Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

Tatizo lako wanawake wanakuona kwa mtizamo tofauti huna mvuto upo ka kinyago cha mwenge, tumia ndoo kuoga ukimaliza kuoga bakisha maji kidogo yasukume kwa mguu wa kushoto alafu taja jina la mwanamke ambae utamtongoza zingatia jina unalitaja mara tatu
Aiseeh!
 
@Shunie njoo umuone huyu anasema tuna sura za baba zetu. Mkuu sie sura za mama zetu kabisaaaaaaaaa.
Si unajua ndugu yangu wanaume wa jf wanasema sisi wanawake wa jf ni wabaya acha tu waamini hivyohivyo na sura zetu za baba

Narudi kulala ujue umeniamsha
Unakosea kutongoza warembo tongoza hawa sura ya baba Shunie Mzigua90 hamsumbuani kiivo
 
Hahahhaha kilichoniamsha tumbo lilikuwa linaniuma naona uvivu kutoka kitandani kwenda kunywa dawa

Msalimie shembebe wangu
Ewaaa... Waamini tu sisi tunazo sura za kina babu.. Amka huko embu.
 
Hahhahhahaha
Dada umepatikana siamini

Ila ukiletea habari za kila siku kama ndugu yako nakupa block ya mana nakuacha jf tu ndio tutakapoonana
Nimekwambia ukinipa block nitakuchamba.. Sijapatikana bado.. Kama ni safari ya Tanga ndo kwanzaaa niko ubungo Maji.. Kupatikana Mimi sio jambo dogo ivoo.. Kwanza twende kwenye maulid ya kumtoa mtoto Knyama.
 
Mm nimechoka sitoki kwanza nguo ya kuvaa kwenye maulidi sina
 
Mm nimechoka sitoki kwanza nguo ya kuvaa kwenye maulidi sina
Hilo swala LA NGUO linanipanikisha hapa na Mimi. Nawaza kwenda kununua ila sioni hela ya kununulia.. Ngoja niendelee kuwaza
 
Hahhahahah endelea kuwaza tu uko watu wamedamshi kutoka kwa 2collection Dubai

Umejuaje lakini???? Jana tayari watu walikua huko wanachagua.. Mimi hata sijui navaa nini.. Akiii kufanya jambo na wadada wa mjini stress sana
 
Back
Top Bottom