Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Wewe ndio unaonyesha jinsi gani hata form two hujamaliza,kama issue nikumng'oa M23 hizo troops za PK alizopeleka mpakani anataka kuhalalisha nini?,JWTZ walioko DRC ikitokea Pk anarusha makombora DRC hata wapiga hata kama wanailinda Goma bali atawapiga Wanajeshi wa Congo,na ikitokea kawaua Jwtz tukae kimya sio...idiot

Bado unavita kubwa ya kuboresha uchimi wako, wangu na taifa letu tanzania, hakuna sababu kama unapigwa rudissha vijana nyumbani kujenga uchumi wetu amabao ni wa chini kabisa na kujikongoja na ukiuliza sababu kila kiongozi hafahamu.

Tunahitaji kupigana vita dhidi ya maadui, ujinga, maaradhi na umasikini ambao unauwa watanzania kwa kasi ya ajabu, cha ajabu hii vita imetushinda tunakimbilia kwa wakongomani huu ni upuuzi
 
Strategically sijaona cha maana ulichoandika.
 
Tumeanza kuwatambua watutsi humu JF. Tujadili mada, kejeli na matusi tuviweke pembeni.

Yani hiyo nyerere ondoa kabisa haikufai,kitu nilichogundua,uko mkabila,kingine hujui kisa na mkasa kati ya jk na pk,hayo yote uliyosema ni uongo mtupu,nikwambie kisa ni unafiki wa jk na mdomo wake ndio unamponza,anatumiwa ili kuuangusha utawala wa kigali,kingine ni slow sana katika mambo ya jumuia ya afrika mashariki,wenzake wana vision wanajua wanakotaka kufika yeye jk yuko katika mambo mengine ya kutembeza maneno dhidi ya marais wenzake,kua ndumilakuwili mara yuko SADC mara EAC,sasa mtu kama huyo mtafanyanaye kazi kweli?kingine kua MTUSI si kosa wala tatizo kwani ni mwafrika,binadamu kama wewe sio kiumbe tofauti na wewe,tatizo lako umejawa na chuki tu dhidi ya watusi,hayo ya hima empire ni fiction tu,sababu ulizotoa ni za juzi tu wakati visa vilianza zamani sana yani ilikua inasubiriwa activator tu.
 
umbea na unafiki ulisababisha akakimbia monduli kwa miguu mpaka Arumetu(usa river), kagame tandika huyo muuza wa watu huko soweto Arusha..
 
@Manyerere Jackton nenda na wewe ukafe kishujaa! mnaniboa sana wabongo mnavyochochea huu ugomvi! ndugu zetu wanakufa, eti mnasema wamekufa kishujaa, kishujaa? "kishujaa my ass" kwanini na wewe usiende ukafe kishujaa!

Ulitaka aandike amekufa kizembe....???!!!
 
Ruta, unadhani tutakubaliana kwa mambo yote? Haiwezekani. Yapo mawili, matatu tutatofautiana. Wakati mwingine Kagame na rafiki zake watambue kuwa nasi ni Taifa huru tunaostahili heshima na utu. Atambue kuwa vurugu anazofanya DRC kwa ajili ya kupora madini hazikubaliwi na walimwengu wote. Kama una huruma, anza kuwahurumia mamilioni ya binadamu wanaotesema Mashariki mwa DRC kwa baraka za Kagame. Wala usikasirike ndugu yangu. Huu ni mjadala. Tunapeana mawazo. Unaweza kushinda kwa hoja yako ya kutaka mwafaka wa mazungumzo. Wengine tunaona kichapo kwa hawa M23 ambao ni uzao wa Kagame, ni muhimu zaidi. Tuendelee kubadilishana mawazo.

Tatizo lenu mnafikiria Mtusi ni wa rwanda tu,au mnyarwada wa congo ni mnyarwanda wa rwanda,hapo ndio mnakosea,mbona mmefukuza wanyarwanda tz umeona wanavurugu yoyote? nikwasababu wanajua hawana haki ya kuishi tanzania kwa kigezo cha uraia,lakini congo pale nikwao na kwasababu hiyo nikujidanganya kwamba mtawafurusha kivu hizo ni ndoto za alinacha,wanasababu ya kupigania haki,na wakati wote unapopigana na mtu aliye determined anaye jua sababubu ya kupigana huwezi mshinda suluhu iliyopo ni mazungumuzo tu bilahivyo nawaonea huruma mtaipigana ile vita hata vitukuu vyenu vitapigana na hapatakua mshindi bali vifo na hasara,kama kweli mko wakombozi munge wakomboa hao wanyarwanda wa congo wanao nyanyaswa na mataifa yanje yakiwatumia baadhi ya marais wa kiafrika.
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.

sijui kama una ujasiri wa kumwitw Manyerere mjinga !!! Labda kana huishi TZ!!!
Manyerere amekaa ikulu ya Nyerere miaka 20!!
 
Wanalazimisha kuwa wabongo...

ahahahhaa,kwani jf niyawabongo tu?mimi ni pro-intelligent people,PK ni mwanaume washoka bwana,yani anawa challenge hao wazungu wenu mpaka unaona nywele zao zina simama kichwani na pua kugeuka nyekundu,jk anaweza?ahahaha nakumbuka hotuba yake wakati waziara ya OBAMA mmmh ni aibu kwa mwafrika,yani kuombaomba tu,hivi watu dunia nzima wanahaha kagame,rwanda,kagame,rwanda ahahhaha achana na ile namba pk nikichwa cha kipekee afrika kama tungekua na pk kama 10 afrika nafikiri tusingekua tunatiwa vidole na hao wazungu.
 
Mkuu Manyerere Jackton ongeza front ni madogo sana na kusome inakuwa taabu.
Ni kweli yanatesa sana katika kusoma (ila mkuu siyo Front ni Font). Ujumbe umekaa poa sana na itapendeza kama wajeda wetu watayasikia haya maana hapo sasa tunatumia raslimali za UN gharama yake itakuwa ndogo upande wetu. Fursa ya kumto kwa gharama ndogo ni hii tusingoje ya kesho ameyataka mwenyewe. Dawa ni kuwaswaga hao M23 mpaka Kigali kwenyewe tuone kama atabaki kwenye kitu chake PU.MBA. VU zake!!!!
 
Kweli raia wa congo wana haki ya kuishi, nani kawazuia kulinda nchi yao? Congo ina raia 55 million, wana askari 120,000, wana utitili wa utajiri, walinde mipaka yao basi, wasisubiri huruma za Manyerere. Katiba inasema jukumu la kulinda nchi ni la wananchi wake wenyewe, sasa kwanini wasijilinde? nani anailinda Tanzania, si wananchi wake wenyewe?
Nikukumbushe, Majeshi yetu yapo nchini Congo kwa bandera ya UN.
Pili, ni rahisi kusema uliyosema kwakuwa Tanzania bado hayajatukuta.
Jaribu kuvaa viatu vya wakongo kisha tazama swala hili tena.
Nikuulize, unaunga mkondo mambo anayoyafanya Kagame na jeshi lake nchini DRC?
 
Yani hiyo nyerere ondoa kabisa haikufai,kitu nilichogundua,uko mkabila,kingine hujui kisa na mkasa kati ya jk na pk,hayo yote uliyosema ni uongo mtupu,nikwambie kisa ni unafiki wa jk na mdomo wake ndio unamponza,anatumiwa ili kuuangusha utawala wa kigali,kingine ni slow sana katika mambo ya jumuia ya afrika mashariki,wenzake wana vision wanajua wanakotaka kufika yeye jk yuko katika mambo mengine ya kutembeza maneno dhidi ya marais wenzake,kua ndumilakuwili mara yuko SADC mara EAC,sasa mtu kama huyo mtafanyanaye kazi kweli?kingine kua MTUSI si kosa wala tatizo kwani ni mwafrika,binadamu kama wewe sio kiumbe tofauti na wewe,tatizo lako umejawa na chuki tu dhidi ya watusi,hayo ya hima empire ni fiction tu,sababu ulizotoa ni za juzi tu wakati visa vilianza zamani sana yani ilikua inasubiriwa activator tu.
Hata wewe hujui??
Acha kumutukana mleta mada badala yake lete hoja
 
Ruta, unadhani tutakubaliana kwa mambo yote? Haiwezekani. Yapo mawili, matatu tutatofautiana. Wakati mwingine Kagame na rafiki zake watambue kuwa nasi ni Taifa huru tunaostahili heshima na utu. Atambue kuwa vurugu anazofanya DRC kwa ajili ya kupora madini hazikubaliwi na walimwengu wote. Kama una huruma, anza kuwahurumia mamilioni ya binadamu wanaotesema Mashariki mwa DRC kwa baraka za Kagame. Wala usikasirike ndugu yangu. Huu ni mjadala. Tunapeana mawazo. Unaweza kushinda kwa hoja yako ya kutaka mwafaka wa mazungumzo. Wengine tunaona kichapo kwa hawa M23 ambao ni uzao wa Kagame, ni muhimu zaidi. Tuendelee kubadilishana mawazo.

Heri umelitambua hilo. Kuna mijamaa hapa ukienda tu tofauti na mkali wao wanakuona mtusi....na rahia tofauti kama ada ya watawala hapa nchini. Hayo hayatuzuia kutoa mawazo yetu tofauti na mpendavyo. In any way possible wachangiaji waondoe biases zao kuhusu watusi na waione Rwanda kama nchi inayokaliwa na Wanyarwanda...from that point tuongee PK na Rwanda uwepo wao DRC. Je Tanzania kama jirani wa karibu....na kwa vyovyote vile in case of war waathrika ni Kagera na mikoa jirani kuna urazm wakupigana na Rwanda?..Na kwa sababu zipi hasa....kifo Cha General...na wale waliokufa sudani twende Sudani kupigsna nao...

Je watu wanajua kuwa kuna wanyamulenge DRC ambao wachangiaji wengi hawajui uwepo wao huko na kukataliwa kwao na kubaguliwa na baadhi ya raia huko DRC. Wew kama mwandishi umefanya utafiti nakujua hawa ni watu gani na wanahusiano gani na m23.
 
ukiulizwa sababu hasa ya sisi kupigana na Rwanda utajibu nini?unajua gharama za vita au unatunga verse tu humu!tuache siasa za kanga moko hapa tuangalie mustakabadhi wa nchi yetu tukisha wapiga Rwanda ndo itakuwa nini sasa??au huyo jemerali ni nduguyo mbona kule sudani tulipoteza wanajeshi wengi zaid ya huyo jenerali!
ukitaka kujua sababu ya kuipiga rwanda kwanza jua sababu ya kagame kuchukia ushauri fair wa kikwete mkuu, kwa nini atoe vitisho na matusi katika hadhara..... hapo ndio ujue kwamba yule jamaa anakitu kimejificha
 
sijui kama una ujasiri wa kumwitw Manyerere mjinga !!! Labda kana huishi TZ!!!
Manyerere amekaa ikulu ya Nyerere miaka 20!!

Sasa kama alikaa ikulu ya nyerere tutajua alikua anafanya kazi gani,kazi zipo nyingi ikulu,na kua ikulu haimaanishi ndio kuana akili kwani tumeona marais wengi hawana akili.
 
ukiulizwa sababu hasa ya sisi kupigana na Rwanda utajibu nini?unajua gharama za vita au unatunga verse tu humu!tuache siasa za kanga moko hapa tuangalie mustakabadhi wa nchi yetu tukisha wapiga Rwanda ndo itakuwa nini sasa??au huyo jemerali ni nduguyo mbona kule sudani tulipoteza wanajeshi wengi zaid ya huyo jenerali!
hivi hakuna namna ya kuwaondoa watusi humu jf????????????????????? ban!!!!!!!!!!!!
 
Vidogodogooooooo! Unataka kutuuwa macho?

Ukiambiwa wewe uende utaweza? Au mnashabikia kunji tu hapa! Mishahara yenyewe midogo mnataka watu wakapigane! Vifaa vyenyewe hafifu mnakalia porojo tu hapa!

Unajuwa kilichomuua Mshindo wewe? Nasikia mabomu ya jeiwii yalikuwa hayalipuki kabisa si ndo Mshinda akafa!
Nasikia hayo mabomu ya jeiwii ya zamani kichizi.
 
sijui kama una ujasiri wa kumwitw Manyerere mjinga !!! Labda kana huishi TZ!!!
Manyerere amekaa ikulu ya Nyerere miaka 20!!

Kwahiyo kukaa Ikulu ndo kuzifahamu haki za watanzania na mahitaji yao? Hata Ramadhani Ighondu ni mkaazi wa Ikulu na amefanya nini kuhusu Ulimboka?. Lazima tujifunze kuukubali ukweli hatakama ni mchungu.
 
Kuna wanyarwanda na Pro Kagame lukuki humu JF ,Subiri utawaona miongoni mwao ni

@R.B
@Adolay
@Koba
@Mukamasimba

Ongeza na Rutajumbukirwa! Lakini hawa nawaambia tutawapiganiza pamoja na hao M23 wao na mkulu wao mwenye mwili kama ufito!!!!
 
Back
Top Bottom