AminaNakushaur kiiman zaidi..omba Mungu roho ya kukataliwa itoke
AminaNakushaur kiiman zaidi..omba Mungu roho ya kukataliwa itoke
Nimependa Ushauri wakogo for it nigga...just go fot it...
it's about you do what's good for you...mapenzi ni kuwa na furaha na uliyenaye
ukipata nafasi ya kudate mzungu, mwarabu, muhindi etc never hesitate mkuu...you never know
Binafsi sioni mahali unakosea kwa jinsi ulivyojieleza...wao wanaokukataa ndio wanaokosea...
Usimlazimishe manzi ima faima, akikataa wewe sepa zako maana wadada wengi huwa na multiple minds...anaweza akawa na wewe vile anataka ndoa tu lakini kihisia yupo na bwana wake aliyetosana naye sometimes back....
Huna sababh ya ku 'panic'...hao wanaokuuliza unaoa lini sio utaoishi nao katika ndoa yako...
Ups and downs za ndoa yako hazitawahusu hata kidogo na si ajabu hao hao watakushauri tena, "hebu tafuta mwanamke mwingine" endapo mambo yakwenda mrama...
Take your time, ishi maisha yako na zaidi huwa hakuna umri eti ukifika ni lazima uoe...
Why do you need a psychologist? listen young fella, you're the boss of your own happiness...hao wanasaikolojia hata wao wana matatizo yao...
Fafanua hii please nami nina issue inayofanana na hyoKaombewe itakua una spiritual wife
sisi wabaya wala hatuna maringo hayo ya kunwacha mwanaume aiseeTatizo unataka mademu wazuri sanaa,
Una ajira unakosaje mwanamke??
Nikubalie mm bhasi ila uwe tayari kuja kuishi mkoaniPole,Muombe Mungu sana.Wanawake wavumilivu wapo.iyo chance ningeliipata Mimi hakika nisingeliichezea





Hahaha labda mwanaume uwe mfanyabiashara mwenye pesa nyingi kama za Reginald mengi, ndo utumie kuwapata wanawake wazuri wasiokupenda, la sivyo utafilisika na kufa muda ambao si wako..mm kwakweli kwa hali nliyo nayo mdada kama atataka kunichuna labda anichemshe aninywe supu. Shunie
Mkuu kwahy maji yanayobaki anayasukumizia yakiwa ndani ya ndoo...au kwanza anayamwaga?Tatizo lako wanawake wanakuona kwa mtizamo tofauti huna mvuto upo ka kinyago cha mwenge, tumia ndoo kuoga ukimaliza kuoga bakisha maji kidogo yasukume kwa mguu wa kushoto alafu taja jina la mwanamke ambae utamtongoza zingatia jina unalitaja mara tatu
Duh yani una hela then wanawake wanakukimbia!!!! Labda appearance yako ndo tatizo eg sura, unene kupitiliza n.kHbr JF,
Naombeni msaada wenu wa mawazo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa nimeshindwa kupata relationship inayoeleweka, nyingi zinakufa hata kabla hazijaanza. Relationship yangu ya kwanza ilikufa kwa kua gf alitaka ndoa na mie ndio nilikua nimetoka chuo sina mbele wala nyuma akaamua tuachane. Baadhi ya wadada ambao niliwasihi sana waniambie kwa nini wanahisi hawawezi kua na mimi wameishia kusema "I'm too good to them", "I 'm too kind" wanaogopa kuniharibia....hivo. etc
My last attempt ilikua weekend iliyopita, nilitoswa baada ya kufukuzia kwa muda mrefu sana. Yaani naambiwa tu kama ni urafiki wa kawaida it's ok ila sio mahusiano na mdada ambae anakiri kua hana mtu na tumekua marafiki kwa miezi zaidi ya 6. Katika urafiki wetu huo nimejitahidi kua karibu nae, zawadi zawadi hata outings kwa sana tu hadi najiuliza nifanye nini zaidi na hawa viumbe.
Binafsi sio mbahili na pesa sio tatizo sana namshukuru Mungu kwa hilo, ila pia kutokana na shughuli zangu nakua busy mno kwa hiyo inaniuma vile navyoweza ku sacrifice muda wangu kua karibu na mtu nikiamini kuna kitu nakijenga kumbe nampigia mbuzi gitaa. Imefikia hatua nawaogopa wadada wa kibongo, natamani labda nitafute raia wa nchi nyingine / mzungu etc.
Wiki hii nzima nimekua nikiwaza na kuwazua nakosea wapi. Umri nao unasonga, hakuna gf wala mchumba inanipa stress sana sana. Kijana ukishafika miaka 30+ , shule umeenda na una ajira/shughuli za kukuingizia kipato cha kutosha kila mtu anatarajia kuona unakua na familia, maswali ya unaoa lini yamekua mengi hadi wakati mwingine napanic vibaya sana.
Kama kuna mdau anaemfahamu mwanasaikolojia wa mahusiano , naomba aniunge nae nipate na ushauri wa kitaalamu pia.
😂😂😂 anaoga kisha anabakisha maji kidogo ambayo atayasukumiza kwa mguu wa kushoto kisha jina la mwanamke mara tatu kwa imaniMkuu kwahy maji yanayobaki anayasukumizia yakiwa ndani ya ndoo...au kwanza anayamwaga?
Omba kwanza Mungu,umuulize kabla hujafanya maamuzNikubalie mm bhasi ila uwe tayari kuja kuishi mkoani
Mkoa gani mkuuNikubalie mm bhasi ila uwe tayari kuja kuishi mkoani
Upo mkoa gani bidada ?Nikubalie mm bhasi ila uwe tayari kuja kuishi mkoani