Warioba Anataka Nini Hasa?

Anachotaka Warioba kinaeleweka kabisa. Anataka sauti ya watu aslimia 60 waliohojiwa na kutaka Serikali 3 isikike.
 
Haitatokea ccm wakawa na kiongozi bora mzuri mwenye kutumia hekima kama Warioba. CCM wamebaki watoto wa wakubwa wasio na akili kama huyu malecela, tumesha waona watoto wa wakubwa wamekulia ulaya lakini akili zao kama za mtoto wa miaka mitatu.

Mzee amerudia kusisitiza, kati ya yeye na ccm ni nani walio saliti Nyerere? Kwa kutumia akili za kawaida AMIRI JESHI MKUU WA TANZANIA NI MMOJA NA NDIYE ANAYE PIGIWA MIZINGA NA KUKAGUA GWALIDE LA JESHI, LAKINI TUMEONA KULE ZANZIBAR RAIS WA ZANZIBAR ANAPIGIWA MIZINGA NA KUKAGUA GWALIDE UNGEKUWA NA AKILI TIMAMU TU HAPA UNGEONA MATATIZO YENU!!!!!!!!!!!!!

Watu wanaongea mpaka mapovu yanawatoka lakini hakuna fact ya wanacho kisema. Mi siku nyingi nimeongelea hii kitu ya Rais wa Zanzibar kupigiwa Mizinga na kukagua gwalide wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yupo bila majibu. Hivi kweli watanzania walio wengi ni wajinga kiasi hiki?
 
- Ninaendesha gari langu ninasikiliza muziki sasa inahusu vipi na Serikali 2 mkuu sana? ha1 ha1

OK GUYS NAENDA MWANANYAMALA HOSPITAL KUNA KUTOA MISAADA LEO MMOJA KATI YA MARAFIKI ZANGU ANATOA MISAADA NITARUDI LATER!!...

lE mUTUZ sYSTEM
...kila la kheri.
 
- Kaka umesikia tetesi kwamba utakuwa mwandishi wa Rais Lowassa akiwa Rais, ha1 ha! ha!

Le Mutuz system

Sawa sawa 2015 natimba ikulu, utaisoma namba, dadadadadeki


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
eti mtu mwenyewe unajiita Le Mutuz zee zima unataka kupimana ubavu na Warioba, unatumwa -unajituma?
 
Le Mutuz analialia kwa sababu anaona Tanganyika ikipatikana ndoto zake za kuingia kwenye system kwa miguu miwili zitapotea. Tujiulize, kilichomtoa USA kurudi huku ni kitu gani? Aliona watoto wengine wa vigogo kama watoto wa Kawawa, Makamba, Mwinyi, Mkapa, Mongera, Msuya, Nnauye, Kingunge nk, wanatengeneza pesa harakaharaka kwa kutumia migongo ya wazazi wao, naye akatoka nduki kuja kuchukua chake mapema!

Kakuta mambo magumu na wenye nchi wameanza kuamka kwa kudai inchi yao, anaona kila kitu kitadhibitiwa kabla haja fanikisha malengo yake ndipo anapopiga kelele kama debe tupu. Jini limetoka kwenye chupa halirudi hilo!
 
Wewe serikali tatu unategemea kunufaikaje manake usitamani kitu ambacho hata hujui undani wake.

Kwanza kabisa natamani kuiona Zanzibar ikiwa nchi kamili, huru na yenye maamuzi yake yenyewe na nnatamani kuiona Zanzibar inarudi kuwa kitovu cha ilm katika Afrika.

Nnatamani sana kuiona nchi ya yenye Waislaam 99% inakuwa nchi ya Kiislaam kiukweli.

Kumbuka, mimi ni Mtanganyika lakini nna-undugu wa dhati kwa Uislam wetu na Wazanzibari walio wengi na hilo ni la kujivunia sana.

Inasikitisha sana kuiona Zanzibar ambayo ilikuwa kitovu cha Uislaam katika Afrika kuwa leo imekuwa ndio kisiwa cha maasi na maovu kwa jina la utalii, kimezungukwa na mahoteli ya kufanyia ufuska na kwenda uchi wazungu hususan Wataliano (Vatikan). Unafikiri ni bahati nzuri tu au mbaya tu? huo ni mpango mahsusi wa kuuangamiza Uislam kwenye hicho kisiwa. Mwenye macho haambiwi tazama.
 
warioba akidhurika wewe LE MUTUZ utatoa ufafanuzi , unaumia nini kwa warioba kuongea na vyombo vya habari ? Wewe si ni kiongozi wa jumuiya ya vikongwe wa ccm , nani amewakataza kuongea na media ?
 
Kwani kuna shida gani? Ana haki ya kutoa mawazo yake, ni kupanua wigo. Atajibiwa tu kama kuna mwenye hoja.

 
arguments zako ziko shallow sana rething na soma hoja za warioba upya ujue anachokizungumzia alaf ulete zako tuangalie.
 

Mkuu umemjibu vizuri sanaa,kwanza muulize ameshaoa?maana tusije tukawa tunabisha na mtu ambaye hajaoa bado,nadhan unajua madhara ya mtu ambaye umri wa kuoa umefikia lakn hatak kuoa!
 
Utake usitake ataongea tu na jumatatu ijayo jaji Warioba ataendelea tena.
 
Sielewi tatizo kubwa nini hamaki zote hizi zinakotokea. Kwanini nyinyi mnaotetea serikali mbili hamujibu hoja za jaji warioba mnakimbilia kwenye kumshambulia yeye na kusimamia hoja ya idadi ya watu waliohojiwa? Inabidi nasisi tuwa suspect what are you trying to hide? What is the motive behind the so called muungano? Au ndio hayo ya lukuvi?
 
Warioba anshangaa jinsi Jk alivyovunja katiba wewe unaleta porojo za Disco za usiku ulikozoea. Rais gani anavunja katiba kuharibu nchi yet mwamchekea? Rais gani ana advocate mapinduzi ya kijeshi? Anaogopa nini kama yu msafi? Jk ni dangerous sana.
 

Point of the day....
 

Hvi si mmezoea kuwang'oa kucha na meno hata kuwatoboa macho wale wote wanaoikosoa serikali ya ccm? Sasa kwanini msifanye hvyo couse anawasumbua sana kwa kusema na kuwasilisha maoni ya watanzania. Hakilka watu kama Le Mutuz ni mzigo usiofaa kwa taifa.
 
baelezee intarahamwe wakusikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…