Hbr JF,
Naombeni msaada wenu wa mawazo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa nimeshindwa kupata relationship inayoeleweka, nyingi zinakufa hata kabla hazijaanza. Relationship yangu ya kwanza ilikufa kwa kua gf alitaka ndoa na mie ndio nilikua nimetoka chuo sina mbele wala nyuma akaamua tuachane. Baadhi ya wadada ambao niliwasihi sana waniambie kwa nini wanahisi hawawezi kua na mimi wameishia kusema "I'm too good to them", "I 'm too kind" wanaogopa kuniharibia....hivo. etc
My last attempt ilikua weekend iliyopita, nilitoswa baada ya kufukuzia kwa muda mrefu sana. Yaani naambiwa tu kama ni urafiki wa kawaida it's ok ila sio mahusiano na mdada ambae anakiri kua hana mtu na tumekua marafiki kwa miezi zaidi ya 6. Katika urafiki wetu huo nimejitahidi kua karibu nae, zawadi zawadi hata outings kwa sana tu hadi najiuliza nifanye nini zaidi na hawa viumbe.
Binafsi sio mbahili na pesa sio tatizo sana namshukuru Mungu kwa hilo, ila pia kutokana na shughuli zangu nakua busy mno kwa hiyo inaniuma vile navyoweza ku sacrifice muda wangu kua karibu na mtu nikiamini kuna kitu nakijenga kumbe nampigia mbuzi gitaa. Imefikia hatua nawaogopa wadada wa kibongo, natamani labda nitafute raia wa nchi nyingine / mzungu etc.
Wiki hii nzima nimekua nikiwaza na kuwazua nakosea wapi. Umri nao unasonga, hakuna gf wala mchumba inanipa stress sana sana. Kijana ukishafika miaka 30+ , shule umeenda na una ajira/shughuli za kukuingizia kipato cha kutosha kila mtu anatarajia kuona unakua na familia, maswali ya unaoa lini yamekua mengi hadi wakati mwingine napanic vibaya sana.
Kama kuna mdau anaemfahamu mwanasaikolojia wa mahusiano , naomba aniunge nae nipate na ushauri wa kitaalamu pia.