Warioba yeye lengo lake ni kuvunja nchi halafu matakwa yao yaweze kutimia kadri wanavyotaka na jamaa zake japo siamini kama atafanikiwa katika hili huwezi kusema maoni ya wananchi halafu ukaendelea kuwasemea watu wenye maoni yao.
huyu mzee anachoshangaza ni kitendo cha kusema watanzania wanataka serikali tatu wakati wapo wanataka serikali mbili na wengine moja lakini pia wapo wanataka mkataba yeye hili hitimisho la serikali tatu kalito wapi.
Uchungu mkubwa wa Warioba ni kwa nini Zanzibar imekuwa nchi.
Jana nimemsikiliza vizuri sana, kafikia kusema ingekuwa Mwalim yuko hapa angekubali kuwa na Rais mwengine anaepigiwa mizinga 21?
Warioba amefikia kusema Zanzibar haikuwa nchi, nchi ilikuwa moja tu.
Mnaofikiri kuwa Warioba anawatakia mema hamjamsoma between the lines.
Nia ya Warioba ni Zanzibar kudhibitiwa na tatizo lake sio kuwa na Serikali ya Tanganyika. Hana tatizo na jina, hana tatizo na bendera, hana tatizo na nembo. Tatizo lake mizinga 21, kwanini nchi unayoitawala Rais wake apigiwe mizinga 21?
Amefikia kusema kuwa Zanzibar iko juu ya katiba ya Muungano. Hapo sasa.
Lengo la Warioba ni iwe nchi moja, Serikali moja, hii ya Serikali 3 ni geresha yake tu na anatumia mbinu ya kizamani ya kuchonganisha. Lakini misukule wengi wameingia kichwa kichwa.
Serikali 1, nchi moja, Zanzibar kuwa mkoa ndio matamanio ya Warioba aanze vipi kwa hilo? anasema Zanzibar hilo hawalikubali kabisa, njia mbadala? kuanzisha chokochoko nchi itawaliwe kijeshi, shortcut ya kufikia nchi moja. Na ni ndoto ya Nyerere, kuifanya nchi yenye Waislaam 99% kuwa nchi isiyo na dini. Hapo utakatifu njia nyeupeeeeeee.