- Naona umechoka kutukana matusi kaka maana hii huwa sio kawaida yako, mzima lakini maana siku hizi sikuoni tena upo mjini?
Le Mutuz system
LE MUTUZ amekimbia mke kule marekani BOSTON alikua marioo huyu kula kulala kashindwa majukumu kakimbia watoto na mke kule kwasasababu alikua amezoea kuletewa pesa na dingi...hawa watoto wa ccm wamezoea vibaya ila muda wao umefikia kikomo
jibu swali acha ujinga,halafu kuna jamaa pale juu kasema unatembea na noah ukipiga mziki mkubwa je kweli?kwanza sitaki kuamini
Utafiti unaonyesha waliozaliwa kwa njia ya mchepuko hupenda kujikweza bila busara , hekima wala adabu . Mfano mzuri ni huyu anayejiita le Mutuz na nepi
Kweli unatumika ka ndomu. Hivi ingemshinda ka usemavyo wangempa mchakato wa katiba . Huyo jk anaeweza katufikisha wapi? Tujitambue Watanganyika liduva liniswaNdiyo maana hata serikali ilimshinda wakati akiwa waziri mkuu mpaka akajiudhuru wadhifa wake ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa wanaopenda kulazimisha mambo hata kama hayana maana yapite.
Huwezi kumuelewa kama hutaki kumuelewa. I am trying to be neutral and matured here I hope you are so as well. I love this union tukubaliane kuuboresha na kama kweli tuna nia hiyo. Sikubaliani na Ccm wala Ukawa jinsi hoja zao zinajengwa kwa msingi wa maslahi ya kisiasa si msukumo wa nia ya dhati ya muungano. Tuko pamoja au wewe unaupande ndugu?
Mimi warioba hanishangazi sana siku zote ni mtu wa hila na kupenda sifa bandia....muulize mwinyi na wassira wanamjua warioba
Ni kweli Huyu kubwa jinga alizaliwa kwenye mchepuko wa dingi yake, tusimlaumu sana Huyu, alaumiwe dingi yake,
Huyu jamaa amemzidi umri mama yake wa kambo (Anne Kilango) ambae ndio anaishi nae, yeye kila siku party, wakati Banda la mbwa wangu ni bora Mara mia moja ukilinganisha na nyumba anayoishi mama yake mzazi (mchepuko wa babake) kijijini.
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?
- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?
- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?
- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?
- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!
- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?
Le Mutuz System
Niliwahi kumuuliza tena William alikuwa akiishi kwenye mapipa ya taka!Ona hicho kiingereza alichotumia I doubt kama hakuwa akiishi in one of the parks na mizigo yake.
Kwa mtu yeyote aliyemsikiliza MH Warioba jana na ana akili timamu sikutarajia mtu aje humu aandike uzi kama huu humu jamvini. Mwendesha kipindi alimuuliza maswali kwa mpangilio mzuri sana na yeye akayatolea ufafanuzi mzuri na wa kueleweka.
Yeyote anayedharau Tume ya Warioba ana lake jambo na hao ndio watafanya hii nchi yetu iingie kwenye mgogoro. Yaani CCM hawaamini kwamba Zanzibar tayari imeshawaacha kwenye mataa? Wakipitisha hizo serikali mbili haitachukua muda utasikia muungano umekwisha halafu watasingizia ni Mh Warioba!
Hapa ndio nashindwa kuelewa maana ya kwenda shule kwa wasomi wengine. Na alisema rekodi zote zipo kwa yeyote anayetaka kuziona/kuzipitia. Hivi Dr. Mvungi walimwondoa duniani kwa huu ukweli au kuna kitu kingine?
Hahaaa.....maswali mazuri sana haya kwa huyo le mutuz..anamuaibisha sana Mzee wetu John Malecela; anamwaibisha pia dada yetu, Mwelecele...Wewe ni kati ya wazee ambao hawana mchango wowote kwenye chama zaidi ya kuendeleza mipasho humu jamvini,hivi wewe na Mzee Warioba nani mzalendo ? rekodi ya utendaji wa Warioba inaeleweka kwa kila mtanzania,wewe embu tueleze umeifanyia nini nchi yetu ?