Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,767
Tatizo ni biriani ndo linanipa mawazoIli usijipe stress ni kutokwenda tu
Tatizo ni biriani ndo linanipa mawazoIli usijipe stress ni kutokwenda tu
Sasa kama mtu ana hela,then anashindwa kumiliki watoto wazuri,sijui asaidiweje huyu ndugu yetu!Aje kwangu nitampenda. Asisahau tu hela zake..
Tatizo ni biriani ndo linanipa mawazo
Atakua ni MTU anaeboa pia akikaa na warembo. MTU haenjoy uwepo wake hata Kama hela IPO. Anakaa na MTU hata kumchekesha haweziSasa kama mtu ana hela,then anashindwa kumiliki watoto wazuri,sijui asaidiweje huyu ndugu yetu!
Inabidi wapatikane wadada wa mujini wamsaidie kutumia hela!!
HahahahahaaMfyuuuu uroho tu
Hatuchagui ila tunapendaga wanaume wenye muonekano mzuri
Kama wa Masoud sura mbayaKwani muonekano mbaya ni upi
Tatizo lako nilifahamu ngoja nitarudi nikushauri.Hbr JF,
Naombeni msaada wenu wa mawazo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa nimeshindwa kupata relationship inayoeleweka, nyingi zinakufa hata kabla hazijaanza. Relationship yangu ya kwanza ilikufa kwa kua gf alitaka ndoa na mie ndio nilikua nimetoka chuo sina mbele wala nyuma akaamua tuachane. Baadhi ya wadada ambao niliwasihi sana waniambie kwa nini wanahisi hawawezi kua na mimi wameishia kusema "I'm too good to them", "I 'm too kind" wanaogopa kuniharibia....hivo. etc
My last attempt ilikua weekend iliyopita, nilitoswa baada ya kufukuzia kwa muda mrefu sana. Yaani naambiwa tu kama ni urafiki wa kawaida it's ok ila sio mahusiano na mdada ambae anakiri kua hana mtu na tumekua marafiki kwa miezi zaidi ya 6. Katika urafiki wetu huo nimejitahidi kua karibu nae, zawadi zawadi hata outings kwa sana tu hadi najiuliza nifanye nini zaidi na hawa viumbe.
Binafsi sio mbahili na pesa sio tatizo sana namshukuru Mungu kwa hilo, ila pia kutokana na shughuli zangu nakua busy mno kwa hiyo inaniuma vile navyoweza ku sacrifice muda wangu kua karibu na mtu nikiamini kuna kitu nakijenga kumbe nampigia mbuzi gitaa. Imefikia hatua nawaogopa wadada wa kibongo, natamani labda nitafute raia wa nchi nyingine / mzungu etc.
Wiki hii nzima nimekua nikiwaza na kuwazua nakosea wapi. Umri nao unasonga, hakuna gf wala mchumba inanipa stress sana sana. Kijana ukishafika miaka 30+ , shule umeenda na una ajira/shughuli za kukuingizia kipato cha kutosha kila mtu anatarajia kuona unakua na familia, maswali ya unaoa lini yamekua mengi hadi wakati mwingine napanic vibaya sana.
Kama kuna mdau anaemfahamu mwanasaikolojia wa mahusiano , naomba aniunge nae nipate na ushauri wa kitaalamu pia.
mmh haya, ila yule aliumwaKama wa Masoud sura mbaya
Dr. Remmy?mmh haya, ila yule aliumwa
Senior Gambler... mzee wa kubeti kumbe na ww upo upo kwenye mambo ya mahusiano mi nikajua we ni mzee wa tips tuTatizo lako wanawake wanakuona kwa mtizamo tofauti huna mvuto upo ka kinyago cha mwenge, tumia ndoo kuoga ukimaliza kuoga bakisha maji kidogo yasukume kwa mguu wa kushoto alafu taja jina la mwanamke ambae utamtongoza zingatia jina unalitaja mara tatu
Ndio tatizo lake yuko too nice ndio maana mpaka mademu wanamuonea huruma wew kama mwanaume unamuweka demu miezi sita ndani ya miezi sita huyo demu kashatongozwa mara mia moja wewe bado unajivuta.We unakaa na demu miezi 6 ujamtongoza c uzwazwa huo hata CIA hawawezi kuchunguza kwa muda wote huo we hata ukikutana nae cku ya kwnz mtongoze wazungu hawakukosea kusema love at the 1st sight asee
Wewe bwana fanya ninayokwambia halafu utakuja kunishukuru
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
nakuja pm unifundishe kua hviBaadhi yetu tumekuwa tunaishi tu. Hatuna mpenzi. Hatujaribu umalaya. Hatumpendi mtu. Hakuna anayetupenda. Tunajishughulisha tu na kazi zetu, tunakula, tunalala, na kuishi maisha.