu malecela ni bogus,,,,,,usione watanzania wote ni mafisadi wenye akili za m.kundn kama zako,,,,,huna akili umebakia u knw my dady u nkow my mum.....kafie mbali uko.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
We endelea kutumika kama Condom
 
Na huyo anaesema et analazmisha serikal3 mbona jana alsema ukwel2 kuw kuna wanaotaka2, 1 na 3 na akatolea ufafanuz, hv nyie wavivu wa kufikiria lin mtaacha kukurupuka km mazombi!!
 
Back
Top Bottom